Takriban watu 200 wameuawa katika shambulizi katikati mwa Burkina Faso

Takriban watu 200 wameuawa katika shambulizi katikati mwa Burkina Faso

Wapigania dini!?..kila siku tunawaambia hayo makundi ni ya ulaya na marekani,baada ya kutimuliwa ufaransa huko mali, burkina faso na niger,tegemea mashambulizi hayo kuzidi
Mtu mweusi anashika bunduki anauwa mweusi wenzake lawama anapewa Marekani. Hamtaweza kumaliza tatizo kwa kunyoshea watu vidole.

Kwanini Marekani asiwashawishi Wasabato, Walokole Au Wakatoliki? Kwanini inakua rahisi kuwashawishi wa imani hiyo?

Mara ya mwisho umewasikia lini kiongozi wako wa dini akiwakanya vijana kuhusu haya makundi?!

Kwanini juhudi za kuwananga Wagalatia kama mnavyotuita msizielekeze kwa hao vijana?
 
Why dini fulani ndio inapendwa na hayo makundi? Is there any correlation?
Ili uwe na jeshi/kikundi cha kijeshi utahitaji ideology/itikadi,che guevara alienda kupambana popote wajamaa walipokua wakipambana,aliongozwa na itikadi ya ujamaa, kea ukristu ni ngumu ku-recruit watu kwa ajili ya hilo,wakati kwenye uislam pamekua na vuguvugu la kusiasisha(politicalising religion) dini tangu mwishooni wa 1970s,so ni rahisi kupata watu watakaoamini wanaenda kusimamisha dola ya kiislam
 
Independence to 2015​

edit
Prior to 2015, there were no recorded terrorist incidents in Burkina Faso. However, the country experienced seven coups during this time period, the most of any African country.[13] Additionally, there were some reports that terrorist financing and fund-raising were taking place domestically.[14]

Some argue that then-President Blaise Compaoré, who was in power from 1987 to 2014, partnered with terrorist organizations. While most research suggests that partnerships between Compoaré and terrorist organizations did exist, the exact nature of these agreements
Hakuna mzungu katajwa hapo. Wala hakuna mzungu kashika bunduki na kuua watu hapo Burkina Faso. Ni Waafrika fulani wapuuzi wanaoua wenzao kwa kutumia dini za kigeni.

Wewe uliwahi sikia waabudu mizimu ni magaidi. Au uliwahi sikia dini za jadi wanajilipua na kuua watu, hao Waafrika wanaoua kwa ugaidi ukiwabadili dini wakaanza kuabudu mizimu yao ugaidi kwisha.
 
Wewe ndiyo unaambiwa hao ni kundi la kiislam,wenyewe huko kundini hawana uislam wowote,hukuwasikia watu waliotoka hayo makundi?!..yaani ni wahuni tu,wanatumia itikadi kukusanya wapiganaji,ukiingia kutoka ni ngumu
Kwanini mnajichanganya wafia dini ?kuna muislamu mmoja aliandika humu kuwa bokoharam walipowateka wanafunzi wa kule Nigeria waliwatendea mema mno mpaka ikafikia hatua wale mabinti walipokakombolewa walikuwa wanatorokea tena kulekule
 
Burkina faso ni nchi iliyokua imetulia muda mrefu,ni hapa juzi tu ndiyo vurugu zimeanza,baada ya maslahi ya france kuyumba
Burkina Faso ilikuwa imetulia kwa udikteta, Compaore kakaa muda mrefu sana akiwa mungu-mtu. Baada ya kuondoka nchi haina mifumo ya kitaifa bali ina mifumo ya mtu fulani, ndio hapo wakawa hopeless hakuna kuheshimiana kila anayejiamulia anaona anakuwa Rais anatafuta wapambe.

Wakatokea wafia dini moja wakaanza kushambulia na kujilipua. Sasa hapo Ufaransa inaingiaje? Mbona Ufaransa hawafanyi hivuli kwa Algeria ambao ndio majirani zaidi, ndipo France iliwekeza zaidi kipindi cha ukoloni, ndipo Ufaransa ilikuwa imegoma kabisa kutoka na Algeria ina vizazi vya wazawa wengi Ufaransa kina Karim Benzema. Hata Morocco hivyo.

Kila baya la Afrika mnasingizia wazungu. Watu wanaliwa funza, wanashika majambia wanaua watu, ghafla mnasingizia wazungu. Ina maana Waafrika ni mbwa kwamba ukiwaambia ng'ata huyo anang'ata bila kujiuliza?
Ukiua mtu ukadai Ufaransa imekutuma mahakama inakusamehe?
 
Hao magaidi wana rejea zao na ideology za kufanya ugaidi. Wengi tu hasa Boko Haram unawakuta wanamiliki kandambili chakavu, madumu, redio za Kichina za solar, visimu vidogo vya Oking wapo wachafu wamedhoofika wanaishi kwa tabu misituni ila wanapigana na kukodishana bunduki. Hizo hela za Westerners wanazifanyia nini uko misituni?

Gaidi kama hawa unasema analipwa na wazungu? Wakati wao wana vifungu vya rejea na ahadi kedekede uko mbinguni kwao wakitekeleza mashambulizi.
Hawa waliwa funza kuna hata mwenye buku ya mzungu hapa?
View attachment 3079901View attachment 3079902View attachment 3079903View attachment 3079904
Wajukuu wa allah hao wanatekeleza agizo la muddy. Kwenye uzi kama huu huwezi kuta waarabu wa kizimkazi akina Ritz , Malaria 2 na wapuuzi wengine wakichangia kwani mashetani yameuana yenyewe kwa yenyewe.

Unahitaji uwe mwehu ili uwe muislam. Inasikitisha
 
Kale kajamaa kenu
1690142538103.jpg
yule Hana akili Kama zako.
 
Huyu rais wao angejua cha kufanya angeweza maliza tatizo mapema. Hao magaidi kwa sehemu kubwa wanapewa hela na hap westerners. Yeye akae nao wafike bei na mapigano yaishe.
Kwa hiyo magaidi ya dini yanapewa hela na Ufaransa ili kueneza dini ya haki?
 
Kuna siku mtakuja kusema hadi HAMAS na Hezbollah ni makundi ya Ulaya.
Hamas ni kiarabu kiswahili chake hamasa,wanalamba is nchi yao
Burkina Faso ilikuwa imetulia kwa udikteta, Compaore kakaa muda mrefu sana akiwa mungu-mtu. Baada ya kuondoka nchi haina mifumo ya kitaifa bali ina mifumo ya mtu fulani, ndio hapo wakawa hopeless hakuna kuheshimiana kila anayejiamulia anaona anakuwa Rais anatafuta wapambe.

Wakatokea wafia dini moja wakaanza kushambulia na kujilipua. Sasa hapo Ufaransa inaingiaje? Mbona Ufaransa hawafanyi hivuli kwa Algeria ambao ndio majirani zaidi, ndipo France iliwekeza zaidi kipindi cha ukoloni, ndipo Ufaransa ilikuwa imegoma kabisa kutoka na Algeria ina vizazi vya wazawa wengi Ufaransa kina Karim Benzema. Hata Morocco hivyo.

Kila baya la Afrika mnasingizia wazungu. Watu wanaliwa funza, wanashika majambia wanaua watu, ghafla mnasingizia wazungu. Ina maana Waafrika ni mbwa kwamba ukiwaambia ng'ata huyo anang'ata bila kujiuliza?
Ukiua mtu ukadai Ufaransa imekutuma mahakama inakusamehe?
Sehemu gani mfaransa yupo na kuna amani?..mali, burkina faso,niger, mozambique, central african republic, algeria kule walishindwa kurudi,na hakuna pahala amefanya unyama kuzidi algeria,koloni lake lenye rasilimali kuntu,mali kule alipoondolewa mwanzo akaenda kuwapa silaha tuareg,tuareg wakawa wanapata tu mafanikio wakiteka nchi, serikali ya mali ikaona iongee na ufaransa,alipohakikishiwa maslahi yake tuareg wakapotezwa na nchi yao ya azzawad,sasa kuna mihimili mitatu sahel ambayo imemiri urusi,mali,niger, burkina faso,wasubiri bidhaa ya ugaidi toka kwa mabeberu
 
Kwanini mnajichanganya wafia dini ?kuna muislamu mmoja aliandika humu kuwa bokoharam walipowateka wanafunzi wa kule Nigeria waliwatendea mema mno mpaka ikafikia hatua wale mabinti walipokakombolewa walikuwa wanatorokea tena kulekule
Binti baleghe akikunwa vizuri na kamanda,atarudi tu
 
Hakuna mzungu katajwa hapo. Wala hakuna mzungu kashika bunduki na kuua watu hapo Burkina Faso. Ni Waafrika fulani wapuuzi wanaoua wenzao kwa kutumia dini za kigeni.

Wewe uliwahi sikia waabudu mizimu ni magaidi. Au uliwahi sikia dini za jadi wanajilipua na kuua watu, hao Waafrika wanaoua kwa ugaidi ukiwabadili dini wakaanza kuabudu mizimu yao ugaidi kwisha.
Vita vya congo kwa nini haviishi!?.. unaongea kwa jazba na hoja pofu
 
Burkina faso ni nchi iliyokua imetulia muda mrefu,ni hapa juzi tu ndiyo vurugu zimeanza,baada ya maslahi ya france kuyumba
Ilikuwa imetulia? Hao magaidi walikuwepo kitambo tu.
Huko unakokuita kutulia ikawaje aliyekuwepo akaondolewa?
Aliyepo sasa kawaonyesha wengine kwamba kumbe kukamata nchi bila kupigiwa kura inawezekana.
 
Ni wapi ambapo Ufaransa amewalilia Wagner kuua magaidi?
1. Kwanza tuwajue nani anawasuport hao Magaidi
Ukraine na Urusi wote kwa pamoja wamekiri Ukraine anahusika na hao magaidi

Serikali ya Mali na ushahidi mwengine wa Ufaransa kupeleka mapandikizi waliokamatwa.

So kuna Ushahidi usio na shaka hao wapo supported na west ku undermine Serikali za Africa.

2. West na Ufaransa kulalamika hio habari ipo hadi humu natafuta link yake nitakuekea, walikua wakilalamika Wagner anatumia nguvu nyingi.
 
Hii dini ya mabikira 72 na midevu hii? Halafu huko afrika ya Magharibi sijui ealinyweshwa uji gani na mwarabu. Nadhani walipigwa KURJUANI. Cha msingi K azizi apewe uraia wa bongo asije kukutana na hao watu wa hovyo huko kwao
 
Back
Top Bottom