suleiman omary
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 257
- 49
WEWE kila wilaya ina kiwanja cha ndege.labda (w) kwenu ndiyo hamtaki uwanja.Na ujenzi wa jengo la TRA na kiwanja cha ndege chato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEWE kila wilaya ina kiwanja cha ndege.labda (w) kwenu ndiyo hamtaki uwanja.Na ujenzi wa jengo la TRA na kiwanja cha ndege chato
Zile mbwembwe za kusema si muende mahakamani ndio zitatufikisha hukoAnatafutwa mtu hapa,ila haya makaburi si alisema hawezi kuyafukua ?
Uzuri tu kuwa hata kama hawatafungwa lakini ukweli utajulikana na wale wakuru walio na kinga wataaibishwa pia nadhani baada ya hapo kutakua na adabu.Ni jambo Jema, sema fukuafukua hizi sidhani kama zitawaacha marais waliopita salama. Bora tungeachana na yaliyopita tukaweke mifumo mipya ikiwa ni pamoja na katiba mpya.
This makes sense; watu ni lazima waogope mali ya umma!
Ni jambo Jema, sema fukuafukua hizi sidhani kama zitawaacha marais waliopita salama. Bora tungeachana na yaliyopita tukaweke mifumo mipya ikiwa ni pamoja na katiba mpya.
JK je? Ikiwezekana, Itafika mahali kinga yake itabatilishwa kwa mabadiliko ya katiba na hakuna rangi ataacha kuona! Hapo ndo nitamkubali JPJM! Time will tell!Mamvi atasalimika kweli?
Umelogwa na chenge unaona chenga maana jamaa ame change!!watanua magoli utawajua tu.IPTL ni Rugemalira,angekamatwa chenge ungesema kaonewa dagaa kaachwa Rugemalira,hamjui mtakalo
Naona makaburi hatimaye yanafukuliwa! Time will tell!Pamoja na ile habari ya mgodi wa kiwira