LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Mpaka waagizwe, duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni mnacholalamika! Kelele mpige nyie humo ndani wakija kuwachunguza muanze kulalamika!Katiba ya Chadema ( a party legal document) iko bayana kuhusiana na suala la michango ya wabunge kwenye Chama na matumizi ya michango husika.
PCCB haihusiani na kupanga matumizi ya pesa za chama, isipokuwa vipaumbele vya chama husika kama viwekwavyo na kusimamiwa na maamuzi ya vikao vya chama husika.
Mzee Yusuph Makamba bado analalamikia CCM kumtolipa pensheni yake, kwa nini PCCB haijakwenda kuchunguza huko? Pengine PCCB inafahamu fika kuwa huko ni nje ya mipaka yake.
Wanachotaka kukifanya Chadema ni mchezo mchafu. Makosa anayoyataja Kapwani ni potential detention kwa viongozi/watendaji wakuu wa Chadema kabla ya Uchaguzi Mkuu 2020.
Hizi ni njama za ku-weaken upinzani hapa nchini. Ni dhahiri CCM/Serikali ina hint fulani kuhusu potential serious opposition kupitia Chadema, come election 2020.
Kuna mambo mengi kuhusu maamuzi na utendaji wa vyama vya siasa unavyofanyika. Mkutano mkuu ni policy-making body siyo executive. Msimamizi wa Mali za chama ni Baraza la wadhamini. Acheni ushabiki pasipokujua namna operations and management za vyama vya siasa zinavyoendeshwa.Katiba ya chadema imejieleza kuwa matumizi ya pesa hizo lazima yapitishwe na mkutano mkuu na kamati kuu na pengine kwa wingi wa wajumbe,
sasa kama hilo. halikufanyika unatetea nini?
Pia kuna mchangiaji humu alisema kuwa katiba ya chadema haikumfungamanisha mwenyekiti kwenye kwenye mambo ya pesa kama signatories lakini nasikia yeye ndo master sasa hapo sio matumizi mabaya ya madaraka?
Integrity matters. Hakuna kitu hapo isipokuwa homa/woga wan2020.Sioni mnacholalamika! Kelele mpige nyie humo ndani wakija kuwachunguza muanze kulalamika!
Kukopesha hela kwa mtu binafsi bila 'riba' sio kosa, japo mimi sio mwanasheria lakini ukisoma maana ya neno biashara kule kwenye sheria ya leseni za biashara ile sheria imeweka neno 'for gain' yaani kwa faida na hivyo kama mtu anafanya for gain or profit hivyo anapaswa kuwa na leseni na hivyo kama mbowe alikuwa hafanyi for gain hainashida.50% ya watakaohojiwa wameshakihama chama na hata salamu hawapewi. Tutarajie nini?
Wasisahau na swala la Mwenyekiti kukikopesha chama.
Je ana leseni ya kufanya biashara hiyo?
Isije kuwa ni chaka la kutakatishia pesa!
"Kwa hizi vurugu za kitatange,je demani kutakalika?"
TAKUKURU wafanye hayo wamalize ili wajiridhishe, CHADEMA iko safi, ndio maana walionunuliwa wanahangaika kuokoteza vya kusema.Katiba ya Chadema ( a party legal document) iko bayana kuhusiana na suala la michango ya wabunge kwenye Chama na matumizi ya michango husika.
PCCB haihusiani na kupanga matumizi ya pesa za chama, isipokuwa vipaumbele vya chama husika kama viwekwavyo na kusimamiwa na maamuzi ya vikao vya chama husika.
Mzee Yusuph Makamba bado analalamikia CCM kumtolipa pensheni yake, kwa nini PCCB haijakwenda kuchunguza huko? Pengine PCCB inafahamu fika kuwa huko ni nje ya mipaka yake.
Wanachotaka kukifanya Chadema ni mchezo mchafu. Makosa anayoyataja Kapwani ni potential detention kwa viongozi/watendaji wakuu wa Chadema kabla ya Uchaguzi Mkuu 2020.
Hizi ni njama za ku-weaken upinzani hapa nchini. Ni dhahiri CCM/Serikali ina hint fulani kuhusu potential serious opposition kupitia Chadema, come election 2020.
JUNI 10, 2020TAKUKURU MAKAO MAKUU KUHOJI WABUNGE 69 MATUMIZI YA FEDHA ZA CHADEMA
Kwa taarifa hii, tunapenda kuuthibitishia umma kwamba ni kweli kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Makao Makuu, imewaita Waheshimiwa Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA na waliowahi kuwa wabunge wa chama hicho kwa ajili ya mahojiano.
Hatua hii inafanyika ikiwa ni mwendelezo wa uchunguzi unaoendeshwa na TAKUKURU Makao Makuu wa malalamiko dhidi ya matumizi ya fedha za Chama cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA ambapo hatua iliyopo sasa ni ya kuwahoji Wabunge sitini na tisa (69) – wanachama na waliowahi kuwa wanachama wa chama hicho.
Fedha hizi ni zile ambazo zililalamikiwa na waliokuwa Wabunge wa chama hicho ambao walitangaza kukihama chama chao ambapo katika malalamiko yao walidai kwamba walikuwa wakikatwa fedha katika mishahara yao kila mwezi kuanzia mwezi Juni 2016.
Kwa mujibu wa malalamiko hayo kila mwezi – Wabunge wa Viti Maalum walikuwa wakikatwa kiasi cha shilingi 1,560,000 na Wabunge wa kuchaguliwa kwenye Majimbo walikuwa wakikatwa shilingi 520,000 na kwamba hawakuwa wakifahamu namna ambavyo fedha hizo zimekuwa zikitumika.
Kwahiyo, tunapenda kuujulisha umma kwamba, kama ambavyo Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo alivyoviambia vyombo vya habari Mei 27, 2020 ni kwamba uchunguzi dhidi ya tuhuma hii tayari ulisha anzishwa na baadhi ya wahusika walishaanza kuhojiwa.
Tunafanya hivi kwakuwa yawezekana katika tuhuma hii kukapatikana makosa yafuatayo:
Makosa haya yote yanaangukia katika Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya Mwaka 2007 ambayo ndiyo inayoongoza chombo chetu.
- Ubadhirifu na ufujaji wa fedha za chama
- Matumizi mabaya ya mamlaka
Mpaka sasa tayari tumeshafanya mahojiano na:
- Viongozi wa CHADEMA
- Viongozi waliowahi kuwa CHADEMA
- Wabunge waliotoa taarifa
- Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
- Viongozi wa Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA na sasa tunawahoji
- Wabunge wanachama wa CHADEMA pamoja na
- Wabunge waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA.
Mahojiano haya ambayo yanafanyika katika Ofisi za TAKUKURU Makao Makuu – Dodoma kuanzia leo - yanatarajiwa kukamilika wiki ijayo.
IMETOLEWA NA:
Doreen J. Kapwani
AFISA UHUSIANO – TAKUKURU MAKAO MAKUU

Mtumia pesa ndie anayejua mahesabu sio CAG.Mfano mahesabu ya pesa zangu Mimi ndio nayakua kuliko CAG😁😁😁👨
🚶🚶
Kwa hiyo ripoti za CAG huwa ni uongo sio?Mtumia pesa ndie anayejua mahesabu sio CAG.Mfano mahesabu ya pesa zangu Mimi ndio nayakua kuliko CAG
. wabunge wa chadema ndio wenye pesa zao
RubbishKati ya wabunge wa chadema na CAG ni nani anajua hesaba?
Je,kuanzia mwaka huu ripoti za CAG zikitoka zitakuwa ni ripoti za uongo
Je,CAG alivyowakagua chadema ripoti yake ilisema uongo?sisi wananchi tumwamini nani?tumwamini lijualikali au tuiamini ripoti za CAG?
Je,chama cha siasa hakiruhusiwi tena kuchangisha michango kwa wanachama wake?
Je,ni kweli chadema kuwachangisha wabunge wake madiwani ni kosa kisheria?
Wananchi tunachanganyikiwa Sana hatujuwi tufaate maamuzi ya nani
tunaomba wananchi tuambiwe ukweli
Tunawatakia takukuru uchunguzi mwema na wenye mafanikio
CAG huchukua sample tu hapitii kila kitu anachukua vitu vichache tu kwa sample yake anakuwa sahihi ukienda deep unaweza kuta hakuwa sahihi.Ukaguzi wa hesabu hawakagui kila kituKwa hiyo ripoti za cag huwa ni uongo sio?
Kwa maana hiyo sampo za mahesabu ambazo anatowa kila mwaka ni muongo sio?CAG huchukua sample tu hapitii kila kitu anachukua vitu vichache tu kwa sample yake anakuwa sahihi ukienda deep unaweza kuta hakuwa sahihi.Ukaguzi wa hesabu hawakagui kila kitu
Tusubiri Takukuru ambao hawachukui sample kana CAG wanapitia kila kitu tutajua .Kwa Sasa subiiri sample versus deep audit resultsKwa maana hiyo sampo za mahesabu ambazo anatowa kila mwaka ni muongo sio?