Uchaguzi 2020 TAKUKURU Mara: Mjumbe atumbukiza chooni Tsh. 70,000 asikamatwe. Tunawashikilia watano kwa kupokea rushwa kutoka kwa wagombea Viti Maalum

Hawa Takukuru mbon hawakun'gata wabunge wa upinzani waliponunuliwa? au walikosa makucha ya KUNG'ATIA? Lakini ata hawakufuatilia chochote
Huko kulikuwa na giza hivyo hawakuona mbele mkuu
 
Hawa Takukuru mbon hawakun'gata wabunge wa upinzani waliponunuliwa? au walikosa makucha ya KUNG'ATIA? Lakini ata hawakufuatilia chochote
Inaitwa double standard, lile zoezi lilikuwa linaongozwa na boss, sasa wangefanya nini? Hivi bado tu hujajua kuwa kuna watu wao wakitenda hewalaaa ila wewe ukitenda sheria inakukodolea macho?
 
Ccm tena? Duh hawa watu hapana Aiseeee.
 
Hivi pesa za rushwa zikikamatwa huwa inakua mali ya nani, anarudishiwa mshitakiwa?
 
Kama TAKUKURU Wangekuwa kweli kazini Basi mahabusu zingejaa kipindi Cha Kura za maoni wakati wa mchakato wa kuwatafuta wagombea wa ubunge kutoka CCM.
 
Ihalalishwe tu.. Maana ishaota mizizi.
 
Hongereni TAKUKURU,keep it up.Kumbe tunaweza ilikuwa tu kwa sababu ya mfumo mbobu.Asante Magufuli.
 
Hii sijui hawajaiona?
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…