Tajiri zaidi ya wote bara Asia awasili Kenya akiandamana na matajiri wengine 38

Tajiri zaidi ya wote bara Asia awasili Kenya akiandamana na matajiri wengine 38

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Nia ni kusaka jinsi ya kuingia ubia na makampuni ya Kenya na pia kuwapa ujanja vijana Wakenya.
Jack Ma utajiri wake unakisiwa kuwa $30b kwamba ameshinda utajiri wa Uganda zikiunganishwa na Rwanda na chenji ibaki, au amebakisha kuongeza kidogo kwenye utajiri wake awe na uwezo wa kununua muungano wa Tanzania kuanzia Kaskazini hadi Kusini, lakini hana uwezo wa kununua hata nusu ya Kenya.......hehehe!!! Msilete povu hilo lilikua tafakari la babu.

jack+ma.jpg

JACK MA, ALIBABA FOUNDER AND EXECUTIVE CHAIRMAN. FILE PHOTO | NMG

Jack Ma, the founder and executive chairman of Chinese e-commerce behemoth Alibaba, jetted into Nairobi Wednesday evening, starting a packed two-day visit that peaks with a public appearance at the University of Nairobi this afternoon to offer Kenyan youth tips on how to build successful business empires.

Mr Ma, who is currently Asia’s richest man with a fortune of nearly $30 billion (Sh3.11 trillion or nearly half of Kenya’s economic output), is accompanied by a large delegation of super-rich Chinese.

In the entourage are China’s richest billionaires among them Internet tycoon Bob Xu, Alibaba’s founding partner Lucy Peng, founder and chairman of Mengniu Dairy Niu Gensheng and real estate tycoon Huang Youlong.

The 38 men and women, from the Beijing Chamber of Commerce, will be looking to cut multi-billion shilling deals with the government and local businessmen.

The Chinese tycoons are expected to scout for business opportunities in East Africa’s largest economy where Chinese influence has been rising rapidly, with the balance of trade highly in favour of China. Mr Ma, a special adviser for youth entrepreneurship and small businesses for the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD), is expected to share insights on entrepreneurship with Kenyan youth before flying out to Rwanda for a similar engagement.

UNCTAD Secretary-General Mukhisa Kituyi said Mr Ma will focus on opening markets for small businesses and encouraging the culture of enterprise in Africa.

“I have discussed with Jack Ma and others that I would like us not only to grow African enterprises but also to start raising voices that a special market access waiver for produce from Africa, particularly from small business, is neeed,” Dr Kituyi said.

“Effort should be made to encourage young Kenyan entrepreneurs to access the Chinese market just like the Chinese are accessing local markets. Our challenge is not finding agents to import Chinese goods, I am looking for people who are willing to sell African goods to China.”

Mr Ma is this afternoon expected to address 500 young business leaders at the University of Nairobi and meet business leaders. A champion of global trade, Mr Ma has been urging developing countries to use e-commerce to bolster their economies, instead of creating regulations and taxes that could kill the emerging sector.

“We should not discipline the baby before it is born,” Mr Ma recently told a gathering in Geneva, Switzerland during UNCTAD’s annual E-Commerce Week.

China’s longtime angel investor Bob Xu is the founding partner of ZhenFund, a seed fund formed in collaboration with Sequoia Capital China and with more than 400 portfolio companies.

In his eight years as an investor, Mr Xu has made four investments that went on to go public in the US, one in China, while eight others have grown into billion-dollar businesses, including the bike-sharing company OFO, AgTech company Meicai, e-commerce companies Mia.com and RED.

One of Mr Xu’s biggest wins was investing $180,000 at a $2 million valuation in the online cosmetics company Jumei.com in 2009. The company then went public in 2014 at a market cap of about $3 billion (Sh311 billion).

Also in Mr Ma’s entourage is Alibaba’s founding partner Lucy Peng, the executive chairman of Ant Financial Services, the online finance arm of Alibaba Group.

E-commerce tycoon Jack Ma arrives with 38 China billionaires
 
Kenya bado mnajiita "East Africa's largest economy" wakati mshanyang'anywa that title....SMH
 
Ni Fursa nzuri kwa sisi vijana kujifunza kutoka kwa hawa manguli wa biashara duniani.
 
Mjitahidi kumpeleka kwenye ule mlima kilimanjaro mnaosemaga kua upo Kenya ili aweze kuvutiwa jmn

Sent using Jamii Forums mobile app

Yule ni mwanabiashara hana muda wa kutalii, mnafaa muanze kujifunza kuvutia wana biashara na kupiga na wao madili, sio kila siku kukenulia meno watalii. Ifahamike dunia ya sasa watu wanawaza biashara na mizunguko ya hela zaidi ya kuja kutazama nyumbu.
 
Yule ni mwanabiashara hana muda wa kutalii, mnafaa muanze kujifunza kuvutia wana biashara na kupiga na wao madili, sio kila siku kukenulia meno watalii. Ifahamike dunia ya sasa watu wanawaza biashara na mizunguko ya hela zaidi ya kuja kutazama nyumbu.
Kwn kuangalia nyumbu ni mizunguko ya nn?mfanya biashara hawezi kuwekeza kwenye sekta ya utalii hahahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya should be looking to leverage its advantages now. One area i think we should look at are the food and agro industries. Let's save the Chinese and rich Gulf Arab countries the heartache of eating lots of plastic food. The same way Latin American produce floods European supermarket shelves, we should flood the shelves of rich countries that have challenges in producing food with cheap and organically grown produce. It kills several birds with one stone : mass employment, solves recurring food deficits, earns forex, referral effect etc etc. Policies that create the greatest impact on the largest number of people in the shortest time possible.
 
Uckute tu unaish huruma

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Yule ni mwanabiashara hana muda wa kutalii, mnafaa muanze kujifunza kuvutia wana biashara na kupiga na wao madili, sio kila siku kukenulia meno watalii. Ifahamike dunia ya sasa watu wanawaza biashara na mizunguko ya hela zaidi ya kuja kutazama nyumbu.
Kwan utalii sio biashara?? Grow up nigga

sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom