Ha ha ha!Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uuvuvi, walipomnyima, basi alivunjavunja mitumbwi yao na kuchoma nyavu zao.
Baadhi wanakiri kumpa rushwa Luhaga Mpina ....TAKUKURU, hivi hili halitoshi kumuhoji na kumpeleka Mahakamani ili ikakate kiu ya haki ya wavuvi hawa?
Hakuna aliye msafi ndani ya CcmMpina amelianzisha wakati akijua fika anaishi katika nyumba ya vioo. Sasa itampasa awe mvumilivu kwa mapigo atakayopata kutoka kwa watoto wa kihuni.
Itakuwa sasa ni kushuhudia, kampa, kampa tena. Kudhulumu wanakijiji mashamba na kujimilikisha, rushwa kutoka wavuvi, kesho utasikia skendo zake za ngono....
Ukishindwa kupambana nao, ni heri ujiunge nao.
Siku atakapoingia Segerea ndio atajua hajuiMkakati wa kumziba mdomo Mpina.
Luhaga kamatia hapohapo wananchi tuko nyuma yako
Kweli baadhi ya wabunge na wawakilishi wa wananchi ni mambulukenge! Tusameheane tu kweli!Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uuvuvi, walipomnyima, basi alivunjavunja mitumbwi yao na kuchoma nyavu zao.
Baadhi wanakiri kumpa rushwa Luhaga Mpina ....TAKUKURU, hivi hili halitoshi kumuhoji na kumpeleka Mahakamani ili ikakate kiu ya haki ya wavuvi hawa?
kwani mpina, kuna Moto aliuwasha!?,hebu nijuzeni alimfanya nn msukuma Tena!?Siku atakapoingia Segerea ndio atajua hajui
Duh mbona hakusemwa kabla ye hajalianzisha.Yan inaitwa kausha ukibwatuka nawe unakomeshwa utuliyekwani mpina, Kuna Moto aliuwasha!?,hebu nijuzeni alimfanya nn msukuma Tena!?
Mkuu . Ugomvi wa msukuma na Mpina ulianza kipindi Mpina ni waziri wa Samaki.kwani mpina ,Kuna Moto aliuwasha!?,hebu nijuzeni alimfanya nn msukuma Tena!?
Mpina amelianzisha wakati akijua fika anaishi katika nyumba ya vioo. Sasa itampasa awe mvumilivu kwa mapigo atakayopata kutoka kwa watoto wa kihuni.
Itakuwa sasa ni kushuhudia, kampa, kampa tena. Kudhulumu wanakijiji mashamba na kujimilikisha, rushwa kutoka wavuvi, kesho utasikia skendo zake za ngono....
Ukishindwa kupambana nao, ni heri ujiunge nao.
Mkakati wa kumziba mdomo Mpina.
Luhaga kamatia hapohapo wananchi tuko nyuma yako
Sio uongo aliosema msukuma hata huku kashagulu Kata ya kalya wilaya uvinza mkoa kigoma ziwa Tanganyika tuliombwa rushwa tuliokataa nyavu zilichomwa na kuchukua mashine zetu hadi lleo tunaamniwa tukazikomboe licha yakuwa na leseni na uvuvi halali tunamuomba mama aturudishie hakizetu mpina achunguzwe uonezi ulitumika iundwe tumeMbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uuvuvi, walipomnyima, basi alivunjavunja mitumbwi yao na kuchoma nyavu zao.
Baadhi wanakiri kumpa rushwa Luhaga Mpina ....TAKUKURU, hivi hili halitoshi kumuhoji na kumpeleka Mahakamani ili ikakate kiu ya haki ya wavuvi hawa?
AiseeMpina akiwa Waziri aliwatesa sana watu wa kanda ya Ziwa.
Namkumbuka jamaa wa Mwanza aliyelazimika kuiuza hotel yake aliyoijenga kwa bilioni 6, akaiuza kwa bilioni 3 ili apate hela milioni 300 za kulipa kwa kile kilichotajwa faini ya uhujumu uchumi kwa vile kwenye underground floor ya hotel yake yalipatikana makokoro.
Baada ya kukaa mahabusu kwa zaidi ya mwezi, akaona aheri awape hiyo hela ili awe huru.
Fungal bakuli Mimi nimuhanga kama msukuma nawengine watu tumepigwa na mpina kwakazi halali asingiziwi in kweli ameumiza watu huyo mpinaAkizidisha kelele anaanzishiwa tuhuma za ugaidi na utakatishaji pesa! Kupanga kulipua mitumbwi, mashua na mialo ya wavuvi katika harakati za kudai mlungula. Ndio atakapoijua CCM.