TAKUKURU chunguzeni utajiri wa kutisha wa timu ya Singida Black Stars

Ila watu weusi ni shida sana unakuta jitu lipo huko serikalini limeiba mihela lenyewe linaona ni bora kumiliki team ya mpira, wakati lingeweza kutumia hizo hela kufungua kiwanda kikubwa tu ambacho kingesaidia kunyanyua uchumi nk. Angalia wazungu wanaiba madini Congo na sehemu nyingine lakini wanenda kuwekeza kwenye mataifa yao.
 
Timi hizi zenye nasaba na Neno "Singida" zinamilikiwa na boss Wa fedha Wa Nchi. Kuna wakati alitemwa uwaziri hadi timu ikashuka daraja. Ss wakati huu yupo kwenye minyama anajipakulia tu anavyotaka. Amesajili hadi wachezaji 20 Wa kigeni huku akijua, kwa mujibu Wa kanuni, anaweza kuwatumia 12 tu. Ndo ss kaanza na kuwapa uraia Wa fast track wengine. Wengine anawatoa kwa mkopo kwenye timu zingine. Yaan ana hela nyingi hadi hajui afanyie nn..
 
Inaumiza sna jamaa Badla hata afungue kiwanda yey ana poteza pesa za kwa Watu wanne
 
Hakuna mamlaaka nchini ya kumhoji mtu mwenye dhaman ya hela zenu. Shangilieni mpira kawaletea burudani.
 
Siku akitolewa pale wizarani na rimu inakufa,kodi zetu hizo
Upo sahihi kipind kile jiwe alipo mtandika jiwe la kichwa timu ikawa hoi na singida united ikafa baada ya kurudishw na bi mkubwa na timu imerudi chapu kwa haraka na ukwasi wa ajabu na ina uwezo wa kufanya chochote na isiguswe dadadeki
 
Hizo pesa ndizo zinatumika yanga pia.
Zinachotwa tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Yule boss wenu Utopwinyo, "gusa achia tukanywe thupu: ang'olewe kule kwenye fuko la hela la Taifa.
 
Kodi zetu bosi Mwigulu na mama anamchekea kwani wanaziponda pamoja
 
Aisee
 
Tangu umeijua Takukuru ,imewahi kumkamata kigogo gani? au kesi gani kubwa ya rushwa Takukuru walihusika? au nchi hii vigogo wote ni safi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…