DOKEZO TAKUKURU mbona hamuwakamati trafiki wanaochukua rushwa hadharani?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Unawajua madereva wa bongo wewe.
So wakifanya kila Kosa wanakuandikia uoni serikali itakusanya mapato sana
 
Pole
 
Sasa kama huyo mwarabu mkuu wao na yeye ni polisi unategemea atawakamata wenzie? kimsingi katika taasisi ambazo zimeoza na zimelalaaaaa hata zikinywa mkongo haziwezi kuamka ni hao jamaa taakuukuuruu , trafiki wananyang'anya yaani wanakwiba kuna jamaa yangu ana vibajaji vyake huko mpaka kaamua kuviuza yaani ni kero wanakwiba mpaka wanatia kinyaa, wanakusanya utadhani wametumwa na wako kwenye mashindano ya kukusanya, Kenya tu ndio kiboko wanawadaka mpaka wanaleta raha ,wanamvizia wanakula kichwa anakula pingu inakuwa imeenda hiyo. BONGO BAHATI MBAYA SANA.
 
Takukuru wapo busy na rushwa za mahakimu wao wanawatafuta wale wanyonge hautakuja kusikia Takukuru wamewakamata trafiki kwa kula rushwa...
 
Kifupi Takukuru hawahusikagi na issue ambazo hazina 10% kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…