bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Unawajua madereva wa bongo wewe.Wakifuata sheria zipi hizo? Wewe bhana kama ni mmoja wao, kubali tu mnazingua. Maana mna njaa mpaka mnaboa. I wish ningekuwa Rais.
Hakika ningewatimua wote barabarani, halafu ningefunga camera tu za cctv kwenye maeneo yote muhimu. Dereva atakaye kiuka sheria za usalama barabarani kwenye hayo maeneo, ndiyo atahukumiwa sasa kutokana na makosa yake.
So wakifanya kila Kosa wanakuandikia uoni serikali itakusanya mapato sana