TAKUKURU kuwahoji Wabunge 69 kuhusu matumizi ya pesa za CHADEMA

Sioni mnacholalamika! Kelele mpige nyie humo ndani wakija kuwachunguza muanze kulalamika!
 
Kuna mambo mengi kuhusu maamuzi na utendaji wa vyama vya siasa unavyofanyika. Mkutano mkuu ni policy-making body siyo executive. Msimamizi wa Mali za chama ni Baraza la wadhamini. Acheni ushabiki pasipokujua namna operations and management za vyama vya siasa zinavyoendeshwa.
 
Mbona Chadema mnalalamika? Kuweni wavumilivu muiache TAKUKURU ichunguze!
 
Kukopesha hela kwa mtu binafsi bila 'riba' sio kosa, japo mimi sio mwanasheria lakini ukisoma maana ya neno biashara kule kwenye sheria ya leseni za biashara ile sheria imeweka neno 'for gain' yaani kwa faida na hivyo kama mtu anafanya for gain or profit hivyo anapaswa kuwa na leseni na hivyo kama mbowe alikuwa hafanyi for gain hainashida.
 
TAKUKURU wafanye hayo wamalize ili wajiridhishe, CHADEMA iko safi, ndio maana walionunuliwa wanahangaika kuokoteza vya kusema.
Ila baada ya hapo twende pia kwenye ripoti ya CAG

1.Ununuzi wa midege na taratibu /sheria za manunuzi
2.Ujenzi wa Chato International Airport na taratibu /sheria za manunuzi
3. Gharama kubwa za matibabu ya Job Ndugai Tshs 12 billion kwa miezi mitano
4. Matumizi ya 1.5 billion

TUNAWASUBIRI
 
Reactions: BAK
Wakati huo huo WAMESHINDWA kumuhoji dikteta kuhusu kupotea kwa 2.7 Trillions hazina, kuhusu ripoti ya wizi wa mali za ccm na kuhusu $12 million sawa na 28 billions ambazo zilichotwa hazina bila ruhusa ya bunge eti kwa matibabu ya ndugai. TAKUKURU wameshakuwa ni taasisi inayotumiwa na dikteta kufanya udhalimu wake wa kisiasa.

 
Polepole: CCM kuna majizi makubwa kila nikitaka kiwataja wakubwa wananizuia, swali hao wakubwa ni nani zaidi ya m/kiti. Ukiwa ccm hukamatiki?

 
Kati ya wabunge wa CHADEMA na CAG ni nani anajua hesaba?

Je, kuanzia mwaka huu ripoti za CAG zikitoka zitakuwa ni ripoti za uongo

Je, CAG alivyowakagua CHADEMA ripoti yake ilisema uongo? Sisi wananchi tumwamini nani? Tumwamini lijualikali au tuiamini ripoti za CAG?

Je, chama cha siasa hakiruhusiwi tena kuchangisha michango kwa wanachama wake?

Je, ni kweli CHADEMA kuwachangisha wabunge wake madiwani ni kosa kisheria?

Wananchi tunachanganyikiwa Sana hatujuwi tufaate maamuzi ya nani

tunaomba wananchi tuambiwe ukweli

Tunawatakia TAKUKURU uchunguzi mwema na wenye mafanikio
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘¨


🚢🚢
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘¨


🚢🚢
Mtumia pesa ndie anayejua mahesabu sio CAG.Mfano mahesabu ya pesa zangu Mimi ndio nayakua kuliko CAG
. wabunge wa chadema ndio wenye pesa zao
 
Mtumia pesa ndie anayejua mahesabu sio CAG.Mfano mahesabu ya pesa zangu Mimi ndio nayakua kuliko CAG
. wabunge wa chadema ndio wenye pesa zao
Kwa hiyo ripoti za CAG huwa ni uongo sio?
 
Rubbish
 
Kwa hiyo ripoti za cag huwa ni uongo sio?
CAG huchukua sample tu hapitii kila kitu anachukua vitu vichache tu kwa sample yake anakuwa sahihi ukienda deep unaweza kuta hakuwa sahihi.Ukaguzi wa hesabu hawakagui kila kitu
 
CAG huchukua sample tu hapitii kila kitu anachukua vitu vichache tu kwa sample yake anakuwa sahihi ukienda deep unaweza kuta hakuwa sahihi.Ukaguzi wa hesabu hawakagui kila kitu
Kwa maana hiyo sampo za mahesabu ambazo anatowa kila mwaka ni muongo sio?
 
Kwa maana hiyo sampo za mahesabu ambazo anatowa kila mwaka ni muongo sio?
Tusubiri Takukuru ambao hawachukui sample kana CAG wanapitia kila kitu tutajua .Kwa Sasa subiiri sample versus deep audit results
 
Kama ina ubavu, pengine PCCB ichunguze muamala/ingizo la tzs. 5bn zilizolipwa na kampuni ya Rom Solutions Co. Ltd ikiwa ni sehemu ya pesa (rushwa) aliyolipwa Lugola & wenzake kisha wao kuichangia CCM kwa ajili ya kugharimia uchaguzi wa mwaka huu (2020).
Tunajua aliyeagiza mawaziri kutekeleza mkakati huo. Waziri Hasunga ni miongoni mwa mawaziri ambao wamekwisha kufanikisha michango Yao kwa Chama kupitia sham public procurement.
Tusiumizane bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…