TAKUKURU ifuatilie nyendo za Engineer Hersi

Waanze na ulimboka kwani alikamatwa na pesa za rushwa kabisa. Kwani ni kosa kutembea na bahasha hata kama ina hela?
 
Dawa imeanza kuwaingia vizuri eeeh.......timu yetu mbovu sana sasa mnahangaika na nini?
 
Huo uchafu upo Mikia kwenye pesa za kurithi.
 
Kwa hiyo hizo bahasha za kaki ndo zilifanya antibiotic Saido apige free kick ya ulaya? Nyie mikia subilini kipigo kutoka Kwa platinum!
 
Kashaona kwenye mabadiliko anafanya usanii sasa kakimbilia kununua mechi
 
Huwezi kufikiria Jambo Kama hili,pengine anawapa wachezaji wake Kama bonus
 
Ule mpira tu wa Saido unatosha kuwadhihirishia kuwa pira linapigwa na matokeo yanaonekana.
 
Kwahiyo wachezaji wake wasipewe motisha mbona Alisha tangaza awali Kuna motisha kila mechi wanazo shinda . Na pia Mashabiki wa Yanga huwa wanakikundi Chao Cha motisha wanamoigia kula mchezaji na badae wanampa zawadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…