Takriban benki zote za China zinakataa kushughulikia malipo kutoka Russia, ripoti inasema

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Wakati Marekani na marafiki zake walipoiwekea Russia vikwazo vya kiuchumi walijua nini wanafanya japo baadaye ilikuja kuonekana kama walikuwa wamechemsha.

Takriban benki zote za Uchina zinakataa malipo kutoka Urusi, ripoti kutoka kwa kituo cha Urusi cha Izvestia inasema.

Soma Pia: Marekani yafunga njia zote zilizokuwa zinatumiwa na Russia kwa kulipa madeni yake

Urusi imekuwa ikitumia benki ndogo na sarafu zisizo za dola za Kimarekani kukwepa vikwazo vya Magharibi. Lakini milango ya njia mbadala za uhamishaji inafungwa haraka; Urusi sasa inatazamia kufanya biashara ya crypto na kubadilishana.

Nearly all Chinese banks are refusing to process payments from Russia, report says
 
Wewe muuza madafu acha kutuongopea hapa

China na Urusi wana uhusiano wa karibu tena sasa wakati wa vita wanajiweka karibu.

China ana fund vita vya Urusi na Ukraine kiuchumi.
 
China huyu anaetegemea soko la marekani na ulaya
 
Wakati Marekani na marafiki zake walipoiwekea Russia vikwazo vya kiuchumi walijua nini wanafanya japo baadaye ilikuja kuonekana kama walikuwa wamechemsha.

Takriban benki zote za Uchina zinakataa malipo kutoka Urusi, ripoti kutoka kwa kituo cha Urusi cha Izvestia inasema.

Soma Pia: Marekani yafunga njia zote zilizokuwa zinatumiwa na Russia kwa kulipa madeni yake

Urusi imekuwa ikitumia benki ndogo na sarafu zisizo za dola za Kimarekani kukwepa vikwazo vya Magharibi. Lakini milango ya njia mbadala za uhamishaji inafungwa haraka; Urusi sasa inatazamia kufanya biashara ya crypto na kubadilishana.

Nearly all Chinese banks are refusing to process payments from Russia, report says
Safari zao za kuja Tanzania- zanzibar kwa wingi walishastopisha kitambo
 
Back
Top Bottom