gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
You sure you're ok upstairs bro!!?..you spitting shitIlikuwa imetilia? Hai magaidi walikuwepo kitambo tu.
Huko unakokuita kutulia ikawwaje aliyekuwepo akaondolewa? Aliyepo sasa wengine kwamba kumbe kukamata nchi bila kupigiwa kura inawezekana
Na Algeria toka wawatimue Wafaransa wameendelea kushinda nchi zote zinazowazunguka.Hamas ni kiarabu kiswahili chake hamasa,wanalamba is nchi yao
Sehemu gani mfaransa yupo na kuna amani?..mali, burkina faso,niger, mozambique, central african republic, algeria kule walishindwa kurudi,na hakuna pahala amefanya unyama kuzidi algeria,koloni lake lenye rasilimali kuntu,mali kule alipoondolewa mwanzo akaenda kuwapa silaha tuareg,tuareg wakawa wanapata tu mafanikio wakiteka nchi, serikali ya mali ikaona iongee na ufaransa,alipohakikishiwa maslahi yake tuareg wakapotezwa na nchi yao ya azzawad,sasa kuna mihimili mitatu sahel ambayo imemiri urusi,mali,niger, burkina faso,wasubiri bidhaa ya ugaidi toka kwa mabeberu
Si mchezo wanapigania!Naona wapigania dini wanaeneza upendo kweli kweli huko West Africa!
Algeria ambao hawajiui kipuuzi ndio unasema Ufaransa imeshindwa. Algeria ilisimama yenyewe, serikali ikakaa wima na raia wakajua kabisa ugaidi sio maisha na wakaacha.Hamas ni kiarabu kiswahili chake hamasa,wanalamba is nchi yao
Sehemu gani mfaransa yupo na kuna amani?..mali, burkina faso,niger, mozambique, central african republic, algeria kule walishindwa kurudi,na hakuna pahala amefanya unyama kuzidi algeria,koloni lake lenye rasilimali kuntu,mali kule alipoondolewa mwanzo akaenda kuwapa silaha tuareg,tuareg wakawa wanapata tu mafanikio wakiteka nchi, serikali ya mali ikaona iongee na ufaransa,alipohakikishiwa maslahi yake tuareg wakapotezwa na nchi yao ya azzawad,sasa kuna mihimili mitatu sahel ambayo imemiri urusi,mali,niger, burkina faso,wasubiri bidhaa ya ugaidi toka kwa mabeberu
Because you like eating them, thats why I spit them in your opened mouthYou sure you're ok upstairs bro!!?..you spitting shit
Mbona hakuna mantiki kwenye andiko laki!?..walionyongwa saudia na Iran ni magaidi?!..kama Iran na saudiaAlgeria ambao hawajiui kipuuzi ndio unasema Ufaransa imeshindwa. Algeria ilisimama yenyewe, serikali ikakaa wima na raia wakajua kabisa ugaidi sio maisha na wakaacha.
Last time Algeria ilifanya makubaliano na vikundi vya kigaidi na inatoa adhabu kali kwa extremists.
Hata Saudi Arabia ambako kwa mwaka wananyonga masheikh na Waislamu wenye misimamo mikali nako unasema Ufaransa ndio inawafundisha Quran na kuwaelekeza ugaidi? Saudia imenyonga watu 172 kwa mwaka jana pekee. Iran imenyonga watu zaidi ya 800 kwa mwaka jana pekee. Hao ndio waasisi wa Uislamu hawacheki na kima. Misri iliwaondoa Muslim Brotherhood na wamepigwa marufuku Saudi, Syria na kwingineko. Huko nako ni Ufaransa inawapeleka?
Nimewauliza katika mashambulizi hayo yaliyofanyika ni Mfaransa gani kafyatua risasi?
Au hayo magaidi ni manyani hayana akili yakiambiwa yaue yanaua?
We jamaa uko sawa kichwani!?.. algeria na kujiua na kumshindwa ufaransa vinahusiana nini!?.. saudia na Iran kunyonga wavunja sheria wao kunahusiana nini na burkina faso?..mbona huwezi jenga mantiki?Algeria ambao hawajiui kipuuzi ndio unasema Ufaransa imeshindwa. Algeria ilisimama yenyewe, serikali ikakaa wima na raia wakajua kabisa ugaidi sio maisha na wakaacha.
Last time Algeria ilifanya makubaliano na vikundi vya kigaidi na inatoa adhabu kali kwa extremists.
Hata Saudi Arabia ambako kwa mwaka wananyonga masheikh na Waislamu wenye misimamo mikali nako unasema Ufaransa ndio inawafundisha Quran na kuwaelekeza ugaidi? Saudia imenyonga watu 172 kwa mwaka jana pekee. Iran imenyonga watu zaidi ya 800 kwa mwaka jana pekee. Hao ndio waasisi wa Uislamu hawacheki na kima. Misri iliwaondoa Muslim Brotherhood na wamepigwa marufuku Saudi, Syria na kwingineko. Huko nako ni Ufaransa inawapeleka?
Nimewauliza katika mashambulizi hayo yaliyofanyika ni Mfaransa gani kafyatua risasi?
Au hayo magaidi ni manyani hayana akili yakiambiwa yaue yanaua?
inaumiza sana kutumia dini safi ya uislam kutekeleza ugaidiUp to 200 people killed in attack in central Burkina Faso
An armed group linked to al-Qaeda, Jama’at Nusrat al-Islam wal-Muslimin (JNIM), has claimed responsibility for what it says was an attack that killed up to 200 people and injured at least 140 in central Burkina Faso.
The attack took place on Saturday in the region of Barsalogho, about 40km (25 miles) north of the strategic town of Kaya, which analysts said is home to the last standing force protecting the capital, Ouagadougou.
Fighters opened fire on teams of people digging trenches designed to protect security outposts. Several soldiers were missing after the attack, and the attackers took weapons and a military ambulance.
Reporting from Dakar, Senegal, Al Jazeera’s Nicholas Haque said JNIM posted gruesome videos of the aftermath of the attack.
“We see men, women and children laying inside the trenches they were digging themselves. Effectively, they have turned into mass graves,” he said, adding that the hospital in the area has called doctors, nurses and other medical staff from Kaya to treat those who have been injured in the attack.
Haque noted that the Burkina Faso army knew on Friday that an attack was going to happen and called on the population to dig trenches.
“That shows the desperation of Burkina Faso’s forces, who have lost control of half of their territory to armed groups linked to al-Qaeda,” he added.
Burkina Faso has severed its ties with Western countries such as France that had been involved in helping the country’s security forces tackle armed groups.
Haque said that recently the government had been calling on the help of Russian mercenary fighters to support it strategically but also to help stem the attacks.
“Despite that help, it seems that those attacks are getting closer and closer to the capital,” Haque said. He noted that the country’s military leaders, who came to power in a coup in 2022, have also had to face down several attempted coups due to discontent with the way it has struggled with the fight against armed groups.
Source: Aljazeera
Hujui kwamba Wagner wako vitani na Ukraine tangu 2014?1. Kwanza tuwajue nani anawasuport hao Magaidi
Ukraine na Urusi wote kwa pamoja wamekiri Ukraine anahusika na hao magaidi
Ukraine military intelligence claims role in deadly Wagner ambush in Mali
Malian rebels ‘received necessary information’ to kill fighters from Russian military group last week, GUR sayswww.theguardian.com
Mapandikizi ya Ufaransa yakafundisha kwa Kiarabu Quran na Allah Akbar zinazotamkwa kabla ya kujilipua na kufyatulia raia risasi kwenye ugaidi?Serikali ya Mali na ushahidi mwengine wa Ufaransa kupeleka mapandikizi waliokamatwa.
Is France supporting terrorism in Mali?
The Malian government has accused France of supporting terrorism in Mali. Are the accusations credible? If so, what are the implications for French and European geo-strategy in Africa in the context of NATO’s escalating war against Russia?english.almayadeen.net
So kuna Ushahidi usio na shaka hao wapo supported na west ku undermine Serikali za Africa.
Hakuna kitu kama hiki West eti kulalamikia Wagner kuua magaidi. Wagner wanalalamikiwa kidiplomasia zaidi, sio acts za kudhibiti ugaidi.2. West na Ufaransa kulalamika hio habari ipo hadi humu natafuta link yake nitakuekea, walikua wakilalamika Wagner anatumia nguvu nyingi.
Saudi Arabia huwa wanakamata magaidi wa dini ileile ambayo magaidi wanakamatwa Iran na dini ileile ambayo magaidi wapo Burkina Faso, Niger, Nigeria, Mali na kwingine.Mbona hakuna mantiki kwenye andiko laki!?..walionyongwa saudia na Iran ni magaidi?!..kama Iran na saudia
We jamaa uko sawa kichwani!?.. algeria na kujiua na kumshindwa ufaransa vinahusiana nini!?.. saudia na Iran kunyonga wavunja sheria wao kunahusiana nini na burkina faso?..mbona huwezi jenga mantiki?
Sasa Iran mbona hunyonga wapinga serikali?!..tena idadi imeongezeka kwa kunyonga walioandamana mwaka juzi/jana,saudia hata ukikutwa na vitabu vya uchawi unanyongwa chapu, marekani kwenyewe wananyonga,tena juzi wamejaribu unyongaji mpya wa kutumia hydrogen,jitahidi uwe unajamba walau mara tatu kwa siku Ili upunguze chuki kwa jamii fulaniSaudi Arabia huwa wanakamata magaidi wa dini ileile ambayo magaidi wanakamatwa Iran na dini ileile ambayo magaidi wapo Burkina Faso, Niger, Nigeria, Mali na kwingine.
Saudia na Iran hawarembi mtu, ni panga shingoni na huwasikii wakililia sijui Marekani na Ufaransa imefundisha magaidi. Sasa hao Burkina Faso, Mali na Niger badala wapambane wao kila siku kuitaja Ufaransa. Algeria ndio Ufaransa iliwekeza zaidi, hakuna nchi ilipaniwa na Ufaransa kama Algeria ika hawana ugaidi waliacha. Sasa kwanini hao Francophones wengine wasiache?
China ingekaa inalalamika kila siku jinsi ikivyonyanyaswa na Japan si hadi sasa ingekuwa haijui hata kutengeneza daftari.
we jamaa shkamoo, UKRAINE wenyewe wamekiri kushirikiana na hao jihadist na chombo cha habari uingereza kinareport ila wewe upo bongo unabisha, endelea kudanganya wenzako, siku hizi umetoka kuwa great thinker umekuwa "joker thinker"Hujui kwamba Wagner wako vitani na Ukraine tangu 2014?
Hili nalo unataka uelekezwe wakati liko wazi. Hujaiona Battle of Bakhmut?
Sasa kuna ajabu gani Ukraine kuwafuata Wagner popote walipo. Alafu kupigana na Wagner sio kussuport magaidi, au unataka kusema kwa vile Mali inashirkiana na Wagner basi Mali hiyohiyo walichangia kwenye vita ya Ukraine?
Mapandikizi ya Ufaransa yakafundisha kwa Kiarabu Quran na Allah Akbar zinazotamkwa kabla ya kujilipua na kufyatulia raia risasi kwenye ugaidi?
Alafu mapandikizi ya Ufaransa yakafyatua akili za hao magaidi na kuchomeka idea za kigaidi vichwani mwao?
Hakuna kitu kama hiki West eti kulalamikia Wagner kuua magaidi. Wagner wanalalamikiwa kidiplomasia zaidi, sio acts za kudhibiti ugaidi.
hamkemei lknWapigania dini!?..kila siku tunawaambia hayo makundi ni ya ulaya na marekani,baada ya kutimuliwa ufaransa huko mali, burkina faso na niger,tegemea mashambulizi hayo kuzidi
Ufaransa yupo mali,niger,chad, central africa republic tangu wewe hujajua kusoma na kuandika,hufuata uranium na vingine huko
Vipi Congo wanaosumbua pia ni dini ya Magaidi?Ugaidi hapo Burkina Faso umeanza hata kabla Ufaransa ajaenda, ukawepo akiwepo, na utaendelea akiwa hayupo. Hapo ukibadili dini ya nchi nzima wakawa makafiri ugaidi unaisha.
Angalia Congo pia utuambie ni watu wa dini gani wanaosumbua kuleMtu mweusi anashika bunduki anauwa mweusi wenzake lawama anapewa Marekani. Hamtaweza kumaliza tatizo kwa kunyoshea watu vidole.
Kwanini Marekani asiwashawishi Wasabato, Walokole Au Wakatoliki? Kwanini inakua rahisi kuwashawishi wa imani hiyo?
Mara ya mwisho umewasikia lini kiongozi wako wa dini akiwakanya vijana kuhusu haya makundi?!
Kwanini juhudi za kuwananga Wagalatia kama mnavyotuita msizielekeze kwa hao vijana?
Congo kuna watu wanajilipua na kufyatulia raia risasi wakisema Bwana Yesu Asifiwe?Vipi Congo wanaosumbua pia ni dini ya Magaidi?
Lakini Imani yenyewe Ina support umwagaji wa DAMU ndio mana ukisikia mauaji Kwa makundi yakiislam hatushangai. Ni Imani Yao inawatuma hivyoWapigania dini!?..kila siku tunawaambia hayo makundi ni ya ulaya na marekani,baada ya kutimuliwa ufaransa huko mali, burkina faso na niger,tegemea mashambulizi hayo kuzidi
Huo unaowaita makafiri ndio nchi zao zote Zina amani, ninyi washikilia dini hata tukikuambia ukaishi alipoishi mtume Leo hauwezi maliza mwezi. Utajiua mwenyewe.Ugaidi hapo Burkina Faso umeanza hata kabla Ufaransa hajaenda, ukawepo akiwepo, na utaendelea akiwa hayupo. Hapo ukibadili dini ya nchi nzima wakawa makafiri ugaidi unaisha.
Nikukumbushe tu, Huyo Huyo mtume wenu aliewaambia mkiwa mnafarakana katika Imani yenu rejeeni hadithi kutoka Kwa Imani zilizowatangulieni yani wakristo na wayahudi, wewe Leo unatuita makafiri.Ugaidi hapo Burkina Faso umeanza hata kabla Ufaransa hajaenda, ukawepo akiwepo, na utaendelea akiwa hayupo. Hapo ukibadili dini ya nchi nzima wakawa makafiri ugaidi unaisha.
Imani Yao ilijengwa kwenye misingi ya vita na kuua yoyote asie kubaliana nao. Muislam unaweza mpokea na Kumpa ukarimu ila wakiongezeka wanakua wewe.Why dini fulani ndio inapendwa na hayo makundi? Is there any correlation?