The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Inafahamika huu msimu wa uchaguzi ndo msimu wa rushwa kwenye siasa.
Wagombea wanaotoa rushwa ni wengi mno..na wajumbe wanaodai rushwa wengi zaidi...sasa cha kushangaza hakuna taarifa za kukamatwa wajumbe hata moja.
Zinakuwepo taarifa za kukamatwa wagombea lakini wajumbe hakuna..
Inawezekanaje?.
Baada ya matokeo naamini wagombea wote waliotoa rushwa lakini wakasalitiwa na wajumbe watakuwa radhi kutoa ushirikiano Kwa Takukuru kuwakamata wote waliopokea rushwa na bado mgombea akaambulia kura sifuri huku watu waliomba na kupewa walichoomba..
Takukuru iamke sasa na iweke mfumo WA adhabu ndogo Kwa walio tayari 'kusaliti wenzao na kueleza kila kitu'..
Baadhi ya wagombea wapewe 'msamaha'ili
Wawataje wajumbe konki Kwa kudai rushwa ili na wao ujumbe wao ukome ikiwezekana...
Huu ni msimu wa kukamata watoa rushwa na waomba rushwa...mbona Takukuru imelala?