Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
- Thread starter
- #21
Mnawalaumu TAKUKURU bure tu, hiyo 2020 walimpa JPM list ya watoa rushwa kwenye kura za maoni CCM ila JPM hakumkamata hata mmoja ulitegemea wao waweze? CCM wanalindana sana
Inchi yetu hatuna uwadilifu na uwajibikaji, kila kona rushwa