Iko wapi hiyo video?Hii video inaonesha Chama cha Mapinduzi kikiwapa wananchi wote elfu kumi kumi wakiwa wanatoka kwenye mkutano huo wa CCM
Hii ni RUSHWA, TAKUKURU inafanya kazi gani sasa ikiwa haya mambo yanafanywa hadharani hivi?
au state captue!Mkuu,
mtu akisema neno "a failed state"
Unaelewa nini?
wanakula kwa urefu wa kamba zao wakati wa uchaguzi!Sasa WAJUMBE wakale wapi mkuu