RWANTANG
JF-Expert Member
- Dec 28, 2021
- 1,143
- 1,425
Baada ya kulata Rufaa pia afungue jalada la madai ya mgswa yo wa maliAgatha akate rufaa mahakama ya juu kuliko hiyo yenye upendeleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kulata Rufaa pia afungue jalada la madai ya mgswa yo wa maliAgatha akate rufaa mahakama ya juu kuliko hiyo yenye upendeleo
Ndo alichostahili!!!Kwa mujibu wa taarifa ni mwanamke
Mahakama haiingiliwi maamuzi yake kwa style hiyo,have you ever heard of the right to appeal? Basi nakushauri mkakate rufaa mahakama kuu mtapata haki yenu haki haitafutwi kwa upanga Kama ni haki yake atapewa hizo mali na matunzo otherwise sio lazima akae na watoto baba anaweza kuwatunza pia.Naomba kwa dhati vyombo vyetu vya ulinzi na usalama fanyeni uchunguzi juu ya kesi hii,Mh Rajabu maamuzi uliyo yafanya katika shauri ulilolifanyia maamuzi tarehe 20/04/2022 linalo mhusu mtu anayefahamika kwa jina la Agatha kuhaga na Mumewe anayefahamika kwa jina moja la Nyenza ni kuinajisi sheria na kutokuwa na hofu na Mungu.
Mgawanyo wa mali ulioufanya una walakini.
- Kati ya viwanja 3 mwanamke mke 1
- Gari 3 mwanamke bila bila
- Pikipiki 4 mwanamke bilabila
- Bajaji 2 mwanamke bilabila
Kumbuka huyu mama ameachwa na watoto 2 wadogo. Na unajua pia mwanaume kamuacha mkewe kwa kuwa kapata Kimada mungine.
Halafu unasema apewe laki 1 ya matunzo kwa mwezi mhh.
Naomba kwa dhati kabisa serikali ifatilieni hukumu hii kuna mengi mtajifunza kwenye mahakama zetu.
Nafanya jitihada za kumpta huyu mama na namba zake ili nimuunganishe na watu wanaoweza kumsaidia.
Ila kwa taarifa zilizopo ni kwamba mkuu wa wilaya Iringa ameamua kuliingilia Jambo hili.
Hapo ni 50,000 ya mshahara wa dada na nyama kilo 3Wewe unaweza kutumia Laki Moja Kwa Mwezi...Na Watoto' Wawili??
Anapokata rufaa atalalamikia namna ambavyo hajaridhishwa na mgawanyo wa mali ulivyofanyika na Mahakama itapitia records upya na itatoa hukumu.Baada ya kulata Rufaa pia afungue jalada la madai ya mgswa yo wa mali
Ndio apambane sio kutegemea mwanaumeHapo ni 50,000 ya mshahara wa dada na nyama kilo 3
Siyo lazima mwanamke ashiriki kutafuta mali directly. Hata kitendo cha kubaki nyumbani kutimiza majukumu ya malezi na kazi za nyumbani inahesabika alishiriki kikamilifu. Mimi siyo mwanasheria bali ndivyo navyojua.Siamini kama hukuzaliwa kwa bahati mbaya.kwa mujibu wa taarifa zilizopo mali walichuma wote,na hata baadhi ya mali aliandika majina ya huyo dada
Section 8 of penal code, ignoratia juris non excusantKama Haujatidhika na maamuzi ya Uyo Hakimu Kata rufaa sio kupiga kelelee Hata uyo DC awezi batilisha iyo Hukum ispokua Mahakama ya Juu.Sasa kama mama alikua Mama wa Nyumbani ulitaka apewe nini???Nyie ndio mnao tupa wanaume shida na Mahaki yenu hayo.Sasa endeleeni Kupiga keleee JF badala ya kukata rufaa afu muda upite ndo Mtajua ignorance of Law has no excuse
Bi Hawa Versus Ally Seif hii kesi ndio ilitoa huu msimamoSiyo lazima mwanamke ashiriki kutafuta mali directly. Hata kitendo cha kubaki nyumbani kutimiza majukumu ya malezi na kazi za nyumbani inahesabika alishiriki kikamilifu. Mimi siyo mwanasheria bali ndivyo navyojua.
Umetoia maelezo mazuri sana. Naona kuna watu hawajui nguvu ya mahakama.Mahakama haiingiliwi maamuzi yake kwa style hiyo,have you ever heard of the right to appeal? Basi nakushauri mkakate rufaa mahakama kuu mtapata haki yenu haki haitafutwi kwa upanga Kama ni haki yake atapewa hizo mali na matunzo otherwise sio lazima akae na watoto baba anaweza kuwatunza pia.
Ni rahisi sana kuongea kuhusu hukumu lakini hatujui kwa nini Mahakama imefikia huo uamuzi, suala la kuwepo kimada sio ishu lazima iwe proved na other mitigating factors.
Pia mali yawezekana nyingine hazikuwa matrimonial property kwa maana ya kwamba labda hizo nyumba nyingine alizkikuta kabla ya ndoa.
Kuna mambo mengi hapo suluhisho sio TAKUKURU, maana wao sio idara inayohusika na utoaji wa haki.
Hata ukisoma hiyo hukumu lazima na ni lazima imeandikwa haki ya kikata rufaa inaruhusiwa kwa anayeona hayatendewa haki.
Wahini mapema kabla muda wa kukata rufaa haujapita,, the Court is not your mother.
SI suala la gari au laki, sheria inasema nini?sasa mtu anapewa lak 1,kila mwez ,unataka apewe gar,au pkpk ,apeleke wapi !?, Akahonge wanaume!!! shutup kabisa.
Kitendo cha wewe kuwa na peace of mind iliyosababishwa na mke kwa kuwepo kwake hone wakati unatafuta mali, inatosha kuwa alishiriki utafutaji huo...Siyo lazima mwanamke ashiriki kutafuta mali directly. Hata kitendo cha kubaki nyumbani kutimiza majukumu ya malezi na kazi za nyumbani inahesabika alishiriki kikamilifu. Mimi siyo mwanasheria bali ndivyo navyojua.
Tudadavulie kidogo ndugu yangu. Au kama una link ya hukumu naomba uniwekee. With respect! NB: Hivi Tanzania hakuna ndoa zile za kusema kinachochumwa na bwana ni cha bwana na kinachochumwa na mke ni cha mke? Nimeona kuna nchi nyingine wanandoa wanaweza kuamuwa kufunga ndoa za aina hii.Bi Hawa Versus Ally Seif hii kesi ndio ilitoa huu msimamo
Hapo sasa, watu wanadhani maamuzi ya Hakimu yanatoka kichwani kwake tu Kama vile mama anavyoamua kesi za wanae wanapigombana.SI suala la gari au laki, sheria inasema nini?
Tudadavulie kidogo ndugu yangu. Au kama una link ya hukumu naomba uniwekee. With respect! NB: Hivi Tanzania hakuna ndoa zile za kusema kinachochumwa na bwana ni cha bwana na kinachochumwa na mke ni cha mke? Nimeona kuna nchi nyingine wanandoa wanaweza kuamuwa kufunga ndoa
Zipo version mbalimbali za hii kesi lakini ukiandika hiyo citation kwenye Google itakuja utasoma otherwise kuhusu Mali ya mume au mke kuwa yake pekee ni Ile tu ambayo uliichuma kabla ya ndoa Tena Kama ni nyumba isiwe Ile ambayo baabda ya ndoa uliifanya kuwa nyumba ya familia yako inapoishi hiyo itahesabiwa kuwa matrimonial home.Tudadavulie kidogo ndugu yangu. Au kama una link ya hukumu naomba uniwekee. With respect! NB: Hivi Tanzania hakuna ndoa zile za kusema kinachochumwa na bwana ni cha bwana na kinachochumwa na mke ni cha mke? Nimeona kuna nchi nyingine wanandoa wanaweza kuamuwa kufunga ndoa za aina hii.
Laki 1 ni ya watoto. Sio yeye, yeye ajitafutie kula yake.Wewe unaweza kutumia Laki Moja Kwa Mwezi...Na Watoto' Wawili??
Kama mama hajaridhika akate rufaa mahakama ya juu zaidi ili apate haki yake kwa mujibu wa SheriaNaomba kwa dhati vyombo vyetu vya ulinzi na usalama fanyeni uchunguzi juu ya kesi hii,Mh Rajabu maamuzi uliyo yafanya katika shauri ulilolifanyia maamuzi tarehe 20/04/2022 linalo mhusu mtu anayefahamika kwa jina la Agatha kuhaga na Mumewe anayefahamika kwa jina moja la Nyenza ni kuinajisi sheria na kutokuwa na hofu na Mungu.
Mgawanyo wa mali ulioufanya una walakini.
- Kati ya viwanja 3 mwanamke mke 1
- Gari 3 mwanamke bila bila
- Pikipiki 4 mwanamke bilabila
- Bajaji 2 mwanamke bilabila
Kumbuka huyu mama ameachwa na watoto 2 wadogo. Na unajua pia mwanaume kamuacha mkewe kwa kuwa kapata Kimada mungine.
Halafu unasema apewe laki 1 ya matunzo kwa mwezi mhh.
Naomba kwa dhati kabisa serikali ifatilieni hukumu hii kuna mengi mtajifunza kwenye mahakama zetu.
Nafanya jitihada za kumpta huyu mama na namba zake ili nimuunganishe na watu wanaoweza kumsaidia.
Ila kwa taarifa zilizopo ni kwamba mkuu wa wilaya Iringa ameamua kuliingilia Jambo hili.
Nafikiri Kanuni zipo wazi, kama Mtu hajaridhika na hukumu akate Rufaa kwenda Mahakama ya juu yake, bila shaka hiyo ni Mahakama ya mwanzo hivyo akate Rufaa kwenda Mahakama ya Wilaya.Naomba kwa dhati vyombo vyetu vya ulinzi na usalama fanyeni uchunguzi juu ya kesi hii,Mh Rajabu maamuzi uliyo yafanya katika shauri ulilolifanyia maamuzi tarehe 20/04/2022 linalo mhusu mtu anayefahamika kwa jina la Agatha kuhaga na Mumewe anayefahamika kwa jina moja la Nyenza ni kuinajisi sheria na kutokuwa na hofu na Mungu.
Mgawanyo wa mali ulioufanya una walakini.
- Kati ya viwanja 3 mwanamke mke 1
- Gari 3 mwanamke bila bila
- Pikipiki 4 mwanamke bilabila
- Bajaji 2 mwanamke bilabila
Kumbuka huyu mama ameachwa na watoto 2 wadogo. Na unajua pia mwanaume kamuacha mkewe kwa kuwa kapata Kimada mungine.
Halafu unasema apewe laki 1 ya matunzo kwa mwezi mhh.
Naomba kwa dhati kabisa serikali ifatilieni hukumu hii kuna mengi mtajifunza kwenye mahakama zetu.
Nafanya jitihada za kumpta huyu mama na namba zake ili nimuunganishe na watu wanaoweza kumsaidia.
Ila kwa taarifa zilizopo ni kwamba mkuu wa wilaya Iringa ameamua kuliingilia Jambo hili.