Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Nilipomaliza kuandika ile ilinipotea nikadhani imejifuta au imejificha sehemu kumbe imejipost. Asante kwa kuliona hilo.Hili swali ungeuliza kwenye mada ile ingine uliyoanzisha kuhusu rushwa. Unaleta vipande vipande kwenye mada yenye maudhui ya aina moja kama episode vile🤒
Mkuu, hoja yako ni yenye uhalisia na kwa hisia kali sana na ndio hali halisi; hivyo, huenda siku si nyingi tunaweza kusikia kwamba, chama kinacho tawala nchi kikimpa rushwa mwanachama wa cha upinzani ili agombee ubunge kwa ticketi ya chama kinacho simamia Serikali.Nilikuwa natafakari hali ya maisha hapa nchini. Siku moja nilisoma mitandaoni kwamba kuna polisi kule Mtwara alijinyonga baada ya kutuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara mmoja.
Nimewahi kusikia Daktari anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumuingilia mgonjwa ambaye ni mjamzito. Viongozi wa dini nao tuhuma ni hizo hizo za kubaka waumini wao.
Wengine hata wanaruhusiwa kuoa wake wanne lakini wanabaka waumini.
Najiuliza TAKUKURU akiniomba rushwa niende wapi?
Pambana na moyo wako ......Nilikuwa natafakari hali ya maisha hapa nchini. Siku moja nilisoma mitandaoni kwamba kuna polisi kule Mtwara alijinyonga baada ya kutuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara mmoja.
Nimewahi kusikia Daktari anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumuingilia mgonjwa ambaye ni mjamzito. Viongozi wa dini nao tuhuma ni hizo hizo za kubaka waumini wao.
Wengine hata wanaruhusiwa kuoa wake wanne lakini wanabaka waumini.
Najiuliza TAKUKURU akiniomba rushwa niende wapi?
Nenda MPESANilikuwa natafakari hali ya maisha hapa nchini. Siku moja nilisoma mitandaoni kwamba kuna polisi kule Mtwara alijinyonga baada ya kutuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara mmoja.
Nimewahi kusikia Daktari anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumuingilia mgonjwa ambaye ni mjamzito. Viongozi wa dini nao tuhuma ni hizo hizo za kubaka waumini wao.
Wengine hata wanaruhusiwa kuoa wake wanne lakini wanabaka waumini.
Najiuliza TAKUKURU akiniomba rushwa niende wapi?
Ukishaweka neno "anyone"/anybody/nobody ina maana hata wewe umo kwenye hizo bodies.Do not trust even yourself!Never trust anyone except yourself.