Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Nilikuwa natafakari hali ya maisha hapa nchini. Siku moja nilisoma mitandaoni kwamba kuna polisi kule Mtwara alijinyonga baada ya kutuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara mmoja.
Nimewahi kusikia Daktari anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumuingilia mgonjwa ambaye ni mjamzito. Viongozi wa dini nao tuhuma ni hizo hizo za kubaka waumini wao.
Wengine hata wanaruhusiwa kuoa wake wanne lakini wanabaka waumini.
Najiuliza TAKUKURU akiniomba rushwa niende wapi?