Takukuru wenyewe ndo walewale wapigaji tu
Naunga mkono hojaTakukuru ni miongoni mwa taasisi za Samia zinazoongoza kwa kupokea rushwa
Hao takukuru wakifika eneo la tukio wanakatiwa chao wanasepa.Takukuru wenyewe ndo walewale wapigaji tu
Naunga mkono hojaHao takukuru wakifika eneo la tukio wanakatiwa chao wanasepa.
Wasipochukua hakuna gari itatembeaUkisafiri safari ndefu ni aibu yafanywayo na trafic njiani saivi ni kama imeidhinishwa
Umenena mkuuWasipochukua hakuna gari itatembea
Ni mfumo umerasimisha hilo ili viatu viwakeMda huu saa sita kamili mchana hapa stendi ya Morroco kuna askari watatu wanakusanya hela hadharani kwa kila daladala inayosimama kituoni.
Takukuru tokeni maofisini muwakamate hawa majambazi katika nguo nyeupe.
Kama alishindwa report za CAG kuwachukulia hatua ndio traffic ataweza.Ajabu ni kwamba mambo haya yako wazi sana siku hizi,Yani askari wala sio waoga kuomba rushwa ,mama yetu ana kazi kubwa sana ya kufaya reform jeshi la polisi upande wa traffic
Wakifuata sheria zipi hizo? Wewe bhana kama ni mmoja wao, kubali tu mnazingua. Maana mna njaa mpaka mnaboa. I wish ningekuwa Rais.Hivi traffic wakifata Sheria kuna gari itatembea barabarani kweli.
Ni kusaidiana kitanzania Tanzania tu