LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
NakaziaJitahidi sana kutumia maji mengi. Itakusaidia kushusha ujinga ulio tuandikia hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaJitahidi sana kutumia maji mengi. Itakusaidia kushusha ujinga ulio tuandikia hapa
Atawapata wapi watendaji wa Kitanzania ambao hawana mahusiano na Yanga ama Simba?,au unashauri watendaji wote watoke nje?,hao wote uliowaja umesema ni Mashabiki wa Yanga.Kwa hiyo issue ni ushabiki wao wa Yanga.Basi nafikiri ataajiri wa SimbaTatizo lako Kubwa unapenda kusikiliza Ushauri wa Watu wenye Vipesa Uchwara wanaokuzunguka na ambao ndiyo wanakuumiza kila Siku Azam FC yako ikicheza na Yanga SC ila Mawazo yenu Mema na ya Kimaono yetu Sisi Masikini akina GENTAMYCINE unayapuuza.
Yusuf Bakhressa tumeshakuambia sana tu kuwaondoa Klabuni Kwako ( Azam FC ) akina Kalimangonga Ongala na Aggrey Morris ( ambao Wote ni wana Yanga SC lia lia ) hakukutosha bali ondoa hadi Watendaji wako Wote wakiongozwa na CEO Popat, Kaimu Msemaji Ibwe, Kocha wa Makipa Mzawa, Daktari Mzawa na Meneja ambao Wote hawa ni wana Yanga SC lia lia ila husikii na Wewe unachojua ni kubadili tu Makocha ambao kwa bahati mbaya zaidi hata Makocha wenyewe nao unaowaleta si Makocha Bora bali ni bora Makocha tu.
GENTAMYCINE nakushauri Tajiri Yusuf Bakhressa ni kheri tu hizo zako nyingi Unazozipoteza Kuihudumia na Kuihangaikia Azam FC yako ukazielekeza katika kusaidia Watoto Yatima, Wajane, Wazee na Wahitaji ili upate zaidi Baraka zao na Mambo yako yakunyookee zaidi Kibiashara na Kimaisha.
Kweni yeye wapi kaongelea udini au wewe ndio unataka kuuleta?Duh! Kaguswa muislamu Ustaadhat kaja na jambia.
Udini utakuua we ajuza. Genta hajaongea sababu Bakhresa ni muislamu.
Sioni kama Ni tatizo,maana kazi na ushabiki Ni vitu viwili tofauti,ukifanya vizuri kwa nafasi yako unajijengea CV nzuri hata kupata nafasi nzuri zaidi ya uliyo nayo....Sasa mtu uendekeze ushabiki badala ya kujijengea historia nzuri katika utendaji kazi wako......Naamini wapo vijana ambao wakizipata hizo nafasi za hapo Azam fc wataifikisha mbali Sana ndani na nje ya nchi bila kujali Ushabiki wa timu za Kariakoo.Atawapata wapi watendaji wa Kitanzania ambao hawana mahusiano na Yanga ama Simba?,au unashauri watendaji wote watoke nje?,hao wote uliowaja umesema ni Mashabiki wa Yanga.Kwa hiyo issue ni ushabiki wao wa Yanga.Basi nafikiri ataajiri wa Simba
Ashakula bunnNakazia
Kwa hiyo mzee pale azam Yanga lia lia ndo wamejazana, Simba lia lia vipi hawapo?Tatizo lako Kubwa unapenda kusikiliza Ushauri wa Watu wenye Vipesa Uchwara wanaokuzunguka na ambao ndiyo wanakuumiza kila Siku Azam FC yako ikicheza na Yanga SC ila Mawazo yenu Mema na ya Kimaono yetu Sisi Masikini akina GENTAMYCINE unayapuuza.