alaksh natena
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 462
- 523
Huko Kuanzia Mwakizega, Ilagala, Lubengera, Rukoma, Buhingu, Sibwesa Hadi Kalya mnafanya uvuvi haramu ndg natambua Hilo pili wengi wa wavuvi ni kutoka Congo na ni majambazi kwa kushirikiana na kamati za BMUSio uongo aliosema msukuma hata huku kashagulu Kata ya kalya wilaya uvinza mkoa kigoma ziwa Tanganyika tuliombwa rushwa tuliokataa nyavu zilichomwa na kuchukua mashine zetu hadi lleo tunaamniwa tukazikomboe licha yakuwa na leseni na uvuvi halali tunamuomba mama aturudishie hakizetu mpina achunguzwe uonezi ulitumika iundwe tume