TAKUKURU haiwezi na haina mamlaka ya kubambikizia mtu kesi

Naona bado una hangover za kunywa sana wanzuki
 
Afadhali wewe umeelewa mkuu. Jamaa zako hapo juu badala ya kunitajia hizo kesi walau moja wameshindwa.

Mpaka nimeleta hoja hii nimefanya research nikagundu wengi hawaielewi hii issue.
Una uwezo wa kubishana na rais?
 
Acheni Upumbavu wenu mkiona Jambo lolote Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa nchi anasema Suala fulani au hata Kulikemea jua ( jueni ) kwa 100% ni sahihi na ana uhakika nalo kwakuwa Wasaidizi wake makini wamempa Uthibitisho kamili tena hata na Ushahidi wa ama Kinyaraka au Sauti ameonyeshwa na kusikilizishwa.
 
Umesahau kipindi kile katiba na sheria vilikanyagwa bila kujali lolote?
Unatakiwa kuanza kuelewa kwanini tunasema katiba mpya ni yalazima kwa ustawi na maendeleo ya nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…