Vipi kuhusu ripoti ya CAG juu ya wizi na upotevu wa mabilioni ya pesa za walipa kodi serikalini, hao TAKUKURU wameshughulikia vipi?!
Muziki wa TAKUKURU ni mnene sana... bora ufuatiliwe na polisi kuliko Takukuru.. balaa lao ni zito. CHADEMA kazi wanayo.
Acha kuweweseka hapa.acha TAKUKURU wafanye kazi yao wa kukagua uchafu uliopo ndani ya CHADEMA. Mmezoea sana janja janja nyie nyumbu na madalali wa kisiasa.Hiyo taasisi imejaa wala rushwa wakubwa. Ukiripoti tukio la rushwa, kwao hulifanya hilo tukio kuwa ni biashara. Wataitumia hiyo taarifa kujipatia rushwa toka kwa mtuhumiwa. Ukiona mtuhumiwa anafikishwa mahakamani ujue kuwa amegoma kuwapa rushwa au ameyoa rushwa, wanampeleka mahakamani kama sehemu ya usanii tu. Kama wamepokea rushwa, hata wakimpeleka mahakamani, watampeleka na vielelezo ambavyo wanajua mhusika hawezi kuingia hatiani.
Asante kwa taarifa Mama kigani wa kamboNdugu zangu Watanzania,
Gazeti la Mwananchi limeripoti ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Hamduni amesema ya kuwa watachunguza na kufuatilia tuhuma za rushwa ndani ya CHADEMA.
Rai yangu ni kuwa ni muda sasa Lissu akatoe ushahidi wake wa Vitendo vya rushwa. Maana Lissu ndio amesikika akitoa kauli za kudai kuwa kuna Vitendo vya rushwa ndani ya CHADEMA. Kama alikuwa anaongea bila ushahidi kwa lengo la kuchafua tu watu,basi ajuwe anakwenda kuumbuka sana na kupata aibu isoyofutika.
Sina mengi na sitaki kuwachosheni kwa andiko refu wakati huu ambao mmepumzika baada ya pilika pilika za kutwa nzima. Kwa undani zaidi kamata gazeti lako la mwananchi ulisome vizuri.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha kuweweseka hapa.acha TAKUKURU wafanye kazi yao wa kukagua uchafu uliopo ndani ya CHADEMA. Mmezoea sana janja janja nyie nyumbu na madalali wa kisiasa.
KWANI RUSHWA /TAKRIMA NDANI YA CCM WALIKWISHAMALIZA?Ndugu zangu Watanzania,
Gazeti la Mwananchi limeripoti ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Hamduni amesema ya kuwa watachunguza na kufuatilia tuhuma za rushwa ndani ya CHADEMA.
Rai yangu ni kuwa ni muda sasa Lissu akatoe ushahidi wake wa Vitendo vya rushwa. Maana Lissu ndio amesikika akitoa kauli za kudai kuwa kuna Vitendo vya rushwa ndani ya CHADEMA. Kama alikuwa anaongea bila ushahidi kwa lengo la kuchafua tu watu,basi ajuwe anakwenda kuumbuka sana na kupata aibu isoyofutika.
Sina mengi na sitaki kuwachosheni kwa andiko refu wakati huu ambao mmepumzika baada ya pilika pilika za kutwa nzima. Kwa undani zaidi kamata gazeti lako la mwananchi ulisome vizuri.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
We ni kichaa, Lisu hakusema RUSHWA bali alisema hela zinatumika.Ndugu zangu Watanzania,