Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waanze na ulimboka kwani alikamatwa na pesa za rushwa kabisa. Kwani ni kosa kutembea na bahasha hata kama ina hela?kuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia vitunguu au tangawizi.
Takukuru fuatilieni, huyu mtu ataharibu soka letu.
View attachment 1654873
Dawa imeanza kuwaingia vizuri eeeh.......timu yetu mbovu sana sasa mnahangaika na nini?kuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia vitunguu au tangawizi.
Takukuru fuatilieni, huyu mtu ataharibu soka letu.
View attachment 1654873
Huo uchafu upo Mikia kwenye pesa za kurithi.kuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia vitunguu au tangawizi.
Takukuru fuatilieni, huyu mtu ataharibu soka letu.
View attachment 1654873
Kwa hiyo hizo bahasha za kaki ndo zilifanya antibiotic Saido apige free kick ya ulaya? Nyie mikia subilini kipigo kutoka Kwa platinum!kuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia vitunguu au tangawizi.
Takukuru fuatilieni, huyu mtu ataharibu soka letu.
View attachment 1654873
Wakati mwingine muwe na aibu kuongea ujinga.Inawezekana huyu jamaa anatafuta matokeo kwa namna yoyote ili kuwadanganya utopolo
Siyo shabiki wa hizi timu zenu mbili, lakini comment za kitoto kama alivyofanya mleta mada inanifanya niamini kuna tatizo kwa washabiki wa hii timu. Mtu analeta post ya kipuuzi halafu anaungwa mkono.?Team ya mikia huwa inabeba vichaa wengi
Ila hii timu ina wajinga wengi mnooo!!View attachment 1655726
Kwahiyo wachezaji wake wasipewe motisha mbona Alisha tangaza awali Kuna motisha kila mechi wanazo shinda . Na pia Mashabiki wa Yanga huwa wanakikundi Chao Cha motisha wanamoigia kula mchezaji na badae wanampa zawadikuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia vitunguu au tangawizi.
Takukuru fuatilieni, huyu mtu ataharibu soka letu.
View attachment 1654873