TAKUKURU amka uliponye Taifa

TAKUKURU amka uliponye Taifa

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Ndugu zangu Watanzania natumai hamjambo wote!

Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa niaba yangu na yenu mlio hai, wagonjwa na hata walio tangulia mbele ya haki usiku wa leo hata jana!

Ndugu zangu, mimi Sifi Leo tangu isomwe ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali mbele ya Rais nimeamua kila ifikapo saa kumi za usiku kuamka na kutafakari ripoti Ile kwa kina na kutazama kila siku nini kina julikana katika Taifa dhidi ya ripoti Ile.

Mengi yametokea baada ya ripoti;

Mosi, Mh. Rais amechukia hatua zake zikiwemo kuwataka Makatibu Wakuu wa Wizara zilizotajwa chini ya katibu Mkuu Kiongozi kila mmoja kuchukua hatua, yeye pia alivunja Bodi ya Shirika la Reli na mengine mengi. Mimi Sifi Leo sikukubaliana na hatua hiyo!

Rejea uzi wenye kichwa ccha habari "Sisi umoja wa wizi wa wastaafu wa kuku hatukubaliani na hatua ulizo chukua Mh. Rais." Baada ya hapo tukamwona Waziri mmoja kinara akisonsomola futari uliyoandaliwa na Shirika linalojiendesha kwa hasara!

Tukahoji kupitia uzi wenye kichwa cha habari "Shirika halijajibu ripoti ya mkaguzi kwani linajiendesha kwa hasara lakini limeandaa futari na kumnunulia Waziri Kanzu. Je fedha limepata wapi?"

Ndani ya uzi ule tumetafutwa na waliotutafuta tumewapa makavu ya kuwa Tanzania ni yetu sote sio yao peke yao. Hata watuue tutazikwa Tanzania, watuchome moto tutabakia Tanzania, kwa kifupi tumewaambia wajitafakari.

Baada ya hapo tunasikia Waziri Mkuu akiwa Bungeni ameelekeza ile mikopo ya 10% imesitishwa sijui kutoka lini mpaka lini mie sijui, mpaka waweke mfumo mzuri. Nataka niseme yale majizi yanayotafuna fedha hizo ndiyo yanayoenda kuulizwa mfumo gani mzuri uwekwe ili yakiiba Mkaguzi asiyagundue?

Wenye akili tunajua, ukitaka kujua ukweli nenda Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, Mkurugenzi na Mkuu wa wilaya mwaka 2020-2021 kwa kushirikiana na Afisa Maendeleo (wote wameishaondoka baada ya kupiga mpunga), waliamua fedha zaidi ya milioni 300,000,000/= zipitie Saccos ya Umoja ambayo ipo Muleba. Yaliyojitokeza ni vituko, yalipelekwa majambaka kichota fedha zile ni aibu kuandika hapa.

'Ebooooo' ili nalo nimeamka nalo leo eti Spika wa Bunge anasema ripoti ile ya ukaguzi ijadiliwe November! Serous kabisa tunakubali upuuzi huu? Nauliza, kama Bunge haliwezi kujadili hoja nzito zilizoibuliwa na Mkaguzi kwa kipindi hiki, linajadili kitu gani muhimu kwa sasa zaidi ya wizi huu?

Kama Bunge haliwezi jadili ulawit kwa watoto wetu, wabunge wetu na wengine wengi na kutoa mwafaka, linajadiri nini?

Ninafahamu kiuzoefu ya kuwa, ripoti za Mkaguzi mara zote huwa ni mwiba kwa Bunge kwa sababu wanaotuhumiwa kuiba huko ni ndugu wa wabunge ndiomaana mnaanza kiwakingia kifua.

Lakini baya kuliko yote, muda unaotolewa unawapa nafasi wizi kujipanga kutafuta fedha za kuwaonga wabunge machachari kupitia kiti cha Spika ili kuziba majizi yasitajwe.

Katika ili najua hamtonielewa ila nasema ukweli, sasa ni wakati wa kuvuna kwa baadhi ya wabunge na kamati zao, watu wanaandaa murungura ili wasafishwe Ili mkaguzi aonekane alikurupuka.

Kwa andiko ilo nasisitiza TAKUKURU waichunguze Ofisi ya Spika.

Pili, wananchi tuulizwe nini kijadiliwe. Kuna uwezekano mkubwa sana wabunge wanafanya tusiyiyataka wawapo Bungeni kwa viburi vya kura zetu.

Nimalizie kwa kusema;

Tusiwe kama Pascal Mayalla anaemsifie Dkt. Tulia, Spika wa Bunge, tuchunguze kwa kina yawezekana mrungura ulimfikia.

Ni aibu Bunge lenye weledi kupitisha bajeti nyingine mwaka mwingine wa fedha ili hali fedha nyingi zimeibwa. Mtapitisha bajeti lakini hamtopata hizo fedha maana watu kama wa Dar wameishaanza kuambiwa wasilipe Kodi tena mpaka majizi yaliyoiba walizolipa mwaka wa fedha uliopita yamekamatwa.

Kwa hli naungana na Mh. Former Mayor wa ubungo, nami sitokaa nilipe.
 
Ndugu zangu watanzania NATUMAH hamjambo wote!

Nianze Kwa kumshukuru Mungu Kwa niaba yangu na yenu MLIO hai,wagonjwa na hata walio tangulia mbele ya haki usiku wa Leo hata Jana!
Humjui Pascal Mayalla wewe. Jamaa ana strategy na approach za ajabu. Huenda anataka na kunyemelea teuzi kwenye ile nafasi ya askari wa bunge anayebeba lile rungu.
 
Haya yote ni athari ya tabia yetu wa TZ kupuuzia mambo kwa kusema hayatuhusu.

Watanzania tuna sifa moja ya kutotaka kushughulikia mambo yasiyotuathiri directly. Hii imejenga hali ya mazoea na kujiamini kwa wale wote walio na madaraka.

Ripoti hii ya CAG sio ya kwanza yenye madudu, lakini kama desturi yetu huwa tunakaza shingo mitandaoni siku mbili tatu; ikitokea upuuzi mwingine wa video ya ngono kuvuja basi wote tunahamisha mjadala kwenye ngono.

Katika hali ya kawaida baada ya kusomwa ile report tu la kwanza ilipaswa kila muhusika na wafuasi wake kuwajibishwa haraka mno.

Bunge lilipaswa kuacha mambo yote na kujadili report ya CAG tu.

Lakini kubwa na muhimu zaidi ni uongozi kufafuta suluhisho la kudumu kuhusiana na huu ubadhirifu wa fedha za umma. Maana hili swala limekuwa endelevu miaka yote.
 
Kuna mengi kujibiwa kutokana ile report ....muda ni mwalimu mzuri ....Nov sio mbali acha hoja zijibiwe....
Mwizi ukimpa muda anaweza hata kuaminisha watu kuwa wewe ndie uliemuibia.

November ni mbali mno kuweza kumuachia mwizi ajipange na utetezi wake. Mpaka ikifika hiyo November wahusika wote watakuwa washajipanga kikamilifu.

Hili swala lilipaswa lipewe kipaumbele kwa kuacha mijadala mingine yote.
 
CAG sio DPP....tusubiri hoja zijibiwe.....then Takukuru DPP....hoja nyingi zinajibiwa zinabakia chache ...hizo report kuna jinsi kuzisoma na kuelewa....ukifanyiwa auditing ndio utaelewa
 
Haya yote ni athari ya tabia yetu wa TZ kupuuzia mambo kwa kusema hayatuhusu.

Watanzania tuna sifa moja ya kutotaka kushughulikia mambo yasiyotuathiri directly. Hii imejenga hali ya mazoea na kujiamini kwa wale wote walio na madaraka.

Ripoti hii ya CAG sio ya kwanza yenye madudu, lakini kama desturi yetu huwa tunakaza shingo mitandaoni siku mbili tatu; ikitokea upuuzi mwingine wa video ya ngono kuvuja basi wote tunahamisha mjadala kwenye ngono.

Katika hali ya kawaida baada ya kusomwa ile report tu la kwanza ilipaswa kila muhusika na wafuasi wake kuwajibishwa haraka mno.
Bunge lilipaswa kuacha mambo yote na kujadili report ya CAG tu.

Lakini kubwa na muhimu zaidi ni uongozi kufafuta suluhisho la kudumu kuhusiana na huu ubadhirifu wa fedha za umma. Maana hili swala limekuwa endelevu miaka yote.
Mpaka atakapopatikana Dikiteta muadilifu na ni mcha Mungu ndio haya mambo yatakoma !!
 
Ndugu zangu Watanzania natumai hamjambo wote!

Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa niaba yangu na yenu mlio hai, wagonjwa na hata walio tangulia mbele ya haki usiku wa leo hata jana!

Ndugu zangu, mimi Sifi Leo tangu isomwe ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali mbele ya Rais nimeamua kila ifikapo saa kumi za usiku kuamka na kutafakari ripoti Ile kwa kina na kutazama kila siku nini kina julikana katika Taifa dhidi ya ripoti Ile.

Mengi yametokea baada ya ripoti;

Mosi, Mh. Rais amechukia hatua zake zikiwemo kuwataka Makatibu Wakuu wa Wizara zilizotajwa chini ya katibu Mkuu Kiongozi kila mmoja kuchukua hatua, yeye pia alivunja Bodi ya Shirika la Reli na mengine mengi. Mimi Sifi Leo sikukubaliana na hatua hiyo!

Rejea uzi wenye kichwa ccha habari "Sisi umoja wa wizi wa wastaafu wa kuku hatukubaliani na hatua ulizo chukua Mh. Rais." Baada ya hapo tukamwona Waziri mmoja kinara akisonsomola futari uliyoandaliwa na Shirika linalojiendesha kwa hasara!

Tukahoji kupitia uzi wenye kichwa cha habari "Shirika halijajibu ripoti ya mkaguzi kwani linajiendesha kwa hasara lakini limeandaa futari na kumnunulia Waziri Kanzu. Je fedha limepata wapi?"

Ndani ya uzi ule tumetafutwa na waliotutafuta tumewapa makavu ya kuwa Tanzania ni yetu sote sio yao peke yao. Hata watuue tutazikwa Tanzania, watuchome moto tutabakia Tanzania, kwa kifupi tumewaambia wajitafakari.

Baada ya hapo tunasikia Waziri Mkuu akiwa Bungeni ameelekeza ile mikopo ya 10% imesitishwa sijui kutoka lini mpaka lini mie sijui, mpaka waweke mfumo mzuri. Nataka niseme yale majizi yanayotafuna fedha hizo ndiyo yanayoenda kuulizwa mfumo gani mzuri uwekwe ili yakiiba Mkaguzi asiyagundue?

Wenye akili tunajua, ukitaka kujua ukweli nenda Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, Mkurugenzi na Mkuu wa wilaya mwaka 2020-2021 kwa kushirikiana na Afisa Maendeleo (wote wameishaondoka baada ya kupiga mpunga), waliamua fedha zaidi ya milioni 300,000,000/= zipitie Saccos ya Umoja ambayo ipo Muleba. Yaliyojitokeza ni vituko, yalipelekwa majambaka kichota fedha zile ni aibu kuandika hapa.

'Ebooooo' ili nalo nimeamka nalo leo eti Spika wa Bunge anasema ripoti ile ya ukaguzi ijadiliwe November! Serous kabisa tunakubali upuuzi huu? Nauliza, kama Bunge haliwezi kujadili hoja nzito zilizoibuliwa na Mkaguzi kwa kipindi hiki, linajadili kitu gani muhimu kwa sasa zaidi ya wizi huu?

Kama Bunge haliwezi jadili ulawit kwa watoto wetu, wabunge wetu na wengine wengi na kutoa mwafaka, linajadiri nini?

Ninafahamu kiuzoefu ya kuwa, ripoti za Mkaguzi mara zote huwa ni mwiba kwa Bunge kwa sababu wanaotuhumiwa kuiba huko ni ndugu wa wabunge ndiomaana mnaanza kiwakingia kifua.

Lakini baya kuliko yote, muda unaotolewa unawapa nafasi wizi kujipanga kutafuta fedha za kuwaonga wabunge machachari kupitia kiti cha Spika ili kuziba majizi yasitajwe.

Katika ili najua hamtonielewa ila nasema ukweli, sasa ni wakati wa kuvuna kwa baadhi ya wabunge na kamati zao, watu wanaandaa murungura ili wasafishwe Ili mkaguzi aonekane alikurupuka.

Kwa andiko ilo nasisitiza TAKUKURU waichunguze Ofisi ya Spika.

Pili, wananchi tuulizwe nini kijadiliwe. Kuna uwezekano mkubwa sana wabunge wanafanya tusiyiyataka wawapo Bungeni kwa viburi vya kura zetu.

Nimalizie kwa kusema;

Tusiwe kama Pascal Mayalla anaemsifie Dkt. Tulia, Spika wa Bunge, tuchunguze kwa kina yawezekana mrungura ulimfikia.

Ni aibu Bunge lenye weledi kupitisha bajeti nyingine mwaka mwingine wa fedha ili hali fedha nyingi zimeibwa. Mtapitisha bajeti lakini hamtopata hizo fedha maana watu kama wa Dar wameishaanza kuambiwa wasilipe Kodi tena mpaka majizi yaliyoiba walizolipa mwaka wa fedha uliopita yamekamatwa.

Kwa hli naungana na Mh. Former Mayor wa ubungo, nami sitokaa nilipe.
Uko sawa kabisa lakini Takukuru ni wale wale,wabunge ni wale wale.kama ambavyo mtaani watu wakimchoka mwizi wa kila siku wakimkamata wanampeleka polisi anatoka,kinachofuata ni kumchoma moto,ndicho kinachotakiwa kwa wananchi kufanya kwa mafisadi hao kwani tunaishi nao.
 
Unaroho ngumu sanaaaa ya kiuaji aise
 
Nchi yetu ya Tanzania [emoji1241]
Kuna vitu ambavyo tuna sema “tuna kuwa chia wewe Mwenye Enzi Mungu mweza wa yote walahi “
Maana ukisema uandamane haisaidii, umeona Kenya si kumesha poa? Je wamepata mahitaji yao? Hamna kitu [emoji2959]
Wa SA hivyo hivyo.
Yaani hao wanao imarisha maandamano nao pia wana njaa zao, wakipewa mpunga hao wa kuimarisha maandamano, basi kila kitu kimesimama!
Heri hao walioenda kwenye shamba la Kenyata wakapata kondoo na miti, lakini wengine ni jasho na vumbi tu walahi!
Dawa ni kujipanga kwa Mwenye Enzi Mungu tu!
 
Ni vema wananchi nao waache kulipa kodi mpaka mwezi Novemba ili kusubiria Report ya CAG.

Nawasubiri TRA waje kwenye biashara yangu hawataamini! Tutapeana shida sana round hii pumbavu inakera sana mkuu!!!! Watu wamepiga pesa eti tusubiri november hivi hii ichi viongozi wako tamamu kweli kwenye ubongo?
 
Ndugu zangu Watanzania natumai hamjambo wote!

Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa niaba yangu na yenu mlio hai, wagonjwa na hata walio tangulia mbele ya haki usiku wa leo hata jana!

Ndugu zangu, mimi Sifi Leo tangu isomwe ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali mbele ya Rais nimeamua kila ifikapo saa kumi za usiku kuamka na kutafakari ripoti Ile kwa kina na kutazama kila siku nini kina julikana katika Taifa dhidi ya ripoti Ile.

Mengi yametokea baada ya ripoti;

Mosi, Mh. Rais amechukia hatua zake zikiwemo kuwataka Makatibu Wakuu wa Wizara zilizotajwa chini ya katibu Mkuu Kiongozi kila mmoja kuchukua hatua, yeye pia alivunja Bodi ya Shirika la Reli na mengine mengi. Mimi Sifi Leo sikukubaliana na hatua hiyo!

Rejea uzi wenye kichwa ccha habari "Sisi umoja wa wizi wa wastaafu wa kuku hatukubaliani na hatua ulizo chukua Mh. Rais." Baada ya hapo tukamwona Waziri mmoja kinara akisonsomola futari uliyoandaliwa na Shirika linalojiendesha kwa hasara!

Tukahoji kupitia uzi wenye kichwa cha habari "Shirika halijajibu ripoti ya mkaguzi kwani linajiendesha kwa hasara lakini limeandaa futari na kumnunulia Waziri Kanzu. Je fedha limepata wapi?"

Ndani ya uzi ule tumetafutwa na waliotutafuta tumewapa makavu ya kuwa Tanzania ni yetu sote sio yao peke yao. Hata watuue tutazikwa Tanzania, watuchome moto tutabakia Tanzania, kwa kifupi tumewaambia wajitafakari.

Baada ya hapo tunasikia Waziri Mkuu akiwa Bungeni ameelekeza ile mikopo ya 10% imesitishwa sijui kutoka lini mpaka lini mie sijui, mpaka waweke mfumo mzuri. Nataka niseme yale majizi yanayotafuna fedha hizo ndiyo yanayoenda kuulizwa mfumo gani mzuri uwekwe ili yakiiba Mkaguzi asiyagundue?

Wenye akili tunajua, ukitaka kujua ukweli nenda Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, Mkurugenzi na Mkuu wa wilaya mwaka 2020-2021 kwa kushirikiana na Afisa Maendeleo (wote wameishaondoka baada ya kupiga mpunga), waliamua fedha zaidi ya milioni 300,000,000/= zipitie Saccos ya Umoja ambayo ipo Muleba. Yaliyojitokeza ni vituko, yalipelekwa majambaka kichota fedha zile ni aibu kuandika hapa.

'Ebooooo' ili nalo nimeamka nalo leo eti Spika wa Bunge anasema ripoti ile ya ukaguzi ijadiliwe November! Serous kabisa tunakubali upuuzi huu? Nauliza, kama Bunge haliwezi kujadili hoja nzito zilizoibuliwa na Mkaguzi kwa kipindi hiki, linajadili kitu gani muhimu kwa sasa zaidi ya wizi huu?

Kama Bunge haliwezi jadili ulawit kwa watoto wetu, wabunge wetu na wengine wengi na kutoa mwafaka, linajadiri nini?

Ninafahamu kiuzoefu ya kuwa, ripoti za Mkaguzi mara zote huwa ni mwiba kwa Bunge kwa sababu wanaotuhumiwa kuiba huko ni ndugu wa wabunge ndiomaana mnaanza kiwakingia kifua.

Lakini baya kuliko yote, muda unaotolewa unawapa nafasi wizi kujipanga kutafuta fedha za kuwaonga wabunge machachari kupitia kiti cha Spika ili kuziba majizi yasitajwe.

Katika ili najua hamtonielewa ila nasema ukweli, sasa ni wakati wa kuvuna kwa baadhi ya wabunge na kamati zao, watu wanaandaa murungura ili wasafishwe Ili mkaguzi aonekane alikurupuka.

Kwa andiko ilo nasisitiza TAKUKURU waichunguze Ofisi ya Spika.

Pili, wananchi tuulizwe nini kijadiliwe. Kuna uwezekano mkubwa sana wabunge wanafanya tusiyiyataka wawapo Bungeni kwa viburi vya kura zetu.

Nimalizie kwa kusema;

Tusiwe kama Pascal Mayalla anaemsifie Dkt. Tulia, Spika wa Bunge, tuchunguze kwa kina yawezekana mrungura ulimfikia.

Ni aibu Bunge lenye weledi kupitisha bajeti nyingine mwaka mwingine wa fedha ili hali fedha nyingi zimeibwa. Mtapitisha bajeti lakini hamtopata hizo fedha maana watu kama wa Dar wameishaanza kuambiwa wasilipe Kodi tena mpaka majizi yaliyoiba walizolipa mwaka wa fedha uliopita yamekamatwa.

Kwa hli naungana na Mh. Former Mayor wa ubungo, nami sitokaa nilipe.
Akina Halime Mdee na Tulia Ackson wanalindwa na sheria mbovu kuitafuna nchi huku wanaume wakiendelea kuteseka.
 
Back
Top Bottom