TAKUKURU, hakuna wajumbe wa CCM mliowakamata?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Inafahamika huu msimu wa uchaguzi ndo msimu wa rushwa kwenye siasa.

Wagombea wanaotoa rushwa ni wengi mno..na wajumbe wanaodai rushwa wengi zaidi...sasa cha kushangaza hakuna taarifa za kukamatwa wajumbe hata moja.

Zinakuwepo taarifa za kukamatwa wagombea lakini wajumbe hakuna..

Inawezekanaje?.

Baada ya matokeo naamini wagombea wote waliotoa rushwa lakini wakasalitiwa na wajumbe watakuwa radhi kutoa ushirikiano Kwa Takukuru kuwakamata wote waliopokea rushwa na bado mgombea akaambulia kura sifuri huku watu waliomba na kupewa walichoomba..

Takukuru iamke sasa na iweke mfumo WA adhabu ndogo Kwa walio tayari 'kusaliti wenzao na kueleza kila kitu'..

Baadhi ya wagombea wapewe 'msamaha'ili

Wawataje wajumbe konki Kwa kudai rushwa ili na wao ujumbe wao ukome ikiwezekana...

Huu ni msimu wa kukamata watoa rushwa na waomba rushwa...mbona Takukuru imelala?

IMG-20200722-WA0279.jpg
 
Mkuu yani eneo hili nililopo nilishuhudia rushwa ya kiwango cha lami kabisa aisee, rushwa ilikuwa kama watu wanagawana fedha za kikundi baada ya kuvunja kikundi..
 
Bila kuwepo kwa rushwa ujue ccm haiwezi kuwepo haoa Tanzania
 
Na hakuna aliyekamtwa?
Mkuu yani eneo hili nililopo nilishuhudia rushwa ya kiwango cha lami kabisa aisee, rushwa ilikuwa kama watu wanagawana fedha za kikundi baada ya kuvunja kikundi..
 
MNAFIKI huyo Mkuu. Kwani Wabunge na Madiwani wa upinzani aliowanunua si ilikuwa rushwa ile? Takokuru ilikuwa wapi!?
Hahahahaha
 
Attachments

  • IMG-20200722-WA0085.jpg
    IMG-20200722-WA0085.jpg
    26.8 KB · Views: 1
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kuna daladala nimepanda asubuhi jamaa ni mpiga kura wa hizi mambo, jimbo la Ubungo anasema Bwana KM alikua akigawa njuluku hadharani, akitamba kwamba yeye Ni katika wachache "waliotumwa"

Duh basi hatari sana
 
Make no mistake Takukuru meno yake yanaonekana kwa watumishi wa serikali,Wafanyabiashara na wapinzani tu

Hilo ndo tatizo la katiba yetu kwamba taasisi zimelazimishwa kumlamba miguu mwanasiasa wa chama fulani(Rais)
 
Hii hatari sana
 
Inafahamika huu msimu wa uchaguzi ndo msimu wa rushwa kwenye siasa.

Wagombea wanaotoa rushwa ni wengi mno..na wajumbe wanaodai rushwa wengi zaidi...sasa cha kushangaza hakuna taarifa za kukamatwa wajumbe hata moja.

Zinakuwepo taarifa za kukamatwa wagombea lakini wajumbe hakuna..

Inawezekanaje?.

Baada ya matokeo naamini wagombea wote waliotoa rushwa lakini wakasalitiwa na wajumbe watakuwa radhi kutoa ushirikiano Kwa Takukuru kuwakamata wote waliopokea rushwa na bado mgombea akaambulia kura sifuri huku watu waliomba na kupewa walichoomba..

Takukuru iamke sasa na iweke mfumo WA adhabu ndogo Kwa walio tayari 'kusaliti wenzao na kueleza kila kitu'..

Baadhi ya wagombea wapewe 'msamaha'ili

Wawataje wajumbe konki Kwa kudai rushwa ili na wao ujumbe wao ukome ikiwezekana...

Huu ni msimu wa kukamata watoa rushwa na waomba rushwa...mbona Takukuru imelala?

View attachment 1513906
Jiwe limeshituka halitaki kujipendekeza tena ..limegundua wanao jipendekeza kwake wanalipiga ela ...naona anamalizia hasira za mwanae pendwa kwa Takukuru
 
Inafahamika huu msimu wa uchaguzi ndo msimu wa rushwa kwenye siasa.

Wagombea wanaotoa rushwa ni wengi mno..na wajumbe wanaodai rushwa wengi zaidi...sasa cha kushangaza hakuna taarifa za kukamatwa wajumbe hata moja.

Zinakuwepo taarifa za kukamatwa wagombea lakini wajumbe hakuna..

Inawezekanaje?.

Baada ya matokeo naamini wagombea wote waliotoa rushwa lakini wakasalitiwa na wajumbe watakuwa radhi kutoa ushirikiano Kwa Takukuru kuwakamata wote waliopokea rushwa na bado mgombea akaambulia kura sifuri huku watu waliomba na kupewa walichoomba..

Takukuru iamke sasa na iweke mfumo WA adhabu ndogo Kwa walio tayari 'kusaliti wenzao na kueleza kila kitu'..

Baadhi ya wagombea wapewe 'msamaha'ili

Wawataje wajumbe konki Kwa kudai rushwa ili na wao ujumbe wao ukome ikiwezekana...

Huu ni msimu wa kukamata watoa rushwa na waomba rushwa...mbona Takukuru imelala?

View attachment 1513906
Acha kufukua makaburi yashapita hayo alie katwa kakatwa waache vimbele mbele
 
MNAFIKI huyo Mkuu. Kwani Wabunge na Madiwani wa upinzani aliowanunua si ilikuwa rushwa ile? Takokuru ilikuwa wapi!?

Nimeipenda hii. Eti TAKOKURU! Hilo nalo likiwa KURU ni kikwazo cha kutembea!!!. Nchi imedata/simama.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
hewa tu hao kazi yao kuhangaika na CHADEMA ambao michango yao ipo kikatiba
 
Rais amewashangaa eti, alietoa rushwa Mtera anakuja kukamatiwa Dodoma...
Na akamuonya Brigedia Jenerali Mbung'o
Oyii!!,unamwamini huyo!Toka awaahidi watumishi atawapandishia mishahara na hajapandisha tena,sina imani naye tena
 
Back
Top Bottom