Haibadilishi maana utafika wakati naye atavuliwa nguo kwa waliyoyafanya.....JK alikubali EL ajivue uwaziri na akafurahia kukatwa jina lake kwenye kugombea lakini leo makaburi yake yanafukukiwa. Muda utafika JM naye atatoka kisha makaburi yake yakafukukuliwa...
tukikesha kuwatetea hawa wanasiasa wenye rangi zifananazo watatuona wajinga na kuufurahia ujinga wetu......
"tuwaache wafu wazikane"