TAKUKURU kwa sasa wanachunguza kashfa za RICHMOND, EPA na Rada.

Msemaji wa TAKUKURU, Mussa Misalaba amesema, kwa sasa taasisi yake iko kwenye uchunguzi wa kina kuhusu kashfa za RICHMOND, EPA na Rada na pindi itakapokamisha uchunguzi wake watalitaarifu taifa.

Misalaba alienda mbali zaidi na kusema, kesi za kijinai hazina muda maalum katika mashitaka na kwa kigezo hicho, wanafanya uchunguzi wa kina zaidi ili kupata ushahidi wa kutosha.

Kwa wale wanaojua kiingereza wanaweza kusoma zaidi hapa;

After IPTL, PCCB now sets its sights on Richmond and military radar.
THE Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has insisted that there are no grand corruption cases that will be left behind without its suspects being prosecuted after arraigning in court prime suspects behind the long-standing Independent Power Tanzania Limited (IPTL) graft.

According to PCCB, all the corruption cases including the Richmond power generation scandal, Kagoda Agriculture Limited's involvement in Bank of Tanzania’s External Payment Arrears account (EPA) scam, Tangold, Meremeta mines and the military radar scam were still subject to ongoing corruption investigations.

PCCB spokesperson Mussa Misalaba insisted that criminal/corruption cases were only abandoned when the culprits died.

“We are still working on all these grand corruption cases…they will all be prosecuted pending completion of investigations by our probe teams,” Mussa explained.

He elaborated that criminal cases have no time limitation as in civil cases; therefore taking a long time is an investigation matter.

When this paper asked him when the suspects will be brought to the court, Mussa refused to answer it by saying that “I cannot give you details about this because it is all about investigation” He said that PCCB is always working for the interest of public, therefore the public have no need to worry about all reported corruptions scandals.

However, the Richmond was a scandal claimed to misleading the Tanzania Electric Company (Tanesco)'s board of directors into believing that Richmond Development Company had the technical and financial capacity to produce 100MW to the national grid.

The scandal led to the resignation of the former Prime Minister Edward Lowassa, who was accused of having a hand in the controversial power deal. The Richmond power scandal rocked President Jakaya Kikwete's government in 2008.

Another scandal involved the controversy over the ownership of one of the major companies which is accused of looting a big chunk in the $131million EPA account of the Bank of Tanzania, Kagoda Agriculture Limited has raised concerns after following reports that the "owner" of the company is dead.

President Kikwete then formed a tripartite investigative team comprising Attorney General, Johnson Mwanyika, Inspector General of Police Said Mwema and the Director General of the Prevention and Combating Corruption Bureau, Dr Edward Hoseah, to probe the matter and take legal action.

The tripartite team reported that 13 out of the 22 companies were paid $90 million through forged documents.On the other hand, Meremeta Gold, the firm that was paid a whopping Sh155 billion by the Bank of Tanzania in unclear circumstances reveled to be an offshore company, registered in United Kingdom in 1997.

It has been further revealed that BoT paid an additional $13.34m (approx. 17bn/-) to another bank account under the name of TANGOLD, at the National Bank of Commerce Limited Corporate Branch in Dar es Salaam.

Government sources say that BoT purchased a controversial Sh 155bn Treasury bond and later exchanged the amount for US dollar currency, which was used to effect the suspect payments to Meremeta and TANGOLD.

Andrew Chenge then Minister for Infrastructure Development had resigned after SFO implicated him in the scandal, with claims that he received $1.5 million from BAE. BAE Systems admitted there were malpractices in the process, and offered to refund the Government of Tanzania $46 million.
SOURCE:The Guardian Newspaper.
Ikiwa watalipitia faili la Lugimi na Uuzwaji wa Nyumba za serikali ... Haki ya Mungu nachukua kadi ya CCM mimi na familia yangu na ninailipia kwa miaka 30 Ijayo ...
 
Mi nashangaa watu wanao dhani watuhumiwa wa makshfa yoooote hayo wapo upinzani!!

Yaani leo watanzania wanaona kama ma escrow, richmond, IPTL na matatizo yooote yaliletwa na upinzani!!! Yaani wameshasahau nani kayatengeneza hayo mabom in 50 years!!! Akilizetu tulipo ziazima mungu anajua!!!!
 
The end justifies the means , time will tell us if it is a clean fight
 
YES! Sasa takukuru wamepewa mapembe, meno na makucha.
Si wanalipwa, wacha wapige kazi, wachunguze scandals zote zibaki uchi. Alafu uma tuelezewe kinagaubaga, kama wapo hi ama wamekufa tuwajue.

Scandal kubwa kuliko zote ni nyumba za,serikali,na wizi wa,wazi ni MV DSM,ndege bombedier na meli ya samaki,wasisahau hiyo kitu isje poa
 
Ile mahakama ya mafisadi imeshamfunga mtu mpaka sasa hivi au ndio viini macho vinaendelea!
 
Msemaji wa TAKUKURU, Mussa Misalaba amesema, kwa sasa taasisi yake iko kwenye uchunguzi wa kina kuhusu kashfa za RICHMOND, EPA na Rada na pindi itakapokamisha uchunguzi wake watalitaarifu taifa.

Misalaba alienda mbali zaidi na kusema, kesi za kijinai hazina muda maalum katika mashitaka na kwa kigezo hicho, wanafanya uchunguzi wa kina zaidi ili kupata ushahidi wa kutosha.

Kwa wale wanaojua kiingereza wanaweza kusoma zaidi hapa;

After IPTL, PCCB now sets its sights on Richmond and military radar.
THE Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has insisted that there are no grand corruption cases that will be left behind without its suspects being prosecuted after arraigning in court prime suspects behind the long-standing Independent Power Tanzania Limited (IPTL) graft.

According to PCCB, all the corruption cases including the Richmond power generation scandal, Kagoda Agriculture Limited's involvement in Bank of Tanzania’s External Payment Arrears account (EPA) scam, Tangold, Meremeta mines and the military radar scam were still subject to ongoing corruption investigations.

PCCB spokesperson Mussa Misalaba insisted that criminal/corruption cases were only abandoned when the culprits died.

“We are still working on all these grand corruption cases…they will all be prosecuted pending completion of investigations by our probe teams,” Mussa explained.

He elaborated that criminal cases have no time limitation as in civil cases; therefore taking a long time is an investigation matter.

When this paper asked him when the suspects will be brought to the court, Mussa refused to answer it by saying that “I cannot give you details about this because it is all about investigation” He said that PCCB is always working for the interest of public, therefore the public have no need to worry about all reported corruptions scandals.

However, the Richmond was a scandal claimed to misleading the Tanzania Electric Company (Tanesco)'s board of directors into believing that Richmond Development Company had the technical and financial capacity to produce 100MW to the national grid.

The scandal led to the resignation of the former Prime Minister Edward Lowassa, who was accused of having a hand in the controversial power deal. The Richmond power scandal rocked President Jakaya Kikwete's government in 2008.

Another scandal involved the controversy over the ownership of one of the major companies which is accused of looting a big chunk in the $131million EPA account of the Bank of Tanzania, Kagoda Agriculture Limited has raised concerns after following reports that the "owner" of the company is dead.

President Kikwete then formed a tripartite investigative team comprising Attorney General, Johnson Mwanyika, Inspector General of Police Said Mwema and the Director General of the Prevention and Combating Corruption Bureau, Dr Edward Hoseah, to probe the matter and take legal action.

The tripartite team reported that 13 out of the 22 companies were paid $90 million through forged documents.On the other hand, Meremeta Gold, the firm that was paid a whopping Sh155 billion by the Bank of Tanzania in unclear circumstances reveled to be an offshore company, registered in United Kingdom in 1997.

It has been further revealed that BoT paid an additional $13.34m (approx. 17bn/-) to another bank account under the name of TANGOLD, at the National Bank of Commerce Limited Corporate Branch in Dar es Salaam.

Government sources say that BoT purchased a controversial Sh 155bn Treasury bond and later exchanged the amount for US dollar currency, which was used to effect the suspect payments to Meremeta and TANGOLD.

Andrew Chenge then Minister for Infrastructure Development had resigned after SFO implicated him in the scandal, with claims that he received $1.5 million from BAE. BAE Systems admitted there were malpractices in the process, and offered to refund the Government of Tanzania $46 million.
SOURCE:The Guardian Newspaper.

Hii ndiyo kazi Rais Magufuli angeshugulika nayo, kupigana na mafisadi ili kubadilisha maisha ya familia nyingi ambazo zinaishi kwa shida kubwa kwaajili ya ubinafsi ya watu wachache. Rais Magufuli amewafurahisha adui zake kuchokoza ugomvi na watoto wa kike kwa kuwazuwia elimu, Hii hashindi, ni maadui zake watashinda kwa kujichafulia jina na kuona yote anavyofanya ni bure. Rais Magufuli ni binaadamu lazima asikie vilio vya watu. Watanzania wamekubali kupitia kwa Wabunge wao, kusomesha hawa watoto, asilidharau bunge, bunge linawawakilisha watu, bila ya watu Hakuna serikali. Amwangalie sana Mrs Kikwete atamuacha kwenye mataa, hawa ni watu wenye ubinafsi, sijui hata ana fanya nini bungeni, ni uswahili tu.
 
abbedc5cb7e555c24dbc5f57adf5205e.jpg

Swissme
 
NILIPOKUWA MTUMISHI WA SHIRIKA LA UMMA NILIKATAA KUSHIRIKISHWA KWENYE UFISADI MKUBWA.
MFANYABIASHARA ALIYETAKA KUNISHIRIKISHA NILIMWAMBIA KUWA SERIKALI INA REVERSE GEAR KWA HIYO ATAKUJA KIONGOZI AMBAYE ATAHOJI HAYA YOTE. ALINIJIBU INCHI HII HAKUNA KITU KILA MTU ANAJICHUKUALIA CHAKE NA VIONGOZI WOTE TUMEWANUNUA NA WANAFANYA TUTAKACHO.
SASA HIVI MFANYA BIASHARA HUYU HAPATI USINGIZI KWA ALIYOYAFANYA.
MIMI NIKO SALAMA PAMOJA NA UMASKINI WANGU.
UKIFANYA MAMBO MEMA UNAISHI KWELI NA JAPO KUWA UTAKUWA UMEKUFA JINA LAKO LITABAKI HAI.
UKIFANYA UOVU JAPO KUWA UNAISHI LAKINI UTAKUWA UMEKUFA, NA UKIFA NA JINA LAKO LINAKUFA.
Haaaaaa ubarikiwe mkuu
Pamoja na ile habari ya mgodi wa kiwira
 
Haibadilishi maana utafika wakati naye atavuliwa nguo kwa waliyoyafanya.....JK alikubali EL ajivue uwaziri na akafurahia kukatwa jina lake kwenye kugombea lakini leo makaburi yake yanafukukiwa. Muda utafika JM naye atatoka kisha makaburi yake yakafukukuliwa...
tukikesha kuwatetea hawa wanasiasa wenye rangi zifananazo watatuona wajinga na kuufurahia ujinga wetu......

"tuwaache wafu wazikane"
 
Huyu Ndiye Pombe Magufuli:

- Wasema nyumba 8,000 kauza kwa mkono wake mwenyewe
- Apuuza maonyo ya wataalamu- Mafaili ya Sundi na Musa aliyabeba kwapani

ALIYEKUWA Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, katika Serikali ya awamu ya tatu, aliteka madaraka na kuwa mwenyekiti wa zoezi la kuuza nyumba za serikali ambazo hadi sasa, zimeshauzwa 8,288 imefahamika.

Habari zilizopatikana ndani ya wakala wa Majengo ya Serikali (TBA), zimethibitishia Rai wiki hii kwamba Magufuli alihakikisha anashiriki kama Mwenyekiti katika zoezi zima la kuuza nyumba, ambalo kimsingi lilistahili kusimamiwa na Mtendaji Mkuu wa TBA.

Kwa mujibu wa vyanzo kadhaa vya habari ndani ya TBA, Magufuli alifanya kila aina ya ‘fujo’ katika zoezi la kuuza nyumba hizo, wakati mwingine akibatilisha maamuzi yaliyofanywa na Kamati ya TBA ya kuuza nyumba hizo, akiwapangia watu nyumba kwa utashi wake na wakati mwingine akiwakemea wale wote waliomshauri kinyume na matakwa.

Ni chini ya utaratibu huo, habari zinaeleza kwamba Magufuli, aliyabeba yeye mwenyewe mafaili ya ndugu zake; Musa Magufuli ambaye ni mdogo wake, na Sundi Malomo ambaye ni mzazi mwenzake na kuwalazimisha watendaji wa TBA wafuate matakwa yake katika kuwapatia nyumba ndugu zake hao.

Habari hizo zinaeleza kwamba awali Mtendaji Mkuu wa TBA alimshauri Magufuli kwamba suala la mauzo ya nyumba kwa ndugu zake ni kinyume cha utaratibu. Hata hivyo, imeelezwa kwamba Magufuli alilazimisha huku akisema mdogo wake hana tatizo kwa sababu alikuwa tayari mfanyakazi wa Serikali.

Musa aliajiriwa kwa mkataba wa miezi mitatu, baada ya mwezi mmoja akauziwa nyumba na baada ya miezi miwili akaacha kazi.

“Kwa upande wa Sundi, kwanza ilikuwa Sundi auziwe nyumba moja kwa moja. Lakini Magufuli alipoonywa akashtuka na kusema suala hilo aachiwe yeye mwenyewe. Na ndipo akaibuka na jina la Stanley Manongi kwamba ndiye mnunuzi halisi na baba yake Sundi,” vinasema vyanzo hivyo vya habari, vingine ambavyo vilishiriki moja kwa moja katika mchakato wa uuzaji nyumba hizo.

Habari hizo zinaendelea kueleza kwamba baadaye, Sundi alishtuka akitilia shaka uaminifu wa Manongi, kwamba angeweza kumdhulumu nyumba hiyo.

“Ndipo Magufuli aliibuka na mpango wa Sundi kuwa mtoto wa Manongi na mrithi wake na kisha kwa kuhakikisha kwamba hakuna dhuluma yoyote, mtoto wa Sundi naye akarithishwa na kama mrithi wa pili,” chanzo hicho cha habari kinaeleza.

Chini ya sheria ya Executive Agency Act No. 30 ya mwaka 1997, TBA ilipewa madaraka yote ya kuuza nyumba za Serikali, kujenga nyumba mpya, kuzikarabati zilizopo pamoja na kugawa nyumba za madaraja A, B na C kwa wafanyakazi wa Serikali.

Sheria hiyo inaipa mamlaka ya kipekee ya kufanya shughuli zote bila kuingiliwa na chombo chochote.

Chini ya sheria hiyo, Waziri anaruhusiwa kuteua wajumbe wa bodi ya ushauri watakaomshauri Katibu Mkuu wa Wizara juu ya namna nzuri ya TBA kusimamia mamlaka yake.

Hadi Machi mwaka huu, wajumbe hao walikuwa ni J. Kijazi, E. Lipambila, E. Lugwisha, Msangi, E. Mwakalinga, D. Kisasi, P. Ncheye, F. Werema na A. Bukuku.

Hata hivyo, sheria haitoi nafasi yoyote kwa Waziri kusimamia shughuli za uuzwaji au upangaji wa nyumba za serikali.

Mtendaji Mkuu wa TBA Togolayi Makumba Kimweri, alipoulizwa kupitia kwa Katibu Muhtasi wake, alimwambia mwandishi wa Rai aandike maswali kisha asubiri kuruhusiwa kuingia ndani ya ofisi.

Hata hivyo, baada ya kusubiri kwa muda wa saa moja, mwandishi alipokwenda kuuliza akaambiwa kwamba Kimweri tayari alikwishaondoka ofisini kupitia mlango wa nyuma na asingeweza kurudi ofisini.

Lakini baadhi ya wafanyakazi wa TBA wameiambia Rai kwamba kinachoandikwa kwenye magazeti kuhusu ushiriki wa Magufuli kuuza nyumba za Serikali ni kidogo mno kuliko hali halisi.

Kama ilivyokuwa kwa mdogo wake Musa, waziri Magufuli alishinikiza mtoto wa dada yake anayeitwa James Doto Mgosha auziwe nyumba za serikali kwa kumtengenezea ajira ya muda mfupi katika TANROADS.

Tofauti na Musa, Doto ameuziwa nyumba hiyo kwa jina la mtu mwingine lakini anaishi katika nyumba hiyo, namba 64 iliyopo Kinondoni Flats.

Habari kutoka TBA zinaonyesha jina la mtu mwingine (tunalihifadhi) kuwa ndiye aliyeuziwa nyumba hiyo mtu huyo alipata kupitia utaratibu wa Magufuli kupeleka jina lake kwenye wakala wa majengo na kulazimisha apewe nyumba.

Alipoulizwa kwa njia ya simu, Doto alisema suala la ajira na nyumba waulizwe waliomwajiri na kumpa nyumba. Akakata simu.

Mfanyakazi mwingine alieleza Rai kwamba msichana mwingine (jina tunalihifadhi) akiwa na miezi minne tu kazini alipelekwa na Magufulikatika Wakala wa Majengo akilazimisha auziwe nyumba hata kabla ya kuthibitishwa kazini. Nyumba hiyo iko Block A, Ocean Road.

Hata hivyo, habari hizo zinaeleza kwamba msichana huyo ambaye hadi sasa anaishi na wazazi wake, ameipangisha nyumba hiyo kwa mfanyakazi mmoja wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa na analipwa kwa dola za kimarekani.

“Kuuza nyumba za serikali sawa, lakini kweli katika mtindo huu? Sisi tunaoshiriki kuzikagua na kuziratibu tukiomba hatupati, lakini wengine wanaingia serikalini miezi miwili wanapata nyumba. Na wengine hata si wafanyakazi, wanapata, hii si sahihi, alilalamika mfanyakazi mmoja aliyeandikia Rai kwa njia ya barua pepe.

Hadi Machi mwaka huu Wakala wa Majengo wa Serikali (TBA) walishauza nyumba 8,288 ambazo hata hivyo zilitakiwa kuuzwa kwa watumishi wa serikali.

Katika mauzo hayo, Serikali ilitarajia kupata jumla ya shilingi 60,016,556,439.00. Hata hivyo hadi sasa Serikali imepata shilingi 22,684,108,115.08.

Kwa sasa, Serikali imebakiwa na nyumba 1,098 zinazosimamiwa na TBA. Kati ya hizo, nyumba 692 zimetengwa kwa wafanyakazi wa Serikali, nyumba 675 kama tied quarters, nyumba 111 zinatumika kama Rest House za Serikali, wakati nyumba 40 zinatumika kama state lodges. Nyumba 24 zinatumika kama ofisi na nyingine 29 ni kama karakana na bohari.

SALVA RWEYEMAMU
RAI

Swissme
 
Msemaji wa TAKUKURU, Mussa Misalaba amesema, kwa sasa taasisi yake iko kwenye uchunguzi wa kina kuhusu kashfa za RICHMOND, EPA na Rada na pindi itakapokamisha uchunguzi wake watalitaarifu taifa.

Misalaba alienda mbali zaidi na kusema, kesi za kijinai hazina muda maalum katika mashitaka na kwa kigezo hicho, wanafanya uchunguzi wa kina zaidi ili kupata ushahidi wa kutosha.

Kwa wale wanaojua kiingereza wanaweza kusoma zaidi hapa;

After IPTL, PCCB now sets its sights on Richmond and military radar.
THE Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has insisted that there are no grand corruption cases that will be left behind without its suspects being prosecuted after arraigning in court prime suspects behind the long-standing Independent Power Tanzania Limited (IPTL) graft.

According to PCCB, all the corruption cases including the Richmond power generation scandal, Kagoda Agriculture Limited's involvement in Bank of Tanzania’s External Payment Arrears account (EPA) scam, Tangold, Meremeta mines and the military radar scam were still subject to ongoing corruption investigations.

PCCB spokesperson Mussa Misalaba insisted that criminal/corruption cases were only abandoned when the culprits died.

“We are still working on all these grand corruption cases…they will all be prosecuted pending completion of investigations by our probe teams,” Mussa explained.

He elaborated that criminal cases have no time limitation as in civil cases; therefore taking a long time is an investigation matter.

When this paper asked him when the suspects will be brought to the court, Mussa refused to answer it by saying that “I cannot give you details about this because it is all about investigation” He said that PCCB is always working for the interest of public, therefore the public have no need to worry about all reported corruptions scandals.

However, the Richmond was a scandal claimed to misleading the Tanzania Electric Company (Tanesco)'s board of directors into believing that Richmond Development Company had the technical and financial capacity to produce 100MW to the national grid.

The scandal led to the resignation of the former Prime Minister Edward Lowassa, who was accused of having a hand in the controversial power deal. The Richmond power scandal rocked President Jakaya Kikwete's government in 2008.

Another scandal involved the controversy over the ownership of one of the major companies which is accused of looting a big chunk in the $131million EPA account of the Bank of Tanzania, Kagoda Agriculture Limited has raised concerns after following reports that the "owner" of the company is dead.

President Kikwete then formed a tripartite investigative team comprising Attorney General, Johnson Mwanyika, Inspector General of Police Said Mwema and the Director General of the Prevention and Combating Corruption Bureau, Dr Edward Hoseah, to probe the matter and take legal action.

The tripartite team reported that 13 out of the 22 companies were paid $90 million through forged documents.On the other hand, Meremeta Gold, the firm that was paid a whopping Sh155 billion by the Bank of Tanzania in unclear circumstances reveled to be an offshore company, registered in United Kingdom in 1997.

It has been further revealed that BoT paid an additional $13.34m (approx. 17bn/-) to another bank account under the name of TANGOLD, at the National Bank of Commerce Limited Corporate Branch in Dar es Salaam.

Government sources say that BoT purchased a controversial Sh 155bn Treasury bond and later exchanged the amount for US dollar currency, which was used to effect the suspect payments to Meremeta and TANGOLD.

Andrew Chenge then Minister for Infrastructure Development had resigned after SFO implicated him in the scandal, with claims that he received $1.5 million from BAE. BAE Systems admitted there were malpractices in the process, and offered to refund the Government of Tanzania $46 million.
SOURCE:The Guardian Newspaper.
Lowasa ndani.
 
Kuuza nyumba za serikali,hakukumchafua kwa vile hela iliyopatikana,iliwekwa kwenye akaunti ya serikali. Hivyo huwezi kumtuhumu . pia ktk uuzaji huo, JPM alisimamia utekelezaji kulingana na maamuzi ya serikali ya awamu ya tatu ambayo iliona kuwa nyumba hizo zilihitaji gharama kubwa ya fedha kuzifanyia ukarabati ukilinganisha na gharama za Ujenzi wa nyumba Mpya. Hivyo, ndugu zangu ni vema unapotoa shutuma kwanza uwe na uhakika wa kile unachokiongelea.
JPM hakufanya maamuzi take binafsi ya kuuza hizo nyumba za serikali na pia hakuvunja Sheria yeyote ile ktk uuzaji wa hizo nyumba.
Watanzania tuache kumkebehi na kumbeza Mzee wa watu wkt ameonesha Nia dhabiti ya kulitumikia taifa letu kwa ukweli,ufasaha na uadilifu wa hali ya juu.
Sisi watanzania tulidai kuwa tunahitaji MTU mwenye maamuzi magumu , mchapakazi,asiyemwonea MTU na atakayelinda rasilimali za taifa. Lkn saiv watu tunalalamika. Tumuache JPM anyooshe nchi kwani ilipokuwa imefika,ili kuwa inatisha! Mungu ibariki Tanzania, mungu mbariki JPM na serikali take na Mungu tubariki watanzania wote kwa ujumla wetu.
 
Ishu ya Richmond si ilikuwa solved na watu wakawajibika?,

au awamu hii ndo wanajua kazi zaidi ya waliopita.

Meremeta gold mtamuua mzee Warioba kwa presha jamani,
ataweza kweli kukaa lokapu kwa uhujumu uchumi kwa miaka 7 bila kesi
 
Back
Top Bottom