Django unchained
Senior Member
- Sep 3, 2015
- 102
- 158
HakyamamaNi chakula kitam sana ..nataman kukipata.
Nimehangaika kila pahala kuomba ..!
Wajuzi naomben kufahamishwa wap naweza kupata Tako..kwa hapa tz
View attachment 2342745
Inaelekea hujamwelewa mwanetu! Mchizi anataka tako za karibu na maeneo ya thailand kule kwenye visiwa vya mafia uko!Kinapatikana Turkey bar
Ndo aende uturuki atapata kwa wingiInaelekea hujamwelewa mwanetu! Mchizi anataka tako za maeneo ya thailand karibu na visiwa vya mafia uko!
Dahh jaman hicho ni chakula....ni dizain ya chapat ..sema wanweka mbwembwe nyingi mfn : nyama..salad halaf unaila kwa pamoja..Inaelekea hujamwelewa mwanetu! Mchizi anataka tako za karibu na maeneo ya thailand kule kwenye visiwa vya mafia uko!
Dahh jaman hicho ni chakula....ni dizain ya chapat ..sema wanweka mbwembwe nyingi mfn : nyama..salad halaf unaila kwa pamoja..Watalaam ya maswala ya vinyeo wanakuja!
Ndo maana nikaja jukwaa la ma pishi..Hakyamama
Ni chakulaTako Haiwezi Kukosekana Mkuu
Ongeza Maelezo Yako Upo Mkoa Gani, Wilaya Upate Connection Chap Ule
Kwani sisi tunaongelea nini?Dahh jaman hicho ni chakula....ni dizain ya chapat ..sema wanweka mbwembwe nyingi mfn : nyama..salad halaf unaila kwa pamoja..
Kinaitwa taco.
We mzeeNdo maana nikaja jukwaa la ma pishi..
Ni chakula...sio hiivyo mnavyo maanisha
Jaribu levante ipo oysterbay au turkey restaurant ipo mcity.Ni chakula kitam sana ..nataman kukipata.
Nimehangaika kila pahala kuomba ..!
Wajuzi naomben kufahamishwa wap naweza kupata Tako..kwa hapa tz
View attachment 2342745
[emoji1][emoji1][emoji1] haya mambo ni mazito...We mzee
umejuaje kama tunamaanisha hicho unachokisema? Mimi sijaongeza neno bali ya kushangaa aina ya msosi ambao majiko mengi mjini ni adimu kupata.
Haya mkuu twakutakia utafutaji mwema wa TACO huko mitaani
gadem[emoji23]
Ukitaka kutokosea ktk kuagiza jaribu kufanyia mazoezi hili neno kwa kulirudia mara tano kwa sauti. Tamka KOMATA kwa sauti mara tano kwa kurudia rudia.[emoji1][emoji1][emoji1] haya mambo ni mazito...
Nawaza jisnsi ya kuagiza nikifika huko migahawani
Sjui niseme naomba ....atafadhali nipe.....