TAKUKURU mko wapi? Mbunge Musukuma asema wavuvi Kanda ya Ziwa walioombwa rushwa na Luhaga Mpina wako tayari kutoa ushahidi

Huko Kuanzia Mwakizega, Ilagala, Lubengera, Rukoma, Buhingu, Sibwesa Hadi Kalya mnafanya uvuvi haramu ndg natambua Hilo pili wengi wa wavuvi ni kutoka Congo na ni majambazi kwa kushirikiana na kamati za BMU
 
Hapo ndio bifu ilipoanzia. Sasa hivi inaonekana Mpina amechoka (Hana pesa na ushawishi) kumtafutia sababu na kumpotezea Butimba ni sawa na kumsukuma mlevi wa pombe chafu.

😄 viroja mahakamani…

Mpina karusha jiwe la maana naona wahuni wanatapatapa….wamejipanga kumshambulia…ndio maana wanaume wakiingia vitani wanaacha wanawake nyuma wasije wakashindwa kuvipiga…

Siamini Msukuma alivyokuwa anamshambulia February bungeni ghafla anamuua nguvu mwenzake anaetaka kuendeleza mapambano….sijui kalambishwa asali na yeye maana haingii akilini kumshambulia mtu ambae ameingia kwenye vita na wahuni kwasababu zako binafsi at the expense ya maswala ya makubwa ya nchi…eti basi langu lilikamatwa and so what…tuache kupata umeme wa bei nafuu sababu kuna basi la mbunge lilikamatwa what a f…

Watanzania sisi sio wajinga michezo yenu tunaiona muda utaongea maana hii dhambi ya kusalitiana itazidi kuwatafuna haitawaacha kamwe


#kataawahuni
 

Musukuma mbunge mpumbavu kupitiliza​

ana hold visasi vya kitotooo...

kasema bungeni tatizo lake na mpina ni samaki watatu wa magendo walikutwa kwenye gari lake, Mpina kataifisha gari....

personal vendetta anaigeuza ishu ya kitaifa... very self-serving
 
Hizo hesabu za umeme nafuu ulifanya na bibi yako? Tuna mabwawa mangapi na bado umeme uko juu? Huo mkopo wa trilioni karibu 20 utalipwaje kama umeme utakuwa chini ....hovyo kabisa
 
Jibuni hoja za Mpima, akili zikiwa ndogo mara nyingi ukiulizwa maswali magumu lazima upaniki ndio nyinyi.
 
Sasa hapo ndio umeandika nini?.
 
Msukuma hanaga msimamo. Alimtosa Mzee Lowasa kwa kupewa vipande vya pesa na sasa kalambishwa asali na kina Makamba ili atetee uongozi uliopo madarakani kwa kudhani anakubalika kanda ya ziwa. Subirini 2025 mtajua hamjui. Mpina yuko sahihi

Huko Kuanzia Mwakizega, Ilagala, Lubengera, Rukoma, Buhingu, Sibwesa Hadi Kalya mnafanya uvuvi haramu ndg natambua Hilo pili wengi wa wavuvi ni kutoka Congo na ni majambazi kwa kushirikiana na kamati za BMU
Unasema usicho kijuwa sisi tuliochomewa nyavu sio wakongo wala wavuvi haram labda nikwambie tu walipokuja walejamaa wampina walitutaka tuoneshe dhana zetu na leseni tulifanya hivyo lakini cha ajabu tulipo onyesha zana zetu hawakukagua ispokuwa walisema ziposawa lakini sisi tumetumwa pesa kama hakuna pesa tunachoma tufikiri nivitisho hawawezi kwakuwa wamesema zipo sawa baada yakukosa pesa walichoma nakuziteka engine zetu lakini wapowaliokuwa napesa walipewa zana zao kwahiyoshida haikuwa zana haram shida ilikuwa kukusanya pesa pia mitubwi sio sindano kama unauhakika kama kunauvuvi haram namimi siupendi wakamatwe wausika mfano Mimi siupendi uvuvi Wa ring net ndio uvuvi unaharibu sana lakini serekali ndio inauacha uendelee kwakuwa huwa wanapeleka mzigo kwa......
 
Hizo hesabu za umeme nafuu ulifanya na bibi yako? Tuna mabwawa mangapi na bado umeme uko juu? Huo mkopo wa trilioni karibu 20 utalipwaje kama umeme utakuwa chini ....hovyo kabisa


Punguza mahaba mkuu… penda kwa akili…mi CCM bwana hovyo kabisa yaani degree unaweka mfukoni unahubiri mahaba…
 
Kaa

Fungal bakuli Mimi nimuhanga kama msukuma nawengine watu tumepigwa na mpina kwakazi halali asingiziwi in kweli ameumiza watu huyo mpina
Sijajua ni kwanini tuhuma dhidi ya Mpina zimeibuka sasa
 
Nadh
Sijajua ni kwanini tuhuma dhidi ya Mpina zimeibuka sasa
Nadhani jamii forums umeingia hivi karibuni zinamuda mrefu alafu nikushauri usiendeleze mjadala wakichaaa wakati wazima wapo
 
Hakuna fisadi na mla rushwa nchi hii kama LUHAGA MPINA alishiriki vilivyo kuwadhulumu wavuvi mchana kweupeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…