Take risk aisee...

Take risk aisee...

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
2,035
Reaction score
2,715
Habari zenu??
Kuna uliusemi unasema "jilipue",ni kausemi fulani kako serious kwa mtu aliyepo serious.

Haya maisha yana formula moja tu take risk,watu wengi walio thubutu formula hii walijikuta wamepiga hatua nyingi kwenye maisha yao.
Mnaweza kusema mleta mada ametake risk gani,kuna kipindi nilihitaji sana eneo la kujenga,nilitafuta sana kwa mda mrefu,nilikuja kupata eneo kubwa ambalo limezungukwa na maji(tindiga),madalali walikuwa wanapeleka watu kuliona walilikataa,mimi nikagumana nalo,eneo lilikuwa kubwa nusu heka,watu wengi walinishauri niachane nalo lakini sikuwasikiliza niliangalia eneo lote vinzuri na nikajihakikishia hayo maji yanahamaga.

Baada ya miaka kadhaa watu sasa wananisumbua niwauzie,nimejifunza haya maisha nikutake risk,kuna mda unaona kazi unayofanya haina future nawe mzee take risk..

APPROXIMATELY
 
Ku take risk kunavyonifanya kuwa broke huu mwezi aise nikishika pesa kubwa ni 1000 pesa yote ya posho nimeenda bahatisha connection ya kazi bandari msoto naoota huu mwezi wacha tu mbaya zaidi hata vimchongo nanavyokuwa navibuni huu mwezi vimegoma vyote wacha tu
 
W
 
Back
Top Bottom