Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wanamgambo wanasaidiwa na AllahHivi msumbiji hawana jeshi la kuweza kudhibiti hako kaeneo kadogo dhidi ya wanamgambo wabeba majambia
Mi ndo maana sisikilizi Tbc kwani mara ngapi wametangaza habari ambazo si sahihi.Hivi vituo vya serikali ndio hasa vinakwenda na midundo ya mabeberu.Lakini muhimu ni hapo huyo muandishi alipoongeza kuwa wauwaji hao walikuwa wakitamka Allahu Akbar wakati mwenyewe hayuko Cabo huoni dalili za uzushi hapo.Hawa TBC si ndio waliowahi kutamka asilmia ndogo ya waislamu Tanzania bila uthibitisho wa kitakwimu na kinyume na takwimu za sensa za zamani zilizozingatia dini za watanazania.Certified idiot.
Kwahiyo TBC- Dar Es Salaam wakitangaza habari za mtu kufa huko kigoma itakuwa ni uzushi kwasababu kigoma na dar Ni mbali ?
Hivi hicho kichwa umehifadhi matofali ya kuchoma badala ya ubongo
We Mlaleo inaonekana kama ni wa jinsia ya kike kwa sababu wao ndio wepesi kudanganyika na umbea na maneno ya wajanja wajanja.Hatuwezi kushangilia ukatili wowote na waislamu ndio wenye vigezo vilivyotimia vya kupinga ukatili lakini pamoja na hivyo hatupendi kuletewa fitna na tukaingia kichwa kichwa na tukagombana kwa fitna hiyo.Me nimeona video waliojirekodi Wanatanka Allah Akbar and then wanachinja na wanasema muili iachwe watu waone...
Nimegundua utetezi mwingi wa haya mauaji yanafurahiwa na wenye imani kali. . Na mtu yeyote anayefurahia anakuwa na ushetani ndani yake hivyo huyo ni adui yako na sio wa kumchekea kabisa ni kijutenga nae ataweza kukudhuru... Hata Marcon alishangazwa na Erdogan kumshambulia japo Marcon alisema ya moyoni mwake. .. we Ami kuna Muslim anayeweza kuchinja au kuua bila kutaka jina la Allah Akbar? Tuache unafiki kuna kitu hakipo sawa na kinatakiwa tiba. . Na kama hamna ni bora kunyamaza washughulikiwe hao
Wakati mwingine hisia zinakuwa za kweli kiongoziHakuna uthibitisho kwamba kuna nchi inawasaidia wale wahuni hivyo kusema ''watatia kitumbua chao mchanga" inabaki kuwa hisia tu.
Msaada wa kumuomba ndiyo mtihani , maana kuna mdau kadai kwamba sehemu zenye Mali zinajengwa mijengo mikubwamkubwa huyo mjenzi ni nani ?Dah!...inaonekana Serikali ya Msumbiji haina uwezo tena wa kuwadhibiti hawa wahuni, mbaya zaidi siku zinavyozidi kusonga ndivyo wanazidi kupata nguvu zaidi ya kuendeleza unyama.
Ni vyema Msumbiji iyaangukie mataifa yenye uzoefu wa kukabiliana na magenge kama haya ili wasaidiwe hasa kimafunzo kwa wanajeshi wao mfano wa hizo nchi ni Israel, Marekani, Uturuki,Urusi,Uingereza....hata nchi za Africa kama Misri,Algeria zinaweza kuwa msaada kwao.
Kwa hakika una malipo yako mbele ya mola wako kwa maneno yako haya uliyoaandika hapa.Nashangaa mpaka karne ya 21 the age of information bado mnatudanganya kitoto hivo....inajulikana kabisa muislam imani kali huwa ni katili kwahyo uislam wa kweli ni ugaidi..
Muhammad mwenyewe na genge lake walibaka watu,waliua watu walitesa watu ili wabadili dini...inshort walikuwa makatili zaidi ya hao wa msumbiji
Hakuna kitu kama hicho.Tahadhari sana na uzushi wa kijinga kama huo. Mimi nashikilia hakuna kikundi kama hicho Msumbiji na popote duniani.Ni habari tu.Wako waislamu wanakerwa na baadhi ya vitu vya kionevu lakini hawajawahi kujiunda kikundi na kuanza kupigana na kuwa na viongozi na kuagiza silaha na kuwa hawashindikani hata wakiwa katika kilomita mraba 1 basi daima wanapigwa na kesho wanaibuka tena. Uongo wa kipuuzi kabisa na yeyote mwenye akili ajitenge na uongo huoHata Tz tu mkuu itawafuta hawa wajinga. Tatizo la nchi zetu hizi za kiafrika wanaona kusaidiana kuwateketeza hawa wajinga ni kuwakaribisha kufanya uharifu ndani mwako kama ilivyo tokea kwa kenya na alshabab. Lakini wasichokiona hawa magaidi wa kiislam hawa wenye misimamo mikali kwa siku za karibuni wanavamia tu mahala popote,bila kuangalia kama mna uhasama nao.
Mkuu pengine ata uwezo wetu kama nchi kununua risasi ni tatizo je kwa hao wahuni pesa ya risasi na mabomu wana pataga wapi!?Hakuna uthibitisho kwamba kuna nchi inawasaidia wale wahuni hivyo kusema ''watatia kitumbua chao mchanga" inabaki kuwa hisia tu.
Kuna baadhi ya habari na mimi naweza kutia mdomo katika uchaguzi wa Marekani baada kuona kwenye Runinga lakini nani atakayeniamini nikisimama kwenye vijiwe huku nazungumzia mambo yaliyotokea ndani ya vyumba vya kupigia kura wakati mimi niko Buza.Lazima na mimi niwepo uwanjani ndipo nipate sifa ya kutoa taarifa za ndani.Mkuu, dunia ni kijiji kwa sasa, si juzi tu ulikuwa unafuatilia uchaguzi wa Marekani, wakati upo huku Buza
Unaandika utumbu kama kichwani umejaza utumbo wa bata badala ya ubongo.Mi ndo maana sisikilizi Tbc kwani mara ngapi wametangaza habari ambazo si sahihi.Hivi vituo vya serikali ndio hasa vinakwenda na midundo ya mabeberu.Lakini muhimu ni hapo huyo muandishi alipoongeza kuwa wauwaji hao walikuwa wakitamka Allahu Akbar wakati mwenyewe hayuko Cabo huoni dalili za uzushi hapo.Hawa TBC si ndio waliowahi kutamka asilmia ndogo ya waislamu Tanzania bila uthibitisho wa kitakwimu na kinyume na takwimu za sensa za zamani zilizozingatia dini za watanazania.
We Mlaleo inaonekana kama ni wa jinsia ya kike kwa sababu wao ndio wepesi kudanganyika na umbea na maneno ya wajanja wajanja.Hatuwezi kushangilia ukatili wowote na waislamu ndio wenye vigezo vilivyotimia vya kupinga ukatili lakini pamoja na hivyo hatupendi kuletewa fitna na tukaingia kichwa kichwa na tukagombana kwa fitna hiyo.
Hiyo video unayosema huenda na mimi nimeiona lakini huyo jamaa anayetamka hivyo Allahu Akbar nishawahi kumsikia sehemu nyengine kwa sauti hiyo hiyo.Ni msanii fulani tu na hiyo video pengine imechezwa studio na kwenye vichaka fulani vya Tanzania au kwengineko.
Hii dini ina ushetani mwingi sana, wenyewe huiita dini ya haki na kusingizia wazungu eti ndio hufadhili vikundi hivi vya kigaidi.Me nimeona video waliojirekodi Wanatanka Allah Akbar and then wanachinja na wanasema muili iachwe watu waone...
Nimegundua utetezi mwingi wa haya mauaji yanafurahiwa na wenye imani kali. . Na mtu yeyote anayefurahia anakuwa na ushetani ndani yake hivyo huyo ni adui yako na sio wa kumchekea kabisa ni kijutenga nae ataweza kukudhuru.
Hata Marcon alishangazwa na Erdogan kumshambulia japo Marcon alisema ya moyoni mwake. .. we Ami kuna Muslim anayeweza kuchinja au kuua bila kutaka jina la Allah Akbar? Tuache unafiki kuna kitu hakipo sawa na kinatakiwa tiba. . Na kama hamna ni bora kunyamaza washughulikiwe hao
Dini imekuathiri sana, Hadi unakataa ukweli[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Mimi sikuwepo lakini nikiwa mfuatiliaji wa habari za aina hii kote duniani nimepata uzoefu sana wa kujua wapi ni kweli na wapi ni uwongo.
Habari za kutunga kama una akili timamu ni wepesi sana kuzishika.Mfano hapo mwandishi yuko Maputo karibu na Afrika kusini lakini ana mdomo mrefu kuhusu eneo lililompakani na Tanzania.Na kila siku kukamilisha njama zahadhithi zao lazima waseme waliouwa walisema Allahu Akbar na eti walikuwa wakiwakata vichwa watu.
Inajulikana wareno wakristo ni watu makatili sana lakini nao pia hawakuwa wakiuwa watu kwa kuwakata vichwa kwenye viwanja vya mpira.
Itakuwaje waislamu wafuasi wa dini inayopinga kuuliwa watu wafanye matendo haya tena kwa watu wanaowakamata tu.
Uwezekano tukio hilo halikuwepo na kama liltokea halikutekelezwa na waislamu na hao waliotekeleza si kwa kiasi hicho wala kwa namna hiyo.
Jimbo la waislamu la Cabo lina mafuta na gesi na madini muhimu.Hicho ndio chanzo cha fitina ili ipatikane sababu ya kuwaondoa waislamu kikatili na kusiwe wa kuwaonea huruma kote duniani. Watekelezaji wa ukatili huo ni wachina,mayahudi na wamarekani.
Kwa ushahidi wa walioathirika na kulazimika kuhama ni kwamba kila walipohamishwa kwa namna hiyo haichukui muda eneo linachukuliwa na kujengwa majengo makubwa ya mbabeberu wa kichina na wenzao kila mmoja kivyake.
Hivi mkristo ama budha hawezi kutamka allah Akbaru!? Kwa nini mnawabebesha dini ya kiislamu mambo yasiyo faaa!? Hao siyo waisalamu wanaofanya unyama huo, ni wahuni na wanatakiwa kushughulikiwa kama wahuni wengine!Wewe unaepinga ulikuwa eneo la tukio na hukusikia wakisema "Allah Akbaru"?
Wapi nimesema ulichokiandika ?Hivi mkristo ama budha hawezi kutamka allah Akbaru!? Kwa nini mnawabebesha dini ya kiislamu mambo yasiyo faaa!? Hao siyo waisalamu wanaofanya unyama huo, ni wahuni na wanatakiwa kushughulikiwa kama wahuni wengine!
Nasema kwa wote wanaonasibisha dini ya kiislamu na vikundi vya kihuni !!! Kwanza angalia title ya uzi huu. Eti ".....wapiganaji wa kiislamu..." halafu eti ili kudhibitisha madai yake mleta mada anasema walikuwa wanasema maneno ya " Allah akbaru"! Sasa maneno haya ndiyo useme ni wapiganaji wa Kiislamu. Uislamu hauagizi waislamu kuwachinja watu bila hatia! Ndiyo maana na sisitiza hao ni wahuni, wasihusishwe na waislamu. Waitwe majina wanayostahili mfano maharamia, majambazi, na mengine kama hayo.Wapi nimesema ulichokiandika ?
Kwa hiyo mkuu unakataa pia kuwa hao wavaa kobazi wakiwa wanafanya yao hawasemi Allah AkbarMimi sikuwepo lakini nikiwa mfuatiliaji wa habari za aina hii kote duniani nimepata uzoefu sana wa kujua wapi ni kweli na wapi ni uwongo.
Habari za kutunga kama una akili timamu ni wepesi sana kuzishika.Mfano hapo mwandishi yuko Maputo karibu na Afrika kusini lakini ana mdomo mrefu kuhusu eneo lililompakani na Tanzania.Na kila siku kukamilisha njama zahadhithi zao lazima waseme waliouwa walisema Allahu Akbar na eti walikuwa wakiwakata vichwa watu.
Inajulikana wareno wakristo ni watu makatili sana lakini nao pia hawakuwa wakiuwa watu kwa kuwakata vichwa kwenye viwanja vya mpira.
Itakuwaje waislamu wafuasi wa dini inayopinga kuuliwa watu wafanye matendo haya tena kwa watu wanaowakamata tu.
Uwezekano tukio hilo halikuwepo na kama liltokea halikutekelezwa na waislamu na hao waliotekeleza si kwa kiasi hicho wala kwa namna hiyo.
Jimbo la waislamu la Cabo lina mafuta na gesi na madini muhimu.Hicho ndio chanzo cha fitina ili ipatikane sababu ya kuwaondoa waislamu kikatili na kusiwe wa kuwaonea huruma kote duniani. Watekelezaji wa ukatili huo ni wachina,mayahudi na wamarekani.
Kwa ushahidi wa walioathirika na kulazimika kuhama ni kwamba kila walipohamishwa kwa namna hiyo haichukui muda eneo linachukuliwa na kujengwa majengo makubwa ya mbabeberu wa kichina na wenzao kila mmoja kivyake.
Me nimeona video waliojirekodi Wanatanka Allah Akbar and then wanachinja na wanasema muili iachwe watu waone...
Nimegundua utetezi mwingi wa haya mauaji yanafurahiwa na wenye imani kali. . Na mtu yeyote anayefurahia anakuwa na ushetani ndani yake hivyo huyo ni adui yako na sio wa kumchekea kabisa ni kijutenga nae ataweza kukudhuru.
Hata Marcon alishangazwa na Erdogan kumshambulia japo Marcon alisema ya moyoni mwake. .. we Ami kuna Muslim anayeweza kuchinja au kuua bila kutaka jina la Allah Akbar? Tuache unafiki kuna kitu hakipo sawa na kinatakiwa tiba. . Na kama hamna ni bora kunyamaza washughulikiwe hao
Mi ndo maana sisikilizi Tbc kwani mara ngapi wametangaza habari ambazo si sahihi.Hivi vituo vya serikali ndio hasa vinakwenda na midundo ya mabeberu.Lakini muhimu ni hapo huyo muandishi alipoongeza kuwa wauwaji hao walikuwa wakitamka Allahu Akbar wakati mwenyewe hayuko Cabo huoni dalili za uzushi hapo.Hawa TBC si ndio waliowahi kutamka asilmia ndogo ya waislamu Tanzania bila uthibitisho wa kitakwimu na kinyume na takwimu za sensa za zamani zilizozingatia dini za watanazania.