TAKUKURU chunguzeni utajiri wa kutisha wa timu ya Singida Black Stars

Takukuru wenyewe ni kama vibogoyo tu na ombaomba! Siku wakipewa meno na uhuru kamili kwenye kufanya kazi zao, ndiyo watakuwa na tija. Ila siyo sasa.

By the way, hizo ni zile tozo unazokatwa kwa ajili ya miamala, vocha, mafuta, nk. Ndiyo zinachezewa na yule jamaa aliyemroga mama yetu.
 
Hivi ligi yenu haina Kanuni ya Fair competition?
 
Simba na Yanga zina wanachama zaidi ya milioni lakini wakijitoaga Mo na GSM kinatokeaga nini?
 
HILO LITIMU LINATUHARIBIA MPIRA WETU.

SASA HIVI LINAENDA KUBADILISHWA JINA.

SHAME, SINGIDA SHAME.
 
K Kwanini unapenda rply kwa kurejea ali choandika mtu,bila wewe kuandika chochote?
 
Duuuh.
 
Unajifanya humjui mmiliki anafanikisha ubingwa wa yanga na ndie scout na mlipaji mishahara wa yanga pindi mishahara inapotetereka...hili tumelipigia kelele sana ukitwalii nyuzi nyingi za nyuma ila ulijitoa ufahamu kwa kuwa tu watu wanaishambulia yanga B na hii timu ilinunuliwa makusudi baada ya kuwa inaifunga yanga huko mbarali mashamba ya mpunga boss wa yanga akakasirika na kuamua kuinunua!
 
Huna akili
Yaani Yanga ibebwe na Singida?
Hapa napinga uhuni kama Mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…