Unaona sasa unaandika vitu usivyovijua, you donβt know how it is dangerous to impose false knowledge. Hakuna sabuni za Kigoma zinazotengenezwa kwa kutumia mafuta ya mawese unless unataka kuanza wewe mama.
Sabuni za Kigoma zinatengenezwa kwa kutumia mafuta ya mise yaani yale mafuta meupe mfano wa Korie au OK yatokanayo na mbegu za mise.
Wakati mwingine andika vitu unavyovijua uache ku mislead watu kwa taarifa zisizo sahihi.