morenja
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 4,519
- 1,853
Aliyekuwa juu yake ndio uliza .Mamvi atasalimika kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekuwa juu yake ndio uliza .Mamvi atasalimika kweli?
Kwa kweliHaibadilishi maana utafika wakati naye atavuliwa nguo kwa waliyoyafanya.....JK alikubali EL ajivue uwaziri na akafurahia kukatwa jina lake kwenye kugombea lakini leo makaburi yake yanafukukiwa. Muda utafika JM naye atatoka kisha makaburi yake yakafukukuliwa...
tukikesha kuwatetea hawa wanasiasa wenye rangi zifananazo watatuona wajinga na kuufurahia ujinga wetu......
"tuwaache wafu wazikane"