ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Kila mwenye akili timamu lazima ajiulize chanzo cha ukwasi wa timu ya Singida Black Star
1. Hii timu inamilikiwa na nani? Mbona boss yupo kwenye mabano, ingekuwa kama Azam ya tajiri Bakhresa, Ken Gold ya tajiri wa madini Kenneth, Fountain Gate nayo ina boss wake. Kuna timu za taasisi, Wanachama, na majeshi.
2. Singida Black Star haina hata Wanachama wanaofika 100.
3. Singida Black Star ina nguvu kubwa ya ushawishi serikalini. Hii timu imetushtua Kwa kuishawishi taasisi kubwa kama Uhamiaji kutoa vibali Kwa haraka kupata uraia. Kisheria mtu inatakiwa akae nchini miaka 10 nchini, na awe amekaa nchini Kwa miezi 12 bila kutoka,
Sasa hawa wachezaji wamefika nchini mwezi September.
4. Inalipa mishahara mkubwa. Hii timu inalipa mishahara mkubwa na vyanzo vya biashara Yao ya wachezaji haiko wazi.
5. Imetoa wachezaji wake Kwa mkopo isipokuwa timu 4 tu. Hii ni idadi kubwa ya wachezaji inayowalipa wakiwa wanacheza nje ya timu yao.
6. Sina uhakika na ulipaji wao wa Kodi TRA. Hili Sina uhakika nalo sitaliongelea sana.
Soma>> Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni