Tajiri Yusuf Bakhressa nakushauri acha kupoteza Fedha zako Kuihangaikia Azam FC basi hizo Fedha kasaidie Yatima Ubarikiwe zaidi

Atawapata wapi watendaji wa Kitanzania ambao hawana mahusiano na Yanga ama Simba?,au unashauri watendaji wote watoke nje?,hao wote uliowaja umesema ni Mashabiki wa Yanga.Kwa hiyo issue ni ushabiki wao wa Yanga.Basi nafikiri ataajiri wa Simba
 
Sioni kama Ni tatizo,maana kazi na ushabiki Ni vitu viwili tofauti,ukifanya vizuri kwa nafasi yako unajijengea CV nzuri hata kupata nafasi nzuri zaidi ya uliyo nayo....Sasa mtu uendekeze ushabiki badala ya kujijengea historia nzuri katika utendaji kazi wako......Naamini wapo vijana ambao wakizipata hizo nafasi za hapo Azam fc wataifikisha mbali Sana ndani na nje ya nchi bila kujali Ushabiki wa timu za Kariakoo.

Wamiliki wenywewe hawajawa serious,Kama kila bidhaa yenye nembo ya Azam Ina thamani sokoni iweje kwenye soka wafeli?
Je huko sokoni bidhaa za Azam hazikutani na wapinzani wengi zaidi ya kwenye soka?

Yaani Azam aamue kuwa serious kabisa kuwekeza kikweli kweli atashindwa kuwashusha Simba na Yanga?

Kwa Nini wasitembee na njia walizotumia kupata mafanikio msimu wa 2013/14?
 
Kwa hiyo mzee pale azam Yanga lia lia ndo wamejazana, Simba lia lia vipi hawapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…