Ile ilikuwa ni biashara, na pande zote ziliridhia. Takukuru haiwezi kumzuia Malaya asijiuze.Hawa Takukuru mbon hawakun'gata wabunge wa upinzani waliponunuliwa? au walikosa makucha ya KUNG'ATIA? Lakini ata hawakufuatilia chochote
Uliwapelekea taarifa za hiyo rushwa wakakataa kuwafuatilia hao watu waliotoa au kuchukua hiyo rushwa au unajaza upupu tu server za jf!Hawa Takukuru mbon hawakun'gata wabunge wa upinzani waliponunuliwa? au walikosa makucha ya KUNG'ATIA? Lakini ata hawakufuatilia chochote
Kama ilitumbukia chooni, amejuaje kama ni sh. elfu sabini?... na Elfu 70 ilituponyoka baada ya mjumbe kuitumbukiza chooni
TAKUKURU NG'ATA.
Kwa akili yako unaweza kujing'ata kidole chako mwenyewe?Hawa Takukuru mbon hawakun'gata wabunge wa upinzani waliponunuliwa? au walikosa makucha ya KUNG'ATIA? Lakini ata hawakufuatilia chochote
Ndiyo sababu kuu ya mimi kuwadharau kupita maelezo.Hawa Takukuru mbon hawakun'gata wabunge wa upinzani waliponunuliwa? au walikosa makucha ya KUNG'ATIA? Lakini ata hawakufuatilia chochote
Ushahidi wa Nasari haikuwahi kuusikia au kuuona?Uliwapelekea taarifa za hiyo rushwa wakakataa kuwafuatilia hao watu waliotoa au kuchukua hiyo rushwa au unajaza upupu tu server za jf! Takukuru hawawezi kuwa kila sehemu kwa wakati mmoja ndio maana mimi na wewe tunahitajika sana kushirikiana na TAKUKURU kwa kutoa taarifa za vitendo au viashiria vya rushwa. (USIISHIE TU KUULIZA TAKUKURU IMEKUFANYIA NINI BALI PIA JIULIZE WEWE UMEIFANYIA NINI TAKUKURU). TAKUKURU peke yake haiwezi na haitaweza kuzuia na kutokomeza rushwa endapo jamii haitashirikiana na TAKUKURU. IT CAN BE DONE LET US PLAY OUR PART.