Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi kawa Mkurugenzi wa Ufundi !Nmeweka hapa sababu hili ni janga la kitaifa na team ya Tanzania inabeba jina letu ,huu ujinga wa kudanganyana kama watoto tukiulea ni mbaya. Ma naibu waziri wanaojiita ma engineers kumbe ni wana FTC toka sijui DIT ,
Mwingine huyu kapewa team ya taifa juzi na watu wanasema ana cv ya Notts county(Nottingham forest na Hull city,eti alikuwa benchi la ufundi)
Twende taratibu hapa,huyu jamaa alikuwa anafundisha under 13 akiwa kama youth development coach,huku tumepigwa mkwara kwamba jamaa ana cheti cha ukocha cha uefa kumbe ni level 4 hata yule bwana dennis kitambi mwenye grade B kamshinda
Hivi waingereza aliofanya nao kazi wakisikia huku ni national team coach si watatucheka, na huu ujinga wa kila siku kuita vitoto kisa viko academy ya barcelona au huko austria utaisha lini?si wanacheka na kujiuliza hii ni nchi ya aina gani?
Shame on you TFF ,shame kabisa, Halfu eti kuna mtu anaitwa mkuu wa kamati ya ufundi, mnakula ma deal na kutuletea kituko kisa anajua english
Notts County FC - Staff directory
Notts County FC - Staff directory
Academy Manager: Jon Goodman. Head of Academy Coaching: Dan Leivers. Lead Professional Development Phase Coach: Simon Clark. Youth Development Phase Lead Coach: Ammy Ninje. Foundation Phase Lead Coach: Craig Gordon. Head of Academy Talent I.D & Recruitment: Craig Wallace. Administrative staff.
View attachment 650330
Cv take inambeba! Wachumia tumbo wa jf hamuwezi kuelewahawa viongozi sijui wamerogwa na nani mtu ukocha tu kaushindwa ndio ataweza ukurugenzi wa ufundi
hii nafasi ilitangazwa, unajua taratibu za kupata watendaji wa tff kwa mujibu wa fifa nafasi zote za ajira inabidi zitangazwe ila kwa sababu ulishazoea kupewa ajira bila kufanyiwa interview ndio maana unaleta ujinga wakoCv take inambeba! Wachumia tumbo wa jf hamuwezi kuelewa
Sunday Kayuni amewahi kufundisha mpira KenyaHivi ni kwanini sijawahi kusikia makocha wetu wanapata ajira hata kenya?