Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ligi yenu haina Kanuni ya Fair competition?Kila mwenye akili timamu lazima ajiulize chanzo cha ukwasi wa timu ya Singida Black Star
1. Hii timu inamilikiwa na nani? Mbona boss yupo kwenye mabano, ingekuwa kama Azam ya tajiri Bakhresa, Ken Gold ya tajiri wa madini Kenneth, Fountain Gate nayo ina boss wake. Kuna timu za taasisi, Wanachama, na majeshi.
2. Singida Black Star haina hata Wanachama wanaofika 100.
3. Singida Black Star ina nguvu kubwa ya ushawishi serikalini. Hii timu imetushtua Kwa kuishawishi taasisi kubwa kama Uhamiaji kutoa vibali Kwa haraka kupata uraia. Kisheria mtu inatakiwa akae nchini miaka 10 nchini, na awe amekaa nchini Kwa miezi 12 bila kutoka,
Sasa hawa wachezaji wamefika nchini mwezi September.
4. Inalipa mishahara mkubwa. Hii timu inalipa mishahara mkubwa na vyanzo vya biashara Yao ya wachezaji haiko wazi.
5. Imetoa wachezaji wake Kwa mkopo isipokuwa timu 4 tu. Hii ni idadi kubwa ya wachezaji inayowalipa wakiwa wanacheza nje ya timu yao.
6. Sina uhakika na ulipaji wao wa Kodi TRA. Hili Sina uhakika nalo sitaliongelea sana.
Soma>> Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni
Kwanini unapenda rply kwa kurejea ali choandika mtu,bila wewe kuandika chochote?. Singida Black Star haina hata Wanachama wanaofika 100.
3. Singida Black Star ina nguvu kubwa ya ushawishi serikalini. Hii timu imetushtua Kwa kuishawishi taasisi kubwa kama Uhamiaji kutoa vibali Kwa haraka kupata uraia. Kisheria mtu inatakiwa akae nchini miaka 10 nchini, na awe amekaa nchini Kwa miezi 12 bila kutoka,
Sasa hawa wachezaji wamefika nchini mwezi September.
Duuuh.Timi hizi zenye nasaba na Neno "Singida" zinamilikiwa na boss Wa fedha Wa Nchi. Kuna wakati alitemwa uwaziri hadi timu ikashuka daraja. Ss wakati huu yupo kwenye minyama anajipakulia tu anavyotaka. Amesajili hadi wachezaji 20 Wa kigeni huku akijua, kwa mujibu Wa kanuni, anaweza kuwatumia 12 tu. Ndo ss kaanza na kuwapa uraia Wa fast track wengine. Wengine anawatoa kwa mkopo kwenye timu zingine. Yaan ana hela nyingi hadi hajui afanyie nn..
Unasemaa?!?Siku akitolewa pale wizarani na rimu inakufa,kodi zetu hizo
Unajifanya humjui mmiliki anafanikisha ubingwa wa yanga na ndie scout na mlipaji mishahara wa yanga pindi mishahara inapotetereka...hili tumelipigia kelele sana ukitwalii nyuzi nyingi za nyuma ila ulijitoa ufahamu kwa kuwa tu watu wanaishambulia yanga B na hii timu ilinunuliwa makusudi baada ya kuwa inaifunga yanga huko mbarali mashamba ya mpunga boss wa yanga akakasirika na kuamua kuinunua!Kila mwenye akili timamu lazima ajiulize chanzo cha ukwasi wa timu ya Singida Black Star
1. Hii timu inamilikiwa na nani? Mbona boss yupo kwenye mabano, ingekuwa kama Azam ya tajiri Bakhresa, Ken Gold ya tajiri wa madini Kenneth, Fountain Gate nayo ina boss wake. Kuna timu za taasisi, Wanachama, na majeshi.
2. Singida Black Star haina hata Wanachama wanaofika 100.
3. Singida Black Star ina nguvu kubwa ya ushawishi serikalini. Hii timu imetushtua Kwa kuishawishi taasisi kubwa kama Uhamiaji kutoa vibali Kwa haraka kupata uraia. Kisheria mtu inatakiwa akae nchini miaka 10 nchini, na awe amekaa nchini Kwa miezi 12 bila kutoka,
Sasa hawa wachezaji wamefika nchini mwezi September.
4. Inalipa mishahara mkubwa. Hii timu inalipa mishahara mkubwa na vyanzo vya biashara Yao ya wachezaji haiko wazi.
5. Imetoa wachezaji wake Kwa mkopo isipokuwa timu 4 tu. Hii ni idadi kubwa ya wachezaji inayowalipa wakiwa wanacheza nje ya timu yao.
6. Sina uhakika na ulipaji wao wa Kodi TRA. Hili Sina uhakika nalo sitaliongelea sana.
Soma>> Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni
Huna akiliUnajifanya humjui mmiliki anafanikisha ubingwa wa yanga na ndie scout na mlipaji mishahara wa yanga pindi mishahara inapotetereka...hili tumelipigia kelele sana ukitwalii nyuzi nyingi za nyuma ila ulijitoa ufahamu kwa kuwa tu watu wanaishambulia yanga B na hii timu ilinunuliwa makusudi baada ya kuwa inaifunga yanga huko mbarali mashamba ya mpunga boss wa yanga akakasirika na kuamua kuinunua!