TAKUKURU ifuatilie nyendo za Engineer Hersi

TAKUKURU ifuatilie nyendo za Engineer Hersi

Siyo shabiki wa hizi timu zenu mbili, lakini comment za kitoto kama alivyofanya mleta mada inanifanya niamini kuna tatizo kwa washabiki wa hii timu. Mtu analeta post ya kipuuzi halafu anaungwa mkono.?
Tuwavumilie tu hao ni ndugu zetu japo ni wapuuzi kama unavyoona
 
kuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia vitunguu au tangawizi.

Takukuru fuatilieni, huyu mtu ataharibu soka letu.
View attachment 1654873
Hivi huyu Hersi ndiyo kila Kitu Yanga SC na Mwenyekiti Mshindo Msola Yeye ni Mwangalizi tu wa Vitasa, Milango na Majengo ya pale Kaunda tu?
 
kuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia vitunguu au tangawizi.

Takukuru fuatilieni, huyu mtu ataharibu soka letu.
View attachment 1654873
Kumbe na wewe mwanasoka unatabia za kugush
 
Mbona liko wazi,msimu huu yanga wameungana kuhakikisha kivyovyote wanachukua kombe
 
Back
Top Bottom