Tajirika na sabuni za Kigoma

Tajirika na sabuni za Kigoma

Kutajirika ni rahisi sana kwenye maandishi....😊
Tena hawa matajiri wa kwenye maandishi ndio wengi wao hujikuta wanapata jakamoyo na kuanguka baada ya kuingia field...☺
True. Ila wenye kuanguka ndio wenye kuinuka na kupiga hatua kubwa zaidi. Usiogope kuanguka
 
Itakuwa kuna sehemu ame copy kisha akaamua ku paste hapa.
Unaona sasa unaandika vitu usivyovijua, you don’t know how it is dangerous to impose false knowledge. Hakuna sabuni za Kigoma zinazotengenezwa kwa kutumia mafuta ya mawese unless unataka kuanza wewe mama.
Sabuni za Kigoma zinatengenezwa kwa kutumia mafuta ya mise yaani yale mafuta meupe mfano wa Korie au OK yatokanayo na mbegu za mise.

Wakati mwingine andika vitu unavyovijua uache ku mislead watu kwa taarifa zisizo sahihi.
 
Back
Top Bottom