Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Iringa Imeanzisha Uchunguzi wa Madai ya Uwepo Baadhi ya Wagombea wa Serikali za Mitaa kujitoa Kugombea Baada ya kupewa Rushwa.
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Iringa, Domina Mkama ametoa Kauli Hiyo wakati akizungumzia Utendaji Kazi wa Taasisi Hiyo Katika Robo ya Tatu ya Mwaka 2024( July- September).
Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa
Amesema Kuwa TAKUKURU Imepokea Malalamiko Kutoka Baadhi ya Vyama vya Siasa Kuwa Kuna Watu Wanawarubuni wagombea Kujiondoa kwa Kuwapatia Fedha Ambapo Ametoa Wito Kwa Wananchi Wenye Taarifa Kutoa Ushirikiano kwa TAKUKURU.
Soma, Pia: