Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tatizo kubwa sana ni TFF kujimilikisha Timu ya Taifa wakidhani ni yao , kumbe ni ya wananchi .Bora wamfuate Malinzi tuanze upya uchaguzi
Yaani ,huyu ninje aiseeee rafiki zake huko Uk watakuwa wanacheka wakisikia kapewa national team,si wangempa hata seleman matola...damn na kina wilfred kidao wako pale wanaota tu vitambi na hela zetu za viingilio.tararira nyiiingi hawana tofauti na malinziUnaambiwa Mkulu ndio kaamua aletwe huyo. Na akapata baraka za ccm
Wewe ni nani umpinge?
Kama kweli ana cheo hicho kwenye hiyo Timu basi anatufaa kabisa.kwenye hiyo Timu hawa wote makocha wetu wanaopiga kelele kama wakina JULIO hawawezi hata kupewa kazi ya kuwa KUBEBA JEZI.Tumezoea makocha wababaishaji sasa huyu mnataka kumletea zengwe.Kwani kabla KINJE hajakuja Tanzania imechukua kombe gani.Hata mimi kabla sijaona CV yake nilikuwa simkubali ila kwa sasa huyu levo yake ni nzuri na ya juuNmeweka hapa sababu hili ni janga la kitaifa na team ya Tanzania inabeba jina letu ,huu ujinga wa kudanganyana kama watoto tukiulea ni mbaya. Ma naibu waziri wanaojiita ma engineers kumbe ni wana FTC toka sijui DIT ,
Mwingine huyu kapewa team ya taifa juzi na watu wanasema ana cv ya Notts county(Nottingham forest na Hull city,eti alikuwa benchi la ufundi)
Twende taratibu hapa,huyu jamaa alikuwa anafundisha under 13 akiwa kama youth development coach,huku tumepigwa mkwara kwamba jamaa ana cheti cha ukocha cha uefa kumbe ni level 4 hata yule bwana dennis kitambi mwenye grade B kamshinda
Hivi waingereza aliofanya nao kazi wakisikia huku ni national team coach si watatucheka, na huu ujinga wa kila siku kuita vitoto kisa viko academy ya barcelona au huko austria utaisha lini?si wanacheka na kujiuliza hii ni nchi ya aina gani?
Shame on you TFF ,shame kabisa, Halfu eti kuna mtu anaitwa mkuu wa kamati ya ufundi, mnakula ma deal na kutuletea kituko kisa anajua english
Notts County FC - Staff directory
Notts County FC - Staff directory
Academy Manager: Jon Goodman. Head of Academy Coaching: Dan Leivers. Lead Professional Development Phase Coach: Simon Clark. Youth Development Phase Lead Coach: Ammy Ninje. Foundation Phase Lead Coach: Craig Gordon. Head of Academy Talent I.D & Recruitment: Craig Wallace. Administrative staff.
View attachment 650330
Tujaribu kumpeleka huyo MATOLA,JULIO,MKWASA,MAYANGA,MEXIME ,MINZIRO kwenye hii timu ya waingereza utaoona kama wanaweza wakachukua nafasi ya NINJE kwenye hiyo timu ya Nott Forest.Sisi levo ya makocha wetu wazawa bafdo ipo chini sana kwa hiyo huyu kupewa Timu ya Taifa ni sawa tu kwani hata wachezaji wetu wa Taifa wakipelekwa Nott forest hawatakuwa hata kwenye Timu anayofundisha Ninje wanaweza kuwa levo ya chini zaidiYaani ,huyu ninje aiseeee rafiki zake huko Uk watakuwa wanacheka wakisikia kapewa national team,si wangempa hata seleman matola...damn na kina wilfred kidao wako pale wanaota tu vitambi na hela zetu za viingilio.tararira nyiiingi hawana tofauti na malinzi
Jikite kwenye mada mjombaMuache upumbavu wengine wanapandishwa vyeo na niwatoaji wakubwa warushwa mnataka kumuonea ninje ambaye hata mshahara halipwi zaidi ya posho tu
KI UKWELI mtamtetea sana huyo mshkaji wenu,level zake ni under 13 sio team ya taifa,acheni mizaha mizaha bwanaTujaribu kumpeleka huyo MATOLA,JULIO,MKWASA,MAYANGA,MEXIME ,MINZIRO kwenye hii timu ya waingereza utaoona kama wanaweza wakachukua nafasi ya NINJE kwenye hiyo timu ya Nott Forest.Sisi levo ya makocha wetu wazawa bafdo ipo chini sana kwa hiyo huyu kupewa Timu ya Taifa ni sawa tu kwani hata wachezaji wetu wa Taifa wakipelekwa Nott forest hawatakuwa hata kwenye Timu anayofundisha Ninje wanaweza kuwa levo ya chini zaidi
kina kayuni washafundisha huko, dennis kitambi yuko afc leopardsHivi ni kwanini sijawahi kusikia makocha wetu wanapata ajira hata kenya?
Hapo sasa na huyu yupo ulaya kabisa wakina Julio wapo wapo tuHivi ni kwanini sijawahi kusikia makocha wetu wanapata ajira hata kenya?
Hapo sasa na huyu yupo ulaya kabisa wakina Julio wapo wapo tu