TAKUKURU ichunguze mchakato wa kumpa kazi kocha mbovu Ninje

TAKUKURU ichunguze mchakato wa kumpa kazi kocha mbovu Ninje

Nmeweka hapa sababu hili ni janga la kitaifa na team ya Tanzania inabeba jina letu ,huu ujinga wa kudanganyana kama watoto tukiulea ni mbaya. Ma naibu waziri wanaojiita ma engineers kumbe ni wana FTC toka sijui DIT ,

Mwingine huyu kapewa team ya taifa juzi na watu wanasema ana cv ya Notts county(Nottingham forest na Hull city,eti alikuwa benchi la ufundi)

Twende taratibu hapa,huyu jamaa alikuwa anafundisha under 13 akiwa kama youth development coach,huku tumepigwa mkwara kwamba jamaa ana cheti cha ukocha cha uefa kumbe ni level 4 hata yule bwana dennis kitambi mwenye grade B kamshinda

Hivi waingereza aliofanya nao kazi wakisikia huku ni national team coach si watatucheka, na huu ujinga wa kila siku kuita vitoto kisa viko academy ya barcelona au huko austria utaisha lini?si wanacheka na kujiuliza hii ni nchi ya aina gani?

Shame on you TFF ,shame kabisa, Halfu eti kuna mtu anaitwa mkuu wa kamati ya ufundi, mnakula ma deal na kutuletea kituko kisa anajua english

Notts County FC - Staff directory
Notts County FC - Staff directory
Academy Manager: Jon Goodman. Head of Academy Coaching: Dan Leivers. Lead Professional Development Phase Coach: Simon Clark. Youth Development Phase Lead Coach: Ammy Ninje. Foundation Phase Lead Coach: Craig Gordon. Head of Academy Talent I.D & Recruitment: Craig Wallace. Administrative staff.

View attachment 650330
Sasa hivi kawa Mkurugenzi wa Ufundi !
 
Hii nafasi ilitangazwa rasmi? au ndio toa huyu weka yule

Pia mwenye kujua majukumu ya kila siku ya mkurugenzi wa Ufundi TFF atuwekee ,maana hiki cheo ni zaidi ya Kocha Mkuu na Makocha wote wazawa

Km ni mipango ya soka huyu ndio mwenye ramani
 
Back
Top Bottom