Takriban watu 200 wameuawa katika shambulizi katikati mwa Burkina Faso

Wapigania dini!?..kila siku tunawaambia hayo makundi ni ya ulaya na marekani,baada ya kutimuliwa ufaransa huko mali, burkina faso na niger,tegemea mashambulizi hayo kuzidi
Urus yupo atafanya kazi yake
 
Ndiyo michezo yake hiyo,Ili aitwe kusaidia kisha aweke maslahi yake mezani
Huyu Rais aliyepo si aliwaita Warusi wamsaidie? Kwahiyo ina maana Wafaransa pamoja na kufukuzwa bado wana nguvu ya kuwasaidia waasi dhidi ya Serikali inayosaidiwa na Warusi? Basi ni hivyo, huyo Rais Traore hana muda mrefu atakimbilia Urusi! Ahahahahaha!!
 
Kuna shida kubwa Sana ndani ya nchi za Afrika
 
Hivi kwa nini magaidi wengi wanatoka upande wa pili wa dini?
 
Lakini Imani yenyewe Ina support umwagaji wa DAMU ndio mana ukisikia mauaji Kwa makundi yakiislam hatushangai. Ni Imani Yao inawatuma hivyo
Quran inakataza kuua na kujiua
 
Congo kuna watu wanajilipua na kufyatulia raia risasi wakisema Bwana Yesu Asifiwe?
Sasa ni binadamu gani wanaoteka na kuua watu Congo au ni wa kutoka sayari ya Pluto?
Kwa hiyo wewe kigezo chako kikubwa ni kusikia maneno ya Bwana yesu asifiwe au kusikia Tumswalie mtume hii si mtu yeyote tu anaweza kuigiza na kutamka kitu gani kitamzuia kwa akili yako inavyokutuma?
 
Quran yenyewe imejaa mafundisho ya chuki na kuua wasiokua wa Imani. Kama Leo kungekua na SHARIA law ya kiislam Kila mtu angemuua mwenzake
Hapo hujawahi hata kuishika wala kuiona Quran,achilia mbali kuisoma,zaidi ya kunukuu maneno ya wengine tu
 
Quran yenyewe imejaa mafundisho ya chuki na kuua wasiokua wa Imani. Kama Leo kungekua na SHARIA law ya kiislam Kila mtu angemuua mwenzake
Huo ujinga kakulisha nani!?..mtume aliwafanye waliomkataa!?
الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حِلٌّ لَكُمْ وَطَعَامُكُمْ حِلٌّ لَهُمْ ۖ وَالْمُحْصَنَاتُ مِنَ الْمُؤْمِنَاتِ وَالْمُحْصَنَاتُ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ مِنْ قَبْلِكُمْ إِذَا آتَيْتُمُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ مُحْصِنِينَ غَيْرَ مُسَافِحِينَ وَلَا مُتَّخِذِي أَخْدَانٍ ۗ وَمَنْ يَكْفُرْ بِالْإِيمَانِ فَقَدْ حَبِطَ عَمَلُهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ
Al-Barwani
Leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri. Na chakula cha walio pewa Kitabu ni halali kwenu, na chakula chenu ni halali kwao. Na pia wanawake wema miongoni mwa Waumini, na wanawake wema miongoni mwa walio pewa Kitabu kabla yenu, mtakapo wapa mahari yao, mkafunga nao ndoa, bila ya kufanya uhasharati wala kuwaweka kinyumba. Na anaye kataa kuamini bila shaka a'mali yake imepotea, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara

Quran 5:5
Unaweza kuoa na kula chakula cha watu unaotakiwa kuwaua!?..waliopewa kitabu ni wakristu na wayahudi
 
we jamaa shkamoo, UKRAINE wenyewe wamekiri kushirikiana na hao jihadist
Leta taarifa ya serikali ya Ukraine wakikiri kushirikiana jihadists
na chombo cha habari uingereza kinareport ila wewe upo bongo unabisha, endelea kudanganya wenzako, siku hizi umetoka kuwa great thinker umekuwa "joker thinker"
Vyombo vya habari vya Uingereza pia huwa vinataja Uislamu kama chanzo cha kigaidi. Unakubali au unakataa
 
Leta taarifa ya serikali ya Ukraine wakikiri kushirikiana jihadists

Vyombo vya habari vya Uingereza pia huwa vinataja Uislamu kama chanzo cha kigaidi. Unakubali au unakataa
Link nimekuwekea juu ama nirudie tena?

Bbc

Times

Conversation

Wewe tu ndo unajitoa ufahamu ila habari ipo vyombo vyote vya habari vikubwa.

Mataifa ya West Africa kwa ujumla hata ambayo hayasuport Mali yamelaani vikali kupitia umoja wao Ecowas ila wewe huku mkata viuno upo busy kutetea wauaji wa Wa Africa wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…