TAKUKURU ichunguze mchakato wa kumpa kazi kocha mbovu Ninje

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa vile hakuna sababu yoyote ya kitaalam wala ya kisoka itayomridhisha Mtanzania yeyote mpenda soka hata kama ni kipofu au kiziwi , basi bila shaka zipo sababu zingine zilizosababisha Kamati ya utendaji ya TFF kumpa ajira mtu ambaye si kocha na wala hana historia yeyote katika soka , na bila shaka sababu hizo ni zile zinazoendana na rushwa na utakatishaji wa pesa.

Haiwezekani waachwe makocha apewe timu binadamu mwingine yeyote tu .

Naiomba TAKUKURU ifanye kazi ili sisi wengine tujiridhishe .

Natanguliza shukrani .
 
Nmeweka hapa sababu hili ni janga la kitaifa na team ya Tanzania inabeba jina letu ,huu ujinga wa kudanganyana kama watoto tukiulea ni mbaya. Ma naibu waziri wanaojiita ma engineers kumbe ni wana FTC toka sijui DIT ,

Mwingine huyu kapewa team ya taifa juzi na watu wanasema ana cv ya Notts county(Nottingham forest na Hull city,eti alikuwa benchi la ufundi)

Twende taratibu hapa,huyu jamaa alikuwa anafundisha under 13 akiwa kama youth development coach,huku tumepigwa mkwara kwamba jamaa ana cheti cha ukocha cha uefa kumbe ni level 4 hata yule bwana dennis kitambi mwenye grade B kamshinda

Hivi waingereza aliofanya nao kazi wakisikia huku ni national team coach si watatucheka, na huu ujinga wa kila siku kuita vitoto kisa viko academy ya barcelona au huko austria utaisha lini?si wanacheka na kujiuliza hii ni nchi ya aina gani?

Shame on you TFF ,shame kabisa, Halfu eti kuna mtu anaitwa mkuu wa kamati ya ufundi, mnakula ma deal na kutuletea kituko kisa anajua english

Notts County FC - Staff directory

Notts County FC - Staff directory
Academy Manager: Jon Goodman. Head of Academy Coaching: Dan Leivers. Lead Professional Development Phase Coach: Simon Clark. Youth Development Phase Lead Coach: Ammy Ninje. Foundation Phase Lead Coach: Craig Gordon. Head of Academy Talent I.D & Recruitment: Craig Wallace. Administrative staff.

ninje msanii 1.PNG
 
Muache upumbavu wengine wanapandishwa vyeo na niwatoaji wakubwa warushwa mnataka kumuonea ninje ambaye hata mshahara halipwi zaidi ya posho tu
 
Unaambiwa Mkulu ndio kaamua aletwe huyo. Na akapata baraka za ccm

Wewe ni nani umpinge?
Yaani ,huyu ninje aiseeee rafiki zake huko Uk watakuwa wanacheka wakisikia kapewa national team,si wangempa hata seleman matola...damn na kina wilfred kidao wako pale wanaota tu vitambi na hela zetu za viingilio.tararira nyiiingi hawana tofauti na malinzi
 
Nmeweka hapa sababu hili ni janga la kitaifa na team ya Tanzania inabeba jina letu ,huu ujinga wa kudanganyana kama watoto tukiulea ni mbaya. Ma naibu waziri wanaojiita ma engineers kumbe ni wana FTC toka sijui DIT ,

Mwingine huyu kapewa team ya taifa juzi na watu wanasema ana cv ya Notts county(Nottingham forest na Hull city,eti alikuwa benchi la ufundi)

Twende taratibu hapa,huyu jamaa alikuwa anafundisha under 13 akiwa kama youth development coach,huku tumepigwa mkwara kwamba jamaa ana cheti cha ukocha cha uefa kumbe ni level 4 hata yule bwana dennis kitambi mwenye grade B kamshinda

Hivi waingereza aliofanya nao kazi wakisikia huku ni national team coach si watatucheka, na huu ujinga wa kila siku kuita vitoto kisa viko academy ya barcelona au huko austria utaisha lini?si wanacheka na kujiuliza hii ni nchi ya aina gani?

Shame on you TFF ,shame kabisa, Halfu eti kuna mtu anaitwa mkuu wa kamati ya ufundi, mnakula ma deal na kutuletea kituko kisa anajua english

Notts County FC - Staff directory

Notts County FC - Staff directory
Academy Manager: Jon Goodman. Head of Academy Coaching: Dan Leivers. Lead Professional Development Phase Coach: Simon Clark. Youth Development Phase Lead Coach: Ammy Ninje. Foundation Phase Lead Coach: Craig Gordon. Head of Academy Talent I.D & Recruitment: Craig Wallace. Administrative staff.

View attachment 650330
Kama kweli ana cheo hicho kwenye hiyo Timu basi anatufaa kabisa.kwenye hiyo Timu hawa wote makocha wetu wanaopiga kelele kama wakina JULIO hawawezi hata kupewa kazi ya kuwa KUBEBA JEZI.Tumezoea makocha wababaishaji sasa huyu mnataka kumletea zengwe.Kwani kabla KINJE hajakuja Tanzania imechukua kombe gani.Hata mimi kabla sijaona CV yake nilikuwa simkubali ila kwa sasa huyu levo yake ni nzuri na ya juu
 
Yaani ,huyu ninje aiseeee rafiki zake huko Uk watakuwa wanacheka wakisikia kapewa national team,si wangempa hata seleman matola...damn na kina wilfred kidao wako pale wanaota tu vitambi na hela zetu za viingilio.tararira nyiiingi hawana tofauti na malinzi
Tujaribu kumpeleka huyo MATOLA,JULIO,MKWASA,MAYANGA,MEXIME ,MINZIRO kwenye hii timu ya waingereza utaoona kama wanaweza wakachukua nafasi ya NINJE kwenye hiyo timu ya Nott Forest.Sisi levo ya makocha wetu wazawa bafdo ipo chini sana kwa hiyo huyu kupewa Timu ya Taifa ni sawa tu kwani hata wachezaji wetu wa Taifa wakipelekwa Nott forest hawatakuwa hata kwenye Timu anayofundisha Ninje wanaweza kuwa levo ya chini zaidi
 
Aisee,,, pamoja na mleta mada kumponda Ninje, lakini sikujua kama jamaa ana level nzuri namna hio ktk football academy.

Nafikiri sehemu sahihi kwa Ninje ni kwenda akasaidiane na Kim Poulsen ktk kuwakuza u17, ikishindikana basi Azam Academy atawafaa sana!!!
 
Tujaribu kumpeleka huyo MATOLA,JULIO,MKWASA,MAYANGA,MEXIME ,MINZIRO kwenye hii timu ya waingereza utaoona kama wanaweza wakachukua nafasi ya NINJE kwenye hiyo timu ya Nott Forest.Sisi levo ya makocha wetu wazawa bafdo ipo chini sana kwa hiyo huyu kupewa Timu ya Taifa ni sawa tu kwani hata wachezaji wetu wa Taifa wakipelekwa Nott forest hawatakuwa hata kwenye Timu anayofundisha Ninje wanaweza kuwa levo ya chini zaidi
KI UKWELI mtamtetea sana huyo mshkaji wenu,level zake ni under 13 sio team ya taifa,acheni mizaha mizaha bwana
 
Hivi ni kwanini sijawahi kusikia makocha wetu wanapata ajira hata kenya?
 
mashindwa hata kuchangia nikifikiria watanzania tunavyofanywa mazuzu na wanaojiita viongozi wa soka wakati mpira wenyewe unawashinda, hivi mkurugenzi wa ufundi anafanya kazi gani
 
Kocha ana Kitambi ?
Sasa atatoaje demo za kuruka Vikoni vya mazoezini ?

Kocha Bosi...!

Ha...ha...ha...
Kweli ukistaajabu ya malinzi utaona ya Kiria.

Njaa haijawahi kumwacha mtu salama
 
Back
Top Bottom