Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Vipi kuhusu ripoti ya CAG juu ya wizi na upotevu wa mabilioni ya pesa za walipa kodi serikalini, hao TAKUKURU wameshughulikia vipi?!
Hilo hawezi kukujibu. Yeye huwa ni mpiga kelele kwenye mambo ya kipuuzi. Mleta mada, ni lini aliwahi kuleta hoja, halafu ukaisoma na kuona kuwa hii imetoka kwa mtu mwenye uelewa na settled mind?
Hata akileta taarifa ya tukio muhimu, atali-dilute na lugha ya unafiki wa kichawa, kiasi cha kuifanya hata hiyo taarifa nzima ionekane haina maana.