TAKUKURU akiniomba rushwa nishitaki wapi kwa uchafu huu wa kimaadili?

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Posts
4,120
Reaction score
3,468
Nilikuwa natafakari hali ya maisha hapa nchini. Siku moja nilisoma mitandaoni kwamba kuna polisi kule Mtwara alijinyonga baada ya kutuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara mmoja.

Nimewahi kusikia Daktari anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumuingilia mgonjwa ambaye ni mjamzito. Viongozi wa dini nao tuhuma ni hizo hizo za kubaka waumini wao.

Wengine hata wanaruhusiwa kuoa wake wanne lakini wanabaka waumini.

Najiuliza TAKUKURU akiniomba rushwa niende wapi?
 
Imagine takukuru anakuomba rushwa, sababu amekukamata unachukua rushwa.
 
Nilikuwa natafakari hali ya maisha hapa nchini. Siku moja nilisoma mitandaoni kwamba kuna polisi kule Mtwara alijinyonga baada ya kutuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara mmoja.

Nimewahi kusikia Daktari anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumuingilia mgonjwa ambaye ni mjamzito. Viongozi wa dini nao tuhuma ni hizo hizo za kubaka waumini wao. Wengine hata wanaruhusiwa kuoa wake wanne lakini wanabaka waumini.

Najiuliza TAKUKURU akiniomba rushwa niende wapi?
 
Hili swali ungeuliza kwenye mada ile ingine uliyoanzisha kuhusu rushwa. Unaleta vipande vipande kwenye mada yenye maudhui ya aina moja kama episode vile🤒
 
Kwa maana hiyo maisha yanachanganya! Hivyo ipo siku hata max atatulamba member wote ban 🤣
 
Hili swali ungeuliza kwenye mada ile ingine uliyoanzisha kuhusu rushwa. Unaleta vipande vipande kwenye mada yenye maudhui ya aina moja kama episode vile🤒
Nilipomaliza kuandika ile ilinipotea nikadhani imejifuta au imejificha sehemu kumbe imejipost. Asante kwa kuliona hilo.
 
Nilikuwa natafakari hali ya maisha hapa nchini. Siku moja nilisoma mitandaoni kwamba kuna polisi kule Mtwara alijinyonga baada ya kutuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara mmoja.

Nimewahi kusikia Daktari anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumuingilia mgonjwa ambaye ni mjamzito. Viongozi wa dini nao tuhuma ni hizo hizo za kubaka waumini wao.

Wengine hata wanaruhusiwa kuoa wake wanne lakini wanabaka waumini.

Najiuliza TAKUKURU akiniomba rushwa niende wapi?
Mkuu, hoja yako ni yenye uhalisia na kwa hisia kali sana na ndio hali halisi; hivyo, huenda siku si nyingi tunaweza kusikia kwamba, chama kinacho tawala nchi kikimpa rushwa mwanachama wa cha upinzani ili agombee ubunge kwa ticketi ya chama kinacho simamia Serikali.
 
Nilikuwa natafakari hali ya maisha hapa nchini. Siku moja nilisoma mitandaoni kwamba kuna polisi kule Mtwara alijinyonga baada ya kutuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara mmoja.

Nimewahi kusikia Daktari anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumuingilia mgonjwa ambaye ni mjamzito. Viongozi wa dini nao tuhuma ni hizo hizo za kubaka waumini wao.

Wengine hata wanaruhusiwa kuoa wake wanne lakini wanabaka waumini.

Najiuliza TAKUKURU akiniomba rushwa niende wapi?
Pambana na moyo wako ......
 
Nenda MPESA
 
Back
Top Bottom